@Elisa Hongera kwa majibu yako. Mbona hutumi a/c yako ya Twitter?
----- Reply message -----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
Date: Tue, Aug 25, 2015 22:25
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
Date: Tue, Aug 25, 2015 22:25
Fatma, Nchi yako ni changa kwa sababu mbalimbali. Ziko za nje na za ndani. Ziko za uzembe wa viongozi na zipo za mazingira tuliyomo. Nitaeleza kwa ufupi ninavyoamini kwa nini nchi yetu ni changa 1) Mwanzaoni mwa uhuru wetu tulikuwa tunakabiliwa na tatizo la majirani zetu kuwa chini ya utawala ambao tuliona tusipowasaidia nasi hatutakuwa huru. Hivyo tukatumia nyenzo zetu nyingi kuzisaidia nchi jirani zipate uhuru. Katika kipindi hicho Tuliamua kuwa na mwelekeo wa uujamaa na kujitegemea. Bahati mbaya watekelezaji wake wakakazania ujamaa na kusahau kipengele cha kujitegemea. Tulizidisha demokrasia katika hili hivyo uchumi wetu ukakosa kukua kama tulivyotegemea. Ni kipindi hicho kutokana ujirani mbaya tuliamua kutwangana na jirani yetu ili kuhakikisha tuna jirani mzuri. Kipindi hicho tukakopa hela tukajenga miundo mbinu kadhaa ikiwa ni viwanda vya nguo, nyama, baranara, reli etc. 2) Kipindi hicho wakati tunabadilisha uongozi tukakabiliwa na shinikizo kutoka nje WB na IMF. Tukalazimika kubadilisha mwelekeo kutoka ujamaa na kuingia unyang'au. Ynyang'au tukauingia bila mwelekeo. Tukauza viwanda, tukaondoa ruzuku kwa wakulima, kilimo kikadorora. Tukiwa tumekabiliwa na madeni makubwa uchumi wetu ukashindikana kukua. 3) Tukiwa awamu ya pili na ya tatu uchumi ukiyumba watu fulani wenzetu wakaamua kujiangalia wao badala ya kuangaliana. Huku watu tukisema tu maskini baadhi yetu wakawa wanajilimbizia mali. Ni kipindi hicho cha awamu ya tatu tukaamua kulipa madeni ili tuweze kukopesheka. madeni yakalipwa na uchumi mkubwa ukajengwa. Uchumi mkubwa ukijengwa ule wa chini unaomgusa mwananchi ukawa haukui. Matumaini yetu yakawa ni kuwa kwa sababu tumelipa madeni basi ngazi ya nne uchumi utakuwa mzuri na wananchi watanufaika. Ndiyo maana ikaja kauli mbiu ya Ari mpya, nguvu mpya na Kasi mpya tanzania yenye neema inawezekana. lakini awamu hii nayo ikakabiliwa na uongozi mbovu kufuatana na upeo wa ma'dereva'. 4) Uvivu umekuwa ni utamaduni wetu. hatua ya nne ikaingia kwa matumaini hayo. Huku uvivu ukistawi miongoni mwa watu wetu matumaini kuwa wanasiasa watatulisha yakastawi. Huku hayo yakijili Ubinafsi ukastawi na kufikia kubatizwa ufisadi. watu wachache walioko madarakani wakajiangalia wao. Watanzania wavivu wakasubiri kupewa kila kitu na serikali iliyojaa ubadhilifu. Makubwa. Tatizo jingine nchi yetu ikawa na raslimali nyingi. Tukazubaishwa na wahuni toka nje kuwa watatufadhili kumbe wanatuibia. Jinsi unavyoona tunabebwa kwenda kwenye mikutano kuwashangi;ia wezi wanaotaka kuwa viongozi ndivyo na wahuni wanavyotuletea vyandarua na 'soks' za kueneza ukimwi wakaondoka na dhahabu. Ni kutokana na hayo watu tunaoona haya tunataka kuwa waangalifu wa watu wanaotudanganya. wako kila mahala. wako CCM wako Chadema. kabla ya chadema kuwa contaminated tulikuwa tunaitumaini. tunaposema tusiitumaini tena wengine wanafikiri ni ushabiki na ushambenga wa kisiasa. Sio Tunaeleza tunachokijua. Tumedanganywa mara nyingi tunajua tunavyodanganywa. Tusikilizeni. Nyerere alisema Watanzania wanataka mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya CCM watayapata nje. Uwezekano wa kuyapata nje ulikuwa kabla wakimbizi au wahamiaji halali kuiingilia kuivamia CHADEMA. Tulisema hivyo kwa uhakika nasasa tunasema kwa uhakika kuwa Heri kuikumbatia CCM ili a) Tusubiri tuiunde upya CHADEMA au b) Tunaweza kuyapata ndani ya CCM na dalili hizi tuzione Kujaribu kwenda nje sasa hivi kutafuta mabadiliko tutakuja kulia kwa kukosa hata tulichokuwa nacho. Fatma Mwanangu/mdogo wangu (chagua moja, nilizaliwa 1952) niliyoyaandika sikuyapangilia lakini yakipangiliwa yanakosa vitu vichache kukamilisha jibu la swali lako. Elisa Muhingo -------------------------------------------- On Tue, 8/25/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote: Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA To: wanabidii@googlegroups.com Date: Tuesday, August 25, 2015, 8:58 PM Elisa Naomba uniambie kwanini nchi yangu bado ni changa ilihali imepata uhuru wake miezi sita kabla sijazaliwa. Nakaribia kustaafu kwa hiari wakati nchi yangu bado ni changa. Kinachosababisha hadi leo tudumae tusikue ni kitu gani? Kama ni ahadi tu kila aliekuja alikuja na kibwagizo kizuuuri ambacho kama kingetimia basi tungekuwa mbali. Maradhi yaliyoidumaza nchi yangu siyo ya individuals bali ni ya mfumo wa chama. Binafsi namkubali sana Magufuli kama nilivyokuwa nawakubali wenzake waliopita. But look where are we? Bado wachanga.... Hadi lini ndugu yangu? Naungana na wenzangu kuyakubali mabadiliko kwa sababu Mazoea yamewafanya wapofu hadi wanafikia kutuita wapumbavu na sisi tunashangilia. Wakikaa pembeni japo miaka mitano watazindukana na tutapata maendeleo tunayoyataka Fatma Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania. -----Original Message----- From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Tue, 25 Aug 2015 09:18:14 To: <wanabidii@googlegroups.com> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA Marekani inaweza kutawaliwa hata na Shosnega (SP). Kama ni ndege tunaweza kusema abiria wamefungua mikanda. na rubani anaweza kutoka kwenye cockpit. Sio tanzania ndugu Emmanuel. Tanzania sio ya kuendeshwa kichekibob. Ni changa mno bado -------------------------------------------- On Tue, 8/25/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote: Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Tuesday, August 25, 2015, 6:58 PM Hata Ronald Reagan alikuwa mwanasanaa, cowboy, radio broadcaster, etc. etc. Leo kuna baadhi ya Wamarekani wanamwona bado kuwa alikuwaone of the best presidents of this nation.em 2015-08-25 10:29 GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>: Kwani hiyo miaka iliyopita unayosema lowasa alikuwa wapi? On Aug 25, 2015 4:52 PM, "John Lemomo" <johnlemomo@gmail.com> wrote: Huna jipya Elisa.. unaeleweka. Na wanaoahidi mambo ambayo yalipaswa kuwa yamefanyika tangu miaka 40 iliyopita unawaweka fungu gani? 2015-08-25 14:35 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>: -- Niliwahi kusoma mahala kuwa Digree ya kwanza ya Edward Lowasa, Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni ya sanaa. Jana 24 August 2015 yeye na mgombea mwenza walijitokeza stand ya daladala Gongo la mboto na wakapanda daladala na kulipa nauli. Ikatafsiriwa na watu kuwa hiyo ni kuonyesha kuwa yeye ni mtu wa watu maana amepanda daladala. Mimi sikuona hivyo. Nilitaka kufikiri kuwa anataka kuyaelewa matatizo ya watu. Nikasita kuamini hivyo. Ingekuwa hivyo kama angekwenda huko kabla ya kugombea ili tufikiri kuwa alipoyaona matatizo ndipo akaamua kugombea. Wakati nikitafakari nikasikia kuwa leo ameibukia sokoni Tandale. Nimeona picha akinywa chai (kama alikuwa haigizi). Nimeyajumlisha nikashindwa kukubali kuwa hiyo ni dalili ya kuonyesha kuwa huyu ni kiongozi bora. jambo ambalo wengi tunaweza kukubaliana ni kuwa anafanya maigizo. Dr Mwakyembe wakati anajaribu treni za dar Es salaam aliwahi kusafiri nayo. Rais wa Zanzibar wakati ule Aboud Jumbe aliwahi kusafiri na train nadhani kutoka Dar mpaka tabora. Alikuwa na sababu. alikuwa kazini. Hii ya Lowasa sio. Na kama kuna mtu akivutwa na hilo akaamua kumpa kura huyo mtu ana matatizo makubwa. Sitarajii kusikia kuwa sasa anachangamana na watu kwa hiyo anafaa. najua wasanii wengi wamejaribu kuingia siasa. Wamegombea wengi . Wengine wamekosa nafasi za kuendelea mbele. Kwa nafasi za ubunge na udiwani twaweza kuwajaribu wakachangamshe mijadala bungeni na mabaraza wa madiwani. Elisa Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment