Mhindo nahuyo lokomoi mnafanana, kopo na mfuniko
Lesian
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Napingana na wewe Lokomai kwa sababu zifuatazo:
>1) Slaa si mpumbavu kwa sababu amejitenga na upumbavu wote ulioueleza.
>2) Kuna watu wameamua kuendaamo kimya kimya hawakubaliani na upumbavu huo. wanasubiri siku ya ukombozi siku ambayo wapumbavu wote wataumbuka tarehe 29 October. hao wataibuka na kuanza kuijenga UKAWA yetu. Hao ni akinya Mnyika na wengine.
>3) Maalimu Seif si mpumbavu hata kidogo. Yeye ameamua kuungana na wapumbavu wengine ili kutimiza azma yake ya siku nyingi ya kulimega taifa la Zanzibar kutoka muungano.
>4) Naamini yamo makundi mengine ambayo hayaendi na sifa hii ya upumbavu.
>Kwa hiyo ukiwatoa hao waliobaki wanaoamini tofauti ndio waheshimiwa wapumbavu kwa mujibu wa maelezo yako ambayo yanatokana na tafsiri ya huyo Sugu.
>Muhingo Elisa
>--------------------------------------------
>On Mon, 8/24/15, 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu na wengine wataalamu
> To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, August 24, 2015, 2:39 PM
>
> Maana ya upumbavu kwa mujibu wa Sugu
> na wengine wataalamu
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.
>
>
>
> Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu
> Kwa kusema
> hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI
> STUPIDITY, LACK OF
> KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
>
> Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa
> maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.
>
>
>
> Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo
>
>
>
> 1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.
>
>
>
> 2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za
> mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.
>
>
>
> 3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi
> waliolelewa na mfumo wa CCM.
>
>
>
> 4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku
> mmoja.
>
>
>
> 5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende
> mahakamani na
> kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka
> Lowassa kama
> anaonewa aende mahakamani.
>
>
>
> 6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli
> zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.
>
>
>
> 7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea
> ajenda ya siri
> iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na
> 2012 kusimamia
> na Mpumbavu Joshua Nassari.
>
>
>
> 8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi
> ya
> uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani
> Prof. Lipumba
> na Dr. Slaa.
>
>
>
> 9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha
> wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.
>
>
>
> 10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali
> kuburuzwa kama
> "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka
> lini? Slaa, Mbowe,
> Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na
> 2015.
>
>
>
> Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa
> kushindwa
> kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa
> walanguzi
> kumpeleka Lowasa ikulu.
>
>
>
> Acha kuwa mpumbavu na lofa.
>
>
>
> UKAWA NI
>
>
>
> U - UMOJA
>
> KA - KAMILI WA
>
> WA -
> WAPUMBAVU
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment