Lesian umenichekesha sana. Kwa kuwa nakusudia kuanza tena Harrasing fire nyingine natarajia vibwagizo vyako kupolomoka kama nini.
--------------------------------------------
On Tue, 8/25/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 25, 2015, 11:59 AM
Mhindo nahuyo lokomoi mnafanana, kopo
na mfuniko
Lesian
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Napingana na wewe Lokomai kwa sababu zifuatazo:
>1) Slaa si mpumbavu kwa sababu amejitenga na upumbavu
wote ulioueleza.
>2) Kuna watu wameamua kuendaamo kimya kimya
hawakubaliani na upumbavu huo. wanasubiri siku ya ukombozi
siku ambayo wapumbavu wote wataumbuka tarehe 29 October. hao
wataibuka na kuanza kuijenga UKAWA yetu. Hao ni akinya
Mnyika na wengine.
>3) Maalimu Seif si mpumbavu hata kidogo. Yeye ameamua
kuungana na wapumbavu wengine ili kutimiza azma yake ya siku
nyingi ya kulimega taifa la Zanzibar kutoka muungano.
>4) Naamini yamo makundi mengine ambayo hayaendi na sifa
hii ya upumbavu.
>Kwa hiyo ukiwatoa hao waliobaki wanaoamini tofauti ndio
waheshimiwa wapumbavu kwa mujibu wa maelezo yako ambayo
yanatokana na tafsiri ya huyo Sugu.
>Muhingo Elisa
>--------------------------------------------
>On Mon, 8/24/15, 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Maana ya upumbavu kwa mujibu wa
Sugu na wengine wataalamu
> To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, August 24, 2015, 2:39 PM
>
> Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu
> na wengine wataalamu
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.
>
>
>
> Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya
upumbavu
> Kwa kusema
> hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI
> STUPIDITY, LACK OF
> KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
>
> Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana
kukosa
> maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.
>
>
>
> Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu
zifuatazo
>
>
>
> 1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.
>
>
>
> 2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea
Pesa za
> mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.
>
>
>
> 3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi
> waliolelewa na mfumo wa CCM.
>
>
>
> 4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya
usiku
> mmoja.
>
>
>
> 5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa
waende
> mahakamani na
> kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na
kumtaka
> Lowassa kama
> anaonewa aende mahakamani.
>
>
>
> 6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na
kauli
> zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.
>
>
>
> 7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na
kukemea
> ajenda ya siri
> iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na
Mtei na
> 2012 kusimamia
> na Mpumbavu Joshua Nassari.
>
>
>
> 8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia
misingi
> ya
> uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA
yaani
> Prof. Lipumba
> na Dr. Slaa.
>
>
>
> 9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha
kuficha
> wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.
>
>
>
> 10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali
> kuburuzwa kama
> "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka
> lini? Slaa, Mbowe,
> Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008
na
> 2015.
>
>
>
> Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu
Kwa
> kushindwa
> kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari
na wa
> walanguzi
> kumpeleka Lowasa ikulu.
>
>
>
> Acha kuwa mpumbavu na lofa.
>
>
>
> UKAWA NI
>
>
>
> U - UMOJA
>
> KA - KAMILI WA
>
> WA -
> WAPUMBAVU
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment