Emmanuel.
Mimi ninafurahi tunapopingana. Unajua kwa nini? Hoja zikija zinapingana tunapanua mambo na ndio mwanzo wa kupata muafaka.
Napenda kwa hiyo kupingana na wewe kwa sehemu ndogo.
Ni kweli kuwa kama tunataka kujisafisha tunatumia kila nyenzo tuliyo nayo ili mradi tumeondokana na adui na tumepata muda wa kuhakikisha tunasonga mbele.
Kuna mambo mawili muhimu:
1) Tanzania Bila CCM:
Mazingira yakiwezesha, ndiyo njia ya uhakika. Nimesema mara nyingi kuwa mmi ni MwanaCCM. Tena natamani CCM itolewe madarakani ili ijirekebishe ikiwa nje kwa sababu NI VIGUMU kubadilika ikiwa madarakani.
Lowasa ni njia sahihi? Kwa kuiondoa CCM Lowasa anaweza kutumika. Hatupingani katika hilo. Tunapopingana ni hapa: Nini kitafuata baada ya Lowasa kuiondoa Madarakani?
Nguvu ya Lowasa ikiachiwa bila kuikandia humu ni kubwa. Nguvu ya Chadema ni kubwa pia. Hizi zikikubaliana mambo yanakwenda sawa. zikipingana hapo kivumbi.
Uwezekano wa kupingana nguvu hizi ni mkubwa kuliko kukubaliana. Miaka hii kumi Tanzania tumeteswa na mtandao. Niliwahi kukutana na Mkuu wa Wilaya mmoja mpaka nikajiuliza aliyemteua alilenga nini hasa? Nikagundua ni madhara ya mtandao, Lowasa ana mtandao mkubwa. ana serikali tayari. Mawaziri wake wanafahamika. Wengine hawajitokezi wasimchafue. Akiwa rais asubuhi jioni anawapa ubunge kesho yake uwaziri. Tusiwataje hapa.
Mara baada ya Lowasa kuapishwa. akaongozana na Mkuu wa majeshi kwenda Ikulu. Chadema itamuona baada ya mwezi mmoja ameisha unda baraza la mawaziri. Itamsikia gazetini. Haina la kumfanya. Hakuna mwenye ubavu wa kumuuliza mbona mbona! Anao mtandao wake na haijui Chadema yenu. Wala hakuletwa chadema na malengo ya chadema. Katika chama chake chadema is just a disposable instrument for him to become the president. Hakuingia mpaka alipohakikishiwa atakombea bila vikwazo urais.
Angalia senario hiyo Wananchi wataidai CHADEMA NA UKAWA ahadi zake kwa wananchi itaporomoka hakuna mfano.
Kuna mengi ya kuhusu Lowasa asivyoingiana na chadema. Wala hakutumwa na mtu. Yaani si njama za CCM Lowasa kuwa CHADEMA kama ni njama za CCM Lowasa hahusiki. Hii inawezekana kama CCM ilijua kuwa ikimuengua atahamia chadema na akihamia atavuruga ukawa basi wakamuengua makusudi.
2) Tanzania na CCM madarakani inawezekana:
Njia hii nayo ina njia mbili:
a) Kutarajia CCM kubadilika-Hii mimi naiona. Viongozi wa CCM walio makini wameishaona. movement za wanasiasa kipindi hiki ni fundisho kwa kila chama. CCM si mbumbumbu kiasi cha kutoona hilo. mteule wao ni dalili Kumbuka CCM imethubutu kuwagusa mafisadi. Huenda CCM ikabadilika-nani anajua? lakini ikishindikana kuna (b).
b) Kutumia kipindi cha CCM madarakani kujijenga upya. katika mkorogani huu wa UKAWA tumewaona watu waliopinga ujio wa Lowasa. Wengine wamekaa kimya lakini tumewajua. Wengine wamejitokeza wazi tumewaona. hao watasaidia kujijenga upya. Njia hii ni ndefu inahitaji watu kuondoa ushort sighted Kuwa na Long term goals
Kwangu kama UKAWA haiwezi ku-abort takeoff ya ndege yake; namba 2 ni njia sahihi. Crusade imeanza na tunarutubisha uranium ndani ya mitandao na ndani ya jamii. na tunatarajia NEC ikimtangaza Lowasa kugombea urais kwa Tiketi ya Chadema tunaanza kumuandaa Magufuli kwenda Ikulu.
Emma najua wewe si mvivu wa kusoma. Umeisoma makala hii maana ina mtililiko
Elisa
--------------------------------------------
On Fri, 8/7/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, August 7, 2015, 4:41 AM
Elisa,Kuna mambo mengi ambayo hapo awali
nimekubaliana na wewe. Katika hili la Lowassa kuingia
Chadema hata mimi nilipingana nalo sana tu.Lakini
baadaye nikatafakari kama nguvu zinazodaiwa alikuwa nazo
Lowassa ndani ya CCM tutazitumia ndani ya UKAWA kuiondoa CCM
mamlakanibasi I will look at the big
picture--getting rid of CCM even if we have to use the devil
to do it. CCM wamekuwa na mbinu nyingi tu za kukandamiza
upinzaniana hata uchaguzi wa 2010 ilibidi vyombo
vya dola viingilie kati kumnusuru Kikwete. Sisi tulioshiriki
kwenye uchaguzi huo kama mawakala tunajua
Kikwetehakushinda lakini unajua matokeo yake.
Therefore, to have Lowassa in the team is a plus on our
side. Itakuwa ngumu kwa CCM kuiba kura this time kwa
sababu"mwenzao" tumemnyakua na siri za
wizi anazijua.em
2015-08-06 14:41 GMT-04:00
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Elisa,
Nimekusoma. Labda nikushauri soma alichoandika Mpendazoe
nimeweka hapa jukwaani baadhi ya hoja zako ulizozitoa hapa
zitakuwa zimejibiwa na hivyo sihitaji kurudia.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 6:52 PM
Ninafurahi sana kupata
maeneo ya kutofautiana nawe Ananilea.
1) Kama ujio wa Lowasa kwenye
UKAWA kuna maana sasa nani katika CCM akija UKAWA
haitakuwa
sahihi au hatapokelewa katika harakati za ukombozi wa
watanzania?
2) Mazingira yaliyomleta Lowasa
kwenye UKAWA yakoje? kweli mazingira haya yanaonyesha
anakuja na kujiunga na harakati za UKAWA kulikomboa
kutoka
mikononi mwa CCM au anatafuta kutimiza azma yake
binafsi?
Mawazo yangu ni kuwa kama
tunapigana vita hatuwezi kuokota kila aliyeshika Bunduki
na
kumwambia karibu jeshini kwetu. Hapo ndipo wengine
tunaona
UKAWA imepoteza mwelekeo. Lakini pia tunachelea kujua
kama
ni UKAWA imepoteza mwelekeo au ni mtu mmoja?
hatutarajii
taasisi kama UKAWA kuwa na 'a STRONG MAN'.
Tulitarajia kuona collective leadership. Sasa unapoona
watu
ambao walitarajiwa kuwa sehemu ya uamuzi wanaonekana
sio,
hapo ndipo tunaanza kujiuliza kuliwahi kuwa na UKAWA?
kwa
maana ya neno UMOJA! Umoja unaotegemea mtu mmoja sio
umoja.
Nkya nakubaliana na
wewe kuwa CCM ilivuruga mchakato wa wananchi kuandaa
katiba
yao. Tulitarajia UKAWA kutuongoza. Sasa kwamba nako
tunapoteza matumaini kuna njia mbili:
a) CCM ikiona mbele inaweza kula matapishi yake
na kurudi kwenye utashi wa wananchi kwa kuanzia
ilipopotelea
yaani toleo la pili la tume ya Warioba. Hii ni njia
nyepesi
na rahisi. Tunasubiri kusikia watasemaje katika kampeni
hizi. Wakiwa ngangali njia ya pili itatupeleka
tuendako.
b) Kama CCM itashikilia
msomamo wake basi baada ya uchaguzi Vyama hivi
(wasirika
katika UKAWA) vitajiunga na kujenga imani yake kwa
wananchi
na kuanza mchakato upya. Tunawatarajia viongozi kama
Lipumba
na Slaa ambao wamejitenga na machafuko yanayoivuruga
UKAWA.
hayo ndiyo matumain i yangu.
Elisa
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, 'ananilea nkya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 4:25 PM
Elisa niliwahi kuandika
humu kwamba mapambano ya kuwarejeshea wananchi
wa Tanzania
mamlaka yao yaliyoporwa na
CCM siyo lelemama. Nilitoa
mfano CCM kupora mamlaka ya wananchi
walipozika pale Dodoma mwaka 2014 Rasimu ya Katiba
ya
wananchi.
Kuleta
mabadiliko ya
kuwarejeshea wananchi mamlaka yao,
kunahitajika nguvu kubwa ya umma na viongozi wenye
dhamira
na uvumilivu. Kunahitajika
uongozi wa
upinzani usioyumba na wenye
maono. Kunahitajika viongozi
wa
upinzania wenye dhamira ya dhati, ujasiri, uthubutu na
uvumilivu maana ukombozi ni kazi
ngumu
yenye misukosuko na maumivu sana.
Wengine wakitiwa
msukosuko kidogo tu
wanabwaga manyanga. Hao hawafai
kuongoza
mapambano ya kurejesha mamlaka ya wananchi.
Lakini zaidi wasaliti katika mapambano ya
kujeresha
mamlaka ya wananchi ni
wengi. Waoga nao
ni wengi zaidi.
Wanaotishwa na kutishika kirahisi nao
wamo kibao.
Jambo
muhimu
katika UKAWA ni je viongozi
wa vyama vyote
vilivyounda umoja huo
wana dhamira ya dhati—kuweka
maslahi ya
wananchi mbele? Je wote wana dhamira
ya kweli na maamuzi yasiyoyumba? Ni aibu kubwa sana kwa
mtu
aliyejinasibu kuwa mpigania maslahi
ya wananchi kusaliti
mapambano ya ukombozi
wa wananchi. Anajilaani mwenyewe.
Mpigaji wa kweli anayeweka maslahi ya umma mbele hata
akijeruhiwa kiasi gani-hawezi kubaga
manyanga—maana kubaga
manyanga ni
kuwaaambia unaowapigania kuwa umechoka.
Lakini ninachoamini mimi ni
kwamba kwa ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA,
kwa vile
alikuwa upande wa watawala, umma
utawafahamu viongozi na
baadhi ya
wanachama wa vyama vya upinzani ambao walikuwa
wanafanya kazi ya kusaliti mapambano ya
ukombozi wa
wananchi.
Pengine chaguzi
wa mwaka huu
utatuonyesha mengi ambayo yalikuwa
yanakwamishwa jitihada ukombozi wa pili wa
kuhakikisha wananchi wa taifa hili ndio
wenye mamlaka ya
mwisho . Tusubiri.
Ananilea
Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject:
[wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU
FISADI TU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 1:49 PM
Ndani ya mtandau huu
toka
tumeuanza matusi yanakemewa, na
hayaruhusiwe.
niliwahi
kufungiwa na nikarudi kwa neema
tu.
Lakini
hata kwa
wanaonijua si mtu wa matamshi ya ajabu.
Nina
heshima zangu.
Kichwa cha
mjaddala
hakinistaki na dhamiri
hainihukumu.
nimetumia maneno makali
tu
lakini ni ya kiswahili cha kawaida.
Tanzania imetoka mbali na
humu sijadili safari
yetu lakini ukweli
watanzania Tumeichoka CCm
na yenyewe
(kama ipo) inajua kuwa
tumeichoka
Watu
wanaiba
wanatoa rushwa. Rushwa imekua sasa
inaitwa ufisadi.
Mtu anaweza kuunguza
benki kuu ili kuficha
wizi. Viongozi
wamejirundikia marupurupu
yaliyokuwa haramu yakawa
halali.
Toka lini sitting alowance ikawa
laki tano na mtu anaweza kukaa vikao
vitatu
kwa siku.
Sijawahi kukutana nayo nami
nimetembea
kidogo
Watanzania polepole
wakajikusanya nguvu kupitia
taasisi zake
moja wapo ikiwa vyama vya
siasa. NCCR
ilinyongwa
ikaumia inafufufa. CUF nayo ilifurukuta TLP ah
usiseme
CHADEMA
ikafanikiwa
kuwakusanya
watanzania na wakaitumaini. CCM
ilipolinyonga tumaini lao la
kupata
Katiba
mpya tumaini la watanzania ilikuwa
CHADEMA Ni
kupitia hiyo tukaipata
UKAWA
Siku zote
tunajua watanzania maamuzi magumu
tutayafanya kupitia
uchaguzi mkuu 2015.
Tumeishachungulia na
kuiona serikali
ndani
ya
ukawa. Fulani rais, Fulani PM fulani vile
Gnafla tunasikia Lowasa
anahamia CHADEMA tukacheka. apite wapi?
Mara
tukasikia CHADEMA
imenunuliwa kama timu ya Manchester Mara
ah! nani alisema Lowasa
fisadi? leta ushahidi
Mwisho tukasikia
yamekuwa> Wenye akili
tukasema basi
sisi na CCM yetu na madhambi
yake. UKAWA
basi.
Ghafla tunasikia Slaa na
wengine hawamo ila ni Mbowe
kalazimisha.
Slaa haonekani kwenye vikao na
sasa Lipumba
kajitoa.
Mbatioa achana naye. Yuko kazini.
Sasa kama Mbowe anasema walikubaliana
katika
kamati kuu iweje katibu mkuu wake
hayupo? kama
huu ni uamuzi
wa UKAWA mbona wenzake
wanajitoa? UKAWA ni Mbowe kwongeza
Mbowe??????
Kama kweli
kaahidiwa fedha
basi
ni
fisadi nambari wani. Kawasaliti
watanzania
kwa manufaa
yake. la sivyo basi
ni kaburu tu. Mpaka awe mweupe ndiyo
tuseme
ni kaburu. kuwabagua
wote hao bado unaweza kusema
nimetukana????????????? Sikubali --
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for any legal
consequences
of his or
her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You
received this message because you
are
subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To
unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an
email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more
options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this
Forum bears the sole
responsibility
for any
legal consequences
of his
or her postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you
agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and Guidelines.
---
You received this message
because
you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To
unsubscribe
from this group and stop
receiving emails
from it,
send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole
responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented
responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our
Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google
Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer
and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send
an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment