Tuesday, 25 August 2015

Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA

Mimi i mmoja kati ya wanaomwandama Lowasa. nikijibu kwa nafsi yangu simwandami kwa sababu amehamia CHADEMA. nilimwandama akiwa ndani ya CCM na wakati huo tukisaidiana na Chadema. Lengo lilikuwa asipate nafasi ya kugombea. nakusudi ni kuwa mtu mwenye nguvu kama yeye na mtandao mkubwa hafai kuwa Rais wetu. Uzoefu tulioupata kwa JK unatutosha hatumtaki tena mtu wa namna hiyo. kama CHADEMA ingemteua Slaa mathalan na CCM ikamteua Magufuli mimi binafsi ningekuwa naandika maswala ya sera na ilani. Kwa hiyo namuandama kama nilivyomuandama akiwa ndani ya CCM na ndiyo maana haikumchagua maana ilijua ataiangusha. Na sasa wanafurahi kwa sababu wanajua kabla ya uchaguzi 25 October wapiga kura watakuwa wamejua na watafanya uamuzi sahihi.
--------------------------------------------
On Tue, 8/25/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, August 25, 2015, 9:35 PM

Nauliza
swali. Hivi tunamwandama Lowassa kwa sababu kahamia
upinzani? Kwa sababu kama ni makosa ya kimfumo chama chote
cha CCM akiwemo Magufuli kinapaswa kubebeshwa lawama. Kama
ni usanii, hakuna msanii anayemzidi Kikwete kwa kutoa ahadi
za uongo na tukampigia makofi na kumtajirisha yeye na
familia yake in the process.Mpaka pake Tanzania
tutakapoamua kuwa na institutional presidency tutaendelea
kuchezewa na wasanii, including
Magufuli.em
2015-08-25 14:02 GMT-04:00
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Jee-ameshawahi kwenda ktk vijiji
vyake Monduli kuinama chini kunywa maji ya kijani machafu ya
mvua yaliyovchanganyika na kinyesi cha mifugo, miguu ya watu
imepita hapo na kina mama na maguduria na punda wanachota
hapo au watoto kuinama kunywa ili aone tabu ya maji
itokanayo na environmental degradation ya shughuli za
ufugaji na kilimo kisicho endelevu. Ina maana siku zote hizo
akipita na gari toka awe na vyeo serikalini alikuwa haoni
msingamano wa magari, daladala mbovu zilizokufa barabarani,
matakataka yaliyotupwa hovyo mitaroni na barabarani na mama
ntilie anauza mlo hapo na ghasia zote za magari na vendors
miji mikuu, midogo na vijijini? Hekaya za abunuasi na
hadithi za alinacha. Njaa ya vyeo zitaleta mengi. Viini
macho too much

--------------------------------------------

On Tue, 25/8/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 Subject: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Tuesday, 25 August, 2015, 14:35

  --

 Niliwahi kusoma mahala kuwa Digree ya kwanza ya Edward

 Lowasa, Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni ya
sanaa.

 Jana 24 August 2015 yeye na mgombea mwenza walijitokeza

 stand ya daladala Gongo la mboto na wakapanda daladala
na

 kulipa nauli.

 Ikatafsiriwa na watu kuwa hiyo ni kuonyesha kuwa yeye ni
mtu

 wa watu maana amepanda daladala. Mimi sikuona hivyo.

 Nilitaka kufikiri kuwa anataka kuyaelewa matatizo ya
watu.

 Nikasita kuamini hivyo. Ingekuwa hivyo kama angekwenda
huko

 kabla ya kugombea ili tufikiri kuwa alipoyaona matatizo

 ndipo akaamua kugombea. Wakati nikitafakari nikasikia
kuwa

 leo ameibukia sokoni Tandale. Nimeona picha akinywa
chai

 (kama alikuwa haigizi).

 Nimeyajumlisha nikashindwa kukubali kuwa hiyo ni dalili
ya

 kuonyesha kuwa huyu ni kiongozi bora. jambo ambalo
wengi

 tunaweza kukubaliana ni kuwa anafanya maigizo.

 Dr Mwakyembe wakati anajaribu treni za dar Es salaam
aliwahi

 kusafiri nayo. Rais wa Zanzibar wakati ule Aboud Jumbe

 aliwahi kusafiri na train nadhani kutoka Dar mpaka
tabora.

 Alikuwa na sababu. alikuwa kazini.

 Hii ya Lowasa sio. Na kama kuna mtu akivutwa na hilo
akaamua

 kumpa kura huyo mtu ana matatizo makubwa.

 Sitarajii kusikia kuwa sasa anachangamana na watu kwa
hiyo

 anafaa. najua wasanii wengi wamejaribu kuingia siasa.

 Wamegombea wengi . Wengine wamekosa nafasi za kuendelea

 mbele. Kwa nafasi za ubunge na udiwani twaweza
kuwajaribu

 wakachangamshe mijadala bungeni na mabaraza wa
madiwani.

 Elisa

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment