Mike
it changes nothing on my side.... ipo agenda lakini itashindwa.
On Aug 24, 2015 1:02 PM, "'Mike Zunzu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- --Wewe na wenzako wachumia tumbo ndiyo mnamawazo ya "The Northern Corridor" There no any thing called northern corridor, probably I kindly advise to be patient, if there is a fair election then wait for tsunami, and for you safety better to move far away from the see shore.On Monday, 24 August 2015, 9:58, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:
Ludo umeniwahi nilitaka kuandika hivyo hivyo--On Aug 24, 2015 11:52 AM, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:Emma
nina mashaka na hofu kuu... na haya mambo yako na mama nkya.. na northen corridor.On Aug 23, 2015 12:40 PM, "'Jovi kamuntu' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--Magwayega, mbona Kikwete kasema tangu aingie mahakamani hajasaini kunyonga mtu hata mmoja pamoja na kuwepo hukumu hizo nyingi? Kwahiyo anadharau mahakama? Kwahiyo kutoa maamuzi kama hayo kwa mamlaka yake inawezekana. Pia kama kweli kuna ushahidi kwamba kulikuwepo kuingilia maamuzi wa mahakama Rais akae kimya eti ni kuingilia muhimili mwingine?
Mbona Bunge lilipoingilia Muhimili wa mahakakama na kutengua maamuzi ya mahakama kuhusu mgombea binafsi hawakusilizwa. It is possible kukomesha uonevu wa viongozi wakubwa kwa kisingizio cha kutoingilia uhuru wa mahakama. Kama uhuru wa mahakama upo lazima uonekane kweli upo. Watu wanafungwa kwa uonevu wa makusudi na kwa amri za wakubwa au kwa vitendo vya rushwa.
Jovin Bifabusha
DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200
--------------------------------------------
On Sun, 8/23/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Mbeya wahoji uadilifu viongozi wa Ukawa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, August 23, 2015, 3:54 AM
Kehencha absolutely ur
right man, na ndio hapo lowasa aliposema kwa namna ilivyo
atawaachia hata kina mzee mzima mwanamuziki ngul babu seya,
huenda kaona there was no fair judgement na kulikua na
executive intervention ktk judgement, we dont know coz we
are far from them yeye ashakaa anajua siri nzito za mle na
ndio maana jk anahaha kila time yuko na magufulii
Lesian
'Kehancha Kehancha' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kuna kweli
mbili lazima tuzikubali katika mjadala huu.1. Ukwelli
wa kwanza: Kwa Tanzania, mhimili wa mahakama si huru kutoka
kwenye ushawishi wa executive. Kuna mianya mingi ya
executive kuingilia uhuru wa mahakama.2. Kweli
wa pili: Kuna watu wengi wasio na hatia lakini wako gerezani
kwa matakwa ya vigogo au matajiri fulani.
Da: 'leonard
magwayega' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
A:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Inviato: Venerdì 21
Agosto 2015 18:19
Oggetto: Re:
[wanabidii] Mbeya wahoji uadilifu viongozi wa Ukawa
Nimeshasema
yapo makosa ambayo Rais anaweza akasamehe na mengine hawezi
likiwamo hilo. naongea kitaalamu zaidi usilete siasa hapa.
Pia inategemea huyo mtu kifungo chake ni cha muda gani, huyo
babu seya wenu ni cha maisha.
On Friday, August
21, 2015 6:56 PM, 'jbifabusha' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ebu
nijuze Rais mamlaka yake ya kusamehe wafungwa yakoje
kisheria?
Sent from Samsung
Mobile
-------- Original message
--------
From: 'leonard magwayega'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re:
[wanabidii] Mbeya wahoji uadilifu viongozi wa Ukawa
Kesi ya
Babu Seya nilowatumia ni ya uamuzi wa Mahakama kuu. Sasa
natuma ya Mahakama ya rufaa halafu tumpime Lowassa na Mbowe
wake kama hawataingilia uhuru wa Mahakama.Adv.
Leonard Elias Magwayega (a.k.a Bob Leo)
On Friday, August 21, 2015 6:30 PM,
leonard magwayega <bobittz@yahoo.com> wrote:
Hongera
sana mwandishi wa habari hii gazeti la Raia mwema. Kimsingi
hata mimi nilishtuka sana kumsikia Rais mtarajiwa akiahidi
hadharani ku frustrate maamuzi ya Mhimili wa mahakama bila
hata kusema atatumia sheria ipi. Tunajua Rais ana mamlaka ya
kutoa msamaha kwa wafungwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria
nyingine. Lakini msamaha huo hautolewi kihorelahorela na kwa
kosa lolote tu bila kufuata guideline zilizopo. Babu Seya
kwa kosa aliloshtakiwa na kufungwa kwalo haliko na muda wa
kifungo alichopewa (Maisha) halimo katika orodha ya makosa
ya kusamehewa na kutolewa jela. Sijui huyu atakuwa ni Rais
wa aina gani. Nadhani Lowassa amepoteza uwezo wa kutafakari
kwa kina na anaoambatana nao pia ni laymen kwa mambo mengi
tu achana kuwa laypersons wa kisheria tu.Huyo mwenyekiti wa
CDM ndo layman wa mambo mengi sana na hata anayodhani anajua
anayajua kijuujuu tu na nadhani hata washabiki wao wengi ni
wa aina hiyohiyo. Wakipewa viroba, wakawekewa mafuta kwenye
bodaboda, posho kidogo iso zidi 20000 wako tayari kuandamana
na kushangilia lolote litokalo vinywani mwa hao wakubwa zao.
Hivi wewe ambaye una mtoto wako wa kike au kiume mwenye umri
wa miaka 10 na kurudi chini hadi 6 anapobakwa tena kwa namna
ile ya kuchangiwa na watu zaidi ya mmoja na akaharibiwa
sehemu zake za siri mbele na nyuma utakuwa na ushujaa wa
kumshangilia rais ajaye anyesema atawaachia huru wabakaji wa
aina ya Babu seya? Mahakama ya Rufaa ndiyo chombo cha juu
kabisa cha utoaji haki nchini kwetu na ina majaji weredi
sana na kwa hiyo uamuzi wake ni wa mwisho. Leo unawezaje
kuwa na rais ambaye anasisitiza kuwa ataingilia uhuru wa
Mahakama? kwa wale msiojua hukumu hiyo ngoja niwatumie
angalau mpate mawili matatu kisha tutaendelea na majadiliano
ikiwa mtaona inafaa.Leonard
Elias Magwayega (Esq)
On Thursday, August
20, 2015 10:43 AM, 'Lesian Mollel' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Hizi mbwembwe tu bro emma subiri filimbi
ipulizwe watakimbia wenyewe,ukawa tumejipanga vilivyo na jk
atfute mbeleko yenye kamba ya katani original ambebee huyu
mtu wake cc wwtunatasukumwa na nguvu ya umma,peeeoples
Lesian
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Naona
kampeni zimeshaanza. Lakini ngoma ya mwaka huu ni
ngumu.em
2015-08-19
7:07 GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
Felix
Mwakyembe
Chadema
sasa wakwepa ajenda ya
ufisadi
Kauli ya kumwachia Babu Seya yashtua
polisi
MKUTANO wa Umoja wa
Katiba ya Wananchi (Ukawa) uliofanyika
katika viwanja vya Shule ya Msingi Luanda jijini Mbeya wiki
iliyopita, umeacha
simulizi na mikanganyiko miongoni mwa wakazi wa jijini
hapa.
Umati
uliohudhuria mkutano huo umeacha simulizi kutokana na
wingi wa watu wakiwa kutoka wilaya zote za Mkoa Rukwa,
Iringa na Ruvuma.
Kwa mujibu
wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ujio wao
ulikuwa mahsusi kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa mgombea
wao, Edward Lowassa,
ambaye naye alihutubia mkutano huo kwa muda usiozidi dakika
ishirini.
Hotuba ya
mgombea huyo iliacha mkanganyiko pale alipotoa
ahadi ya kumwachia mwanamuziki nguli wa dansi nchini, Nguza
Vicking
anayetumikia kifungo baada ya kukutwa na hatia, ikiwamo ya
kuwanajisi watoto.
Baadhi ya
watu waliokuwapo mkutanoni hawakusubiri
kuitafakari ahadi ile baadaye, bali walianza mjadala muda
ule ule, wakihoji
mantiki ya ahadi ya mgombea huyo kumwachia huru mtu ambaye
hata Mahakama ya
Rufaa nchini ilimtia hatiani.
"…kumwachia
Babu Seya tena, hii kali ya mwaka, wale majaji
wa Mahakama ya Rufaa wako vizuri sana, asingekuwa na hatia
wangemwachia,"alisikika askari mmoja wa Jeshi la Polisi
aliyekuwapo mkutanoni
pale mara baada ya ahadi hiyo kutolewa.
Mbali ya ahadi hiyo
yenye shaka kutoka kwa mgombea huyo wa
Ukawa, ahadi yake hiyo, iwapo itatekelezwa, inatajwa kuwa ni
sawa na uvurugaji
wa utawala bora, lakini pia naye Mwenyekiti wa Chadema
alifanya tukio
lililodhihiri baadaye kuwa ni kituko cha aina
yake.
Mbowe, kwa
mbwembwe, aliwatangaza wanachama wapya
waliojiunga na chama hicho siku hiyo ya mkutano, na miongoni
mwao ni wabunge
wawili waliomaliza muda wao, Mchungaji Luckson Mwanjale,
Jimbo la Mbeya
Vijijini na Modestus Kilufi, Jimbo la Mbarali. Wote wakiwa
kutoka CCM.
Hata hivyo ni Kilufi
pekee aliyejitokeza uwanjani pale na
kutambulishwa, wakati Mwanjale aliitwa mara kadhaa na Mbowe
pasipo kutokeza.
Akiwatambulisha, Mwenyekiti huyo wa Chadema alisema;
"walipokuwa katika chama
chao cha zamani walitufanyia nanihino,
tuwapokee!"
Mwenyekiti
huyo aliitikiwa na umati uliokuwepo wakisema
wapokee, lakini muda wote huo Mchungaji Mwanjale hakuwepo
uwanjani hapo, hatua
iliyosababisha Mbowe kutoa kauli nyingine tata akidai
inawezekana mbunge huyo
amechelewa kutokana na msongamano wa magari lakini angefika
uwanjani hapo.
Kutokana na tukio hilo
la kutangazwa na kutonekana,
waandishi wa habari walianza kumtafuta Mwanjale ili kupata
kauli yake na
alipopatikana alionyesha kushangazwa na taarifa hizo za yeye
kujiunga Chadema,
akisema hajawahi kuwaza jambo hilo na kwamba asingeweza
kujiunga na chama hicho
kabla ya kushauriana na familia yake.
Katika mahojiano yake na
Raia Mwema kwa njia ya simu,
Mchungaji Mwanjale alisema kuwa wakati msafara wa Lowassa
ukiwasili katika
Uwanja wa Ndege Songwe, naye alikuwepo akiwa pamoja na jamaa
zake na kwa sababu
ni mtu wanayefahamiana alisalimiana naye.
Mchungaji
Mwanjale anasema inawezekana lile tukio la yeye
kusalimiana na Lowassa lilichukuliwa kimakosa na baadhi ya
watu wakiwemo
viongozi wa Chadema, kwamba kwao alikuwa amejiunga tayari na
chama hicho.
"Makamo haya unaenda
Chadema ili iwe nini, pamoja na makosa
ya chama, wengine kutotendewa haki, sina mawazo ya kuhama
chama," alisema
Mwanjale.
Wakati
mchungaji huyo akikanusha, baadhi ya wadau wa siasa
za Mbeya nao wanahoji mantiki ya kiongozi mkuu wa Chadema
kutangaza jambo
ambalo hana uhakika nalo. Wanabainisha kuwa kama ni kweli
hakukuwa na
mawasiliano basi viongozi hao wanawakosea wenzao
staha.
Wakati Mchungaji
Mwanjale akitangazwa kwenye mkutano wa
hadhara, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile
naye alizushiwa
kuhamia Chadema lakini katika kipindi kifupi kiongozi huyo
alikanusha, akisema
hajawahi kuwazia jambo hilo na kwamba bado yupo CCM na
hajabadilika.
"Kwa umri wetu huu,
sio kuhama vyama, bali unampigia yule
unayemuona anafaa na mwenye uwezo wa kutuongoza," anasema
Mzee Mwakipesile
katika mahojiano ya simu na mwandishi wetu, na kuongeza;
"Lowassa tunafahamiana
na alikuwa kiongozi wangu, tumefanya naye kazi akiwa Waziri
Mkuu mimi nikiwa
Mkuu wa Mkoa, tulikuwa naye bungeni kwa miaka 10,
inawezekana watu wanatumia
vibaya uhusiano wetu huo."
Taarifa za kuhama kwa
wanasiasa hao zilikuwepo kabla ya ujio
wa Lowassa Mbeya, na wote, sababu kuu ya kuzushiwa ikiwa ni
ukaribu wao na
mgombea huyo wa Chadema.
"Tatizo
Chadema wanatafuta watu wote waliokuwa jirani na
Lowassa akiwa CCM, wanachanganya urafiki na itikadi, huo ni
udhaifu mkubwa,"
anasema Charles Mwakipesile aliyekuwa miongoni mwa watangaza
nia wa CCM na kushika
nafasi ya tatu katika kuwania ubunge Jimbo la Mbeya
Mjini.
Mwakipesile ambaye pia
anashikilia nafasi mbalimbali za
uongozi ndani ya CCM anasema kuwa wanachama wenzao
wanaokimbilia Chadema baada
ya kushindwa kwenye kura za maoni wanadhihirisha umamluki
wao walipokuwa ndani
ya chama hicho.
"Mtu
amekuwa kiongozi wa miaka mitano, leo anaondoka baada
ya kuanguka huku akitoa kashfa lukuki kwa chama kile kile
alichokitumikia, ni
udhaifu mkubwa," anasema Mwakipesile na kuongeza;
"….mimi nawaheshimu sana
wanaohama bila ya msukumo wa kuanguka kwenye uchaguzi, hao
ni wakomavu wa
kisiasa."
Chanzo cha
ndani, waliokuwapo Uwanja wa Ndege Songwe
kumpokea Lowassa vinabainisha kilichojitokeza Mchungaji
Mwanjali alipokwenda
kumsalimia Lowassa ni utani uliokuwepo akihamasishwa kuhamia
Chadema naye
akajibu, "tupo pamoja."
Chanzo hicho
kinabainisha kuwa yawezekana Chadema
walichukulia kauli ile kama jibu la kukubali kwa Mchungaji
huyo kuhamia kwao.
Katika kuthibitisha hilo, chanzo hicho kinasema ndio maana
hata Mbowe alitoa kauli
mbili, kwanza akisema yupo hapa, kwa maana ya mkutanoni na
ilipobainika hayupo
akasema inawezekana amekwama njiani kutokana na msongamano
wa magari.
Katika mkutano huo
walikuwepo viongozi mbalimbali wa vyama
vinavyounda Ukawa akiwamo, Mgombea Mwenza katika urais wa
Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Juma Duni, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James
Mbatia na Dk.
Emmanuel Makaidi.
Mbunge wa
Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi alikuwa miongoni mwa
wazungumzaji katika mkutano huo, ambapo pamoja na mambo
mengine alikituhumu
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuingiza mkoani humo shahada
5,000 za kupigia kura
na kutishia akisema; "…wakijaribu kufunga goli la mkono
tutatuma beki kuzuia,
kule pembezoni akifunga tunakata kiganja kwa nyengo, mteule
wa CCM kaingizwa
bweni la zeluzelu."
Mwenyekiti wa NCCR
Mageuzi, James Mbatia alimshauri Rais
Jakaya Kikwete kuwa mtulivu na msikivu pamoja na chama chake
katika kipindi
hiki. Pamoja na ushari kwa Rais Kikwete, aliwasihi pia
wananchi wa Mkoa wa
Mbeya kuhubiri amani ili uchaguzi uwe wa amani pasipo
kubaguana.
Hata hivyo Mwenyekiti
Mwenza kwenye Ukawa, Freeman Mbowe
alisema umoja huo hautapiga magoti kuwabembeleza Tume ya
Taifa ya Uchaguzi
(NEC) iwapo wataona wanaonewa bali watajibu kwa
vitendo.
"Ukawa
hatutopiga magoti tukiona tunaonewa, tutachukua…,"
akajibiwa na umati uliohudhuria "action!"
Pamoja na ahadi yake ya
kumwachia Babu Seya iwapo ataingia
madarakani, Lowassa pia aliahidi kulibadili Jiji la Mbeya na
kuwa la kimataifa
pamoja na Uwanja wa Ndege wa Songwe nao uwe wa kimataifa.
Nao baadhi ya
wasikilizaji katika mkutano huo wakasemezana wakihoji;
"kwani sasa sio wa
kimataifa?"
Katika
jambo lililowashangaza baadhi ya wafuatiliaji wa
siasa mkoani humo, ni hatua ya viongozi wa Ukawa kukwepa
ajenda yao ya ufisadi,
ajenda iliyowajenga na kuwapambanua kama viongozi makini
wanaochukizwa na hali
hiyo nchini ambayo imekuwa ikifichuliwa karibu kila mwaka na
ripoti za Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Katika
mkutano wa Mbeya, sio Mbowe wala Mbatia au Makaidi
aliyethubutu kutamka neno, fisadi au ufisadi. Hatua hiyo
iliwafadhaisha
baadhiya wapenzi wa mageuzi mkoani humo, wakibainisha kuwa
wametelekezwa na
viongozi wao.
"Watu wamepoteza
maisha, Mwalukali alipigwa risasi hapa na
leo hii ana ulemavu wa mkono, tuliwaamini kuwa wanapigania
haki, tukaingia
barabarani, leo hii wamethamni pesa zaidi kuliko sisi, siasa
chafu kabisa
hizi," alisikika mkazi wa Soweto beya
akilalamika
Chanzo Raia Mwema Toleo
la 419, 19 Aug 2015
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment