Musa.
Sikukubaliana na Mkapa na sikubaliani na huyu Lokumai. Sababu za kutokubaliana nao ni tofauti na nimeishatoa mawazo yangu kwa mwelekeo wa alivyoleta mada. naandika ninachokiwaza kuhusu athari za watu kama Mkapa na Kikwete kwenye kampeni za CCM. tena napendekeza wasiruhusiwe kushiriki. Wamemaliza wajibu wao juzi. Wasubiri mgufuli na watu wengine wanaokubalika waongoze kampeni na wasijaribu kushiriki ili wasipunguze kiwango cha ushindi wa magufuli.
--------------------------------------------
On Mon, 8/24/15, 'BILLEGEYA, Mussa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 24, 2015, 4:17 PM
Japo mimi
sio mwana-UKAWA waka mwana-CCM, ila ni bayana kuwa
aliyeandika hizi point 10 hapo juu NI MPUMBAVU. Kwa kuwa
hakujiandika jina lake/sahihi yake mwishoni, naomba ndugu
ELISA MUHINGO umsaidie kujitambua hivyo, na wewe ni vizuri
ukawa unajizuia kuleta UPUMBAVU kwenye hili kundi (hata kama
PERSONALLY umeufurahia)...
Kundi
hili huwa napenda kulichukulia kama mahali pa watu WENYE
AKILI TIMAMU, wanaopenda kujadiliana, kubadilishana mawazo
na hata KUSHINDANA kwa kutumia AKILI zao na busara zao,
lakini inakera pale inapoonekana wazi kwamba kuna watu
wanajitahidi KWA MAKUSUDI kufanya mambo hayo kwa kutumia
UPUMBAVU wao (badala ya akili zao na busara
zao)...!!!
Nadhani
ni vizuri mtu kuwa anatumia muda KUTAFAKARI na KUTOFAUTISHA
ni mambo gani ambayo anaweza akayaongea "kijiweni"
akiwa na "washikaji" na ni mambo gani anaweza
akatumia muda KUYA-TYPE na KUYATUMA kwenye kundi lenye watu
wengi na tofauti kama hili....
Kuwaita
Mawaziri wakuu Wastaafu wa hii JAMHURI kuwa ni WAPUMBAVU,
halafu ukawaona walio wateua kuwa wana akili, bila shaka na
HUO NI UPUMBAVU mahiri.... Lakini yote hayo
hayalisaidii hili taifa tunapoelekea kwenye Uchaguzi.
Tujikite katika mambo ambayo yatajenga letu - kabla na baada
ya uchaguzi.
Na kama
kuna chama au kundi ambalo linadhani linaweza kunufaika
kisiasa kwa KUTUNGA NA KUSAMBAZA UPUMBAVU, Basi hicho chama
au kundi NI LA WAPUMBAVU...
BILLEGEYA,
Mussa,Twitter:
@MBillegeya
Le Lundi 24 août
2015 14h43, 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> a écrit :
Maana ya
upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu
UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.
Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu
Kwa kusema
hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI
STUPIDITY, LACK OF
KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa
maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.
Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo
1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.
2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za
mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.
3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi
waliolelewa na mfumo wa CCM.
4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku
mmoja.
5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende
mahakamani na
kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka
Lowassa kama
anaonewa aende mahakamani.
6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli
zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.
7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea
ajenda ya siri
iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na
2012 kusimamia
na Mpumbavu Joshua Nassari.
8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi
ya
uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani
Prof. Lipumba
na Dr. Slaa.
9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha
wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.
10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali
kuburuzwa kama
"mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka
lini? Slaa, Mbowe,
Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na
2015.
Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa
kushindwa
kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa
walanguzi
kumpeleka Lowasa ikulu.
Acha kuwa mpumbavu na lofa.
UKAWA NI
U - UMOJA
KA - KAMILI WA
WA - WAPUMBAVU
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment