Tuesday, 25 August 2015

Re: [wanabidii] Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu

Napingana na wewe Lokomai kwa sababu zifuatazo:
1) Slaa si mpumbavu kwa sababu amejitenga na upumbavu wote ulioueleza.
2) Kuna watu wameamua kuendaamo kimya kimya hawakubaliani na upumbavu huo. wanasubiri siku ya ukombozi siku ambayo wapumbavu wote wataumbuka tarehe 29 October. hao wataibuka na kuanza kuijenga UKAWA yetu. Hao ni akinya Mnyika na wengine.
3) Maalimu Seif si mpumbavu hata kidogo. Yeye ameamua kuungana na wapumbavu wengine ili kutimiza azma yake ya siku nyingi ya kulimega taifa la Zanzibar kutoka muungano.
4) Naamini yamo makundi mengine ambayo hayaendi na sifa hii ya upumbavu.
Kwa hiyo ukiwatoa hao waliobaki wanaoamini tofauti ndio waheshimiwa wapumbavu kwa mujibu wa maelezo yako ambayo yanatokana na tafsiri ya huyo Sugu.
Muhingo Elisa
--------------------------------------------
On Mon, 8/24/15, 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 24, 2015, 2:39 PM

Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu
na wengine wataalamu










UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.



Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu
Kwa kusema
hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI
STUPIDITY, LACK OF
KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"

Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa
maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.



Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo



1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.



2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za
mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.



3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi
waliolelewa na mfumo wa CCM.



4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku
mmoja.



5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende
mahakamani na
kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka
Lowassa kama
anaonewa aende mahakamani.



6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli
zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.



7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea
ajenda ya siri
iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na
2012 kusimamia
na Mpumbavu Joshua Nassari.



8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi
ya
uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani
Prof. Lipumba
na Dr. Slaa.



9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha
wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.



10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali
kuburuzwa kama
"mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka
lini? Slaa, Mbowe,
Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na
2015.



Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa
kushindwa
kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa
walanguzi
kumpeleka Lowasa ikulu.



Acha kuwa mpumbavu na lofa.



UKAWA NI



U - UMOJA

KA - KAMILI WA

WA -
WAPUMBAVU



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment