Tuesday, 25 August 2015

Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA

Kila jambo na wakati



On Wednesday, August 26, 2015 3:47 AM, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Muhingo hata mkatembee nchi nzima ww na mwenzako pole pole muongee na mapovu yawatoke,'lowasa ni rais wako,'kila anachokifanya ww hutaki kukikubali
Mtakaukaa koo na saana mtapigwa macho
Lesian

wasitara@gmail.com wrote:

@Elisa Hongera kwa majibu yako. Mbona hutumi a/c yako ya Twitter?
----- Reply message -----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
Date: Tue, Aug 25, 2015 22:25

Fatma, Nchi yako ni changa kwa sababu mbalimbali. Ziko za nje na za ndani. Ziko za uzembe wa viongozi na zipo za mazingira tuliyomo. Nitaeleza kwa ufupi ninavyoamini kwa nini nchi yetu ni changa  1) Mwanzaoni mwa uhuru wetu tulikuwa tunakabiliwa na tatizo la majirani zetu kuwa chini ya utawala ambao tuliona tusipowasaidia nasi hatutakuwa huru. Hivyo tukatumia nyenzo zetu nyingi kuzisaidia nchi jirani zipate uhuru.  Katika kipindi hicho Tuliamua kuwa na mwelekeo wa uujamaa na kujitegemea. Bahati mbaya watekelezaji wake wakakazania ujamaa na kusahau kipengele cha kujitegemea. Tulizidisha demokrasia katika hili hivyo uchumi wetu ukakosa kukua kama tulivyotegemea. Ni kipindi hicho kutokana ujirani mbaya tuliamua kutwangana na jirani yetu ili kuhakikisha tuna jirani mzuri. Kipindi hicho tukakopa hela tukajenga miundo mbinu kadhaa ikiwa ni viwanda vya nguo, nyama, baranara, reli etc.    2) Kipindi hicho wakati tunabadilisha uongozi tukakabiliwa na shinikizo kutoka nje WB na IMF. Tukalazimika kubadilisha mwelekeo kutoka ujamaa na kuingia unyang'au. Ynyang'au tukauingia bila mwelekeo. Tukauza viwanda, tukaondoa ruzuku kwa wakulima, kilimo kikadorora. Tukiwa tumekabiliwa na madeni makubwa uchumi wetu ukashindikana kukua.     3) Tukiwa awamu ya pili na ya tatu uchumi ukiyumba watu fulani wenzetu wakaamua kujiangalia wao badala ya kuangaliana. Huku watu tukisema tu maskini baadhi yetu wakawa wanajilimbizia mali. Ni kipindi hicho cha awamu ya tatu tukaamua kulipa madeni ili tuweze kukopesheka. madeni yakalipwa na uchumi mkubwa ukajengwa. Uchumi mkubwa ukijengwa ule wa chini unaomgusa mwananchi ukawa haukui. Matumaini yetu yakawa ni kuwa kwa sababu tumelipa madeni basi ngazi ya nne uchumi utakuwa mzuri na wananchi watanufaika. Ndiyo maana ikaja kauli mbiu ya Ari mpya, nguvu mpya na Kasi mpya tanzania yenye neema inawezekana. lakini awamu hii nayo ikakabiliwa na uongozi mbovu kufuatana na upeo wa ma'dereva'.    4) Uvivu umekuwa ni utamaduni wetu. hatua ya nne ikaingia kwa matumaini hayo. Huku uvivu ukistawi miongoni mwa watu wetu matumaini kuwa wanasiasa watatulisha yakastawi. Huku hayo yakijili Ubinafsi ukastawi na kufikia kubatizwa ufisadi. watu wachache walioko madarakani wakajiangalia wao. Watanzania wavivu wakasubiri kupewa kila kitu na serikali iliyojaa ubadhilifu. Makubwa.  Tatizo jingine nchi yetu ikawa na raslimali nyingi. Tukazubaishwa na wahuni toka nje kuwa watatufadhili kumbe wanatuibia. Jinsi unavyoona tunabebwa kwenda kwenye mikutano kuwashangi;ia wezi wanaotaka kuwa viongozi ndivyo na wahuni wanavyotuletea vyandarua na 'soks' za kueneza ukimwi wakaondoka na dhahabu.    Ni kutokana na hayo watu tunaoona haya tunataka kuwa waangalifu wa watu wanaotudanganya. wako kila mahala. wako CCM wako Chadema.  kabla ya chadema kuwa contaminated tulikuwa tunaitumaini. tunaposema tusiitumaini tena wengine wanafikiri ni ushabiki na ushambenga wa kisiasa. Sio  Tunaeleza tunachokijua. Tumedanganywa mara nyingi tunajua tunavyodanganywa. Tusikilizeni.  Nyerere alisema Watanzania wanataka mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya CCM watayapata nje. Uwezekano wa kuyapata nje ulikuwa kabla wakimbizi au wahamiaji halali kuiingilia kuivamia CHADEMA. Tulisema hivyo kwa uhakika nasasa tunasema kwa uhakika kuwa Heri kuikumbatia CCM ili a) Tusubiri tuiunde upya CHADEMA au  b) Tunaweza kuyapata ndani ya CCM na dalili hizi tuzione  Kujaribu kwenda nje sasa hivi kutafuta mabadiliko tutakuja kulia kwa kukosa hata tulichokuwa nacho.  Fatma Mwanangu/mdogo wangu (chagua moja, nilizaliwa 1952) niliyoyaandika sikuyapangilia lakini yakipangiliwa yanakosa vitu vichache kukamilisha jibu la swali lako.  Elisa Muhingo  --------------------------------------------  On Tue, 8/25/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:     Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA   To: wanabidii@googlegroups.com   Date: Tuesday, August 25, 2015, 8:58 PM      Elisa      Naomba uniambie kwanini nchi yangu bado ni changa ilihali   imepata uhuru wake miezi sita kabla sijazaliwa. Nakaribia   kustaafu kwa hiari wakati nchi yangu bado ni changa.   Kinachosababisha hadi leo tudumae tusikue ni kitu   gani?  Kama ni ahadi tu kila aliekuja alikuja na   kibwagizo kizuuuri ambacho kama kingetimia basi tungekuwa   mbali. Maradhi yaliyoidumaza nchi yangu siyo ya individuals   bali ni ya mfumo wa chama. Binafsi namkubali sana Magufuli   kama nilivyokuwa nawakubali wenzake waliopita. But look   where are we? Bado wachanga.... Hadi lini ndugu yangu?   Naungana na wenzangu kuyakubali mabadiliko kwa sababu Mazoea   yamewafanya wapofu hadi wanafikia kutuita wapumbavu na sisi   tunashangilia. Wakikaa pembeni japo miaka mitano   watazindukana na tutapata maendeleo tunayoyataka      Fatma      Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel   Tanzania.      -----Original Message-----   From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>   Sender: wanabidii@googlegroups.com   Date: Tue, 25 Aug 2015 09:18:14    To: <wanabidii@googlegroups.com>   Reply-To: wanabidii@googlegroups.com   Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA      Marekani inaweza kutawaliwa hata na Shosnega (SP). Kama ni   ndege tunaweza kusema abiria wamefungua mikanda. na rubani   anaweza kutoka kwenye cockpit. Sio tanzania ndugu Emmanuel.   Tanzania sio ya kuendeshwa kichekibob. Ni changa mno bado   --------------------------------------------   On Tue, 8/25/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>   wrote:       Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA    To: "wanabidii@googlegroups.com"   <wanabidii@googlegroups.com>    Date: Tuesday, August 25, 2015, 6:58 PM        Hata Ronald Reagan    alikuwa mwanasanaa, cowboy, radio broadcaster, etc. etc.   Leo    kuna baadhi ya Wamarekani wanamwona bado kuwa    alikuwaone of the best presidents of this    nation.em    2015-08-25 10:29    GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:    Kwani hiyo miaka iliyopita    unayosema lowasa alikuwa wapi?    On Aug 25, 2015 4:52    PM, "John Lemomo" <johnlemomo@gmail.com>    wrote:    Huna jipya Elisa..    unaeleweka.        Na wanaoahidi mambo ambayo yalipaswa kuwa yamefanyika    tangu miaka 40 iliyopita unawaweka fungu gani?        2015-08-25 14:35    GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:     --        Niliwahi kusoma mahala kuwa Digree ya kwanza ya Edward    Lowasa, Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni ya sanaa.        Jana 24 August 2015 yeye na mgombea mwenza walijitokeza    stand ya daladala Gongo la mboto na wakapanda daladala na    kulipa nauli.        Ikatafsiriwa na watu kuwa hiyo ni kuonyesha kuwa yeye ni   mtu    wa watu maana amepanda daladala. Mimi sikuona hivyo.    Nilitaka kufikiri kuwa anataka kuyaelewa matatizo ya watu.    Nikasita kuamini hivyo. Ingekuwa hivyo kama angekwenda   huko    kabla ya kugombea ili tufikiri kuwa alipoyaona matatizo    ndipo akaamua kugombea. Wakati nikitafakari nikasikia kuwa    leo ameibukia sokoni Tandale. Nimeona picha akinywa chai    (kama alikuwa haigizi).        Nimeyajumlisha nikashindwa kukubali kuwa hiyo ni dalili ya    kuonyesha kuwa huyu ni kiongozi bora. jambo ambalo wengi    tunaweza kukubaliana ni kuwa anafanya maigizo.        Dr Mwakyembe wakati anajaribu treni za dar Es salaam   aliwahi    kusafiri nayo. Rais wa Zanzibar wakati ule Aboud Jumbe    aliwahi kusafiri na train nadhani kutoka Dar mpaka tabora.    Alikuwa na sababu. alikuwa kazini.        Hii ya Lowasa sio. Na kama kuna mtu akivutwa na hilo   akaamua    kumpa kura huyo mtu ana matatizo makubwa.        Sitarajii kusikia kuwa sasa anachangamana na watu kwa hiyo    anafaa. najua wasanii wengi wamejaribu kuingia siasa.    Wamegombea wengi . Wengine wamekosa nafasi za kuendelea    mbele. Kwa nafasi za ubunge na udiwani twaweza kuwajaribu    wakachangamshe mijadala bungeni na mabaraza wa madiwani.                Elisa                 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com                                   Kujiondoa Tuma Email kwenda                 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com          Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma                                   Disclaimer:                 Everyone posting to this Forum bears the sole    responsibility         for any legal consequences of his or her postings, and    hence         statements and facts must be presented responsibly. Your         continued membership signifies that you agree to this         disclaimer and pledge to abide by our Rules and         Guidelines.                 ---                 You received this message because you are subscribed to    the         Google Groups "Wanabidii" group.                 To unsubscribe from this group and stop receiving emails         from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.                 For more options, visit   https://groups.google.com/d/optout.                                                                 --                 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com                                   Kujiondoa Tuma Email kwenda                 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com          Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma                                   Disclaimer:                 Everyone posting to this Forum bears the sole    responsibility         for any legal consequences of his or her postings, and    hence         statements and facts must be presented responsibly. Your         continued membership signifies that you agree to this         disclaimer and pledge to abide by our Rules and         Guidelines.                 ---                 You received this message because you are subscribed to    the         Google Groups "Wanabidii" group.                 To unsubscribe from this group and stop receiving emails         from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.                 For more options, visit   https://groups.google.com/d/optout.                                                 --                 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com                                   Kujiondoa Tuma Email kwenda                 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com     Utapata Email ya         kudhibitisha ukishatuma                                   Disclaimer:                 Everyone posting to this Forum bears the sole    responsibility         for any legal consequences of his or her postings, and    hence         statements and facts must be presented responsibly. Your         continued membership signifies that you agree to this         disclaimer and pledge to abide by our Rules and         Guidelines.                 ---                 You received this message because you are subscribed to    the         Google Groups "Wanabidii" group.                 To unsubscribe from this group and stop receiving emails         from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.                 For more options, visit   https://groups.google.com/d/optout.                        --        Send Emails to wanabidii@googlegroups.com                Kujiondoa Tuma Email kwenda        wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com     Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma                Disclaimer:        Everyone posting to this Forum bears the sole   responsibility    for any legal consequences of his or her postings, and   hence    statements and facts must be presented responsibly. Your    continued membership signifies that you agree to this    disclaimer and pledge to abide by our Rules and   Guidelines.        ---        You received this message because you are subscribed to   the    Google Groups "Wanabidii" group.        To unsubscribe from this group and stop receiving emails    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.        For more options, visit   https://groups.google.com/d/optout.                            --         Send Emails to wanabidii@googlegroups.com                 Kujiondoa Tuma Email kwenda         wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com     Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma                 Disclaimer:        Everyone posting to this Forum bears the sole   responsibility    for any legal consequences of his or her postings, and   hence    statements and facts must be presented responsibly. Your    continued membership signifies that you agree to this    disclaimer and pledge to abide by our Rules and   Guidelines.        ---         You received this message because you are subscribed to   the    Google Groups "Wanabidii" group.        To unsubscribe from this group and stop receiving emails    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.        For more options, visit   https://groups.google.com/d/optout.                        --         Send Emails to wanabidii@googlegroups.com                 Kujiondoa Tuma Email kwenda         wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com     Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma                 Disclaimer:        Everyone posting to this Forum bears the sole   responsibility    for any legal consequences of his or her postings, and   hence    statements and facts must be presented responsibly. Your    continued membership signifies that you agree to this    disclaimer and pledge to abide by our Rules and   Guidelines.        ---         You received this message because you are subscribed to   the    Google Groups "Wanabidii" group.        To unsubscribe from this group and stop receiving emails    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.        For more options, visit   https://groups.google.com/d/optout.                            --         Send Emails to wanabidii@googlegroups.com                 Kujiondoa Tuma Email kwenda         wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com    Utapata Email ya    kudhibitisha ukishatuma                 Disclaimer:        Everyone posting to this Forum bears the sole   responsibility    for any legal consequences of his or her postings, and   hence    statements and facts must be presented responsibly. Your    continued membership signifies that you agree to this    disclaimer and pledge to abide by our Rules and   Guidelines.        ---         You received this message because you are subscribed to   the    Google Groups "Wanabidii" group.        To unsubscribe from this group and stop receiving emails    from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.        For more options, visit   https://groups.google.com/d/optout.          --    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com      Kujiondoa Tuma Email kwenda    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com    Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma      Disclaimer:   Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility   for any legal consequences of his or her postings, and hence   statements and facts must be presented responsibly. Your   continued membership signifies that you agree to this   disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.   ---    You received this message because you are subscribed to the   Google Groups "Wanabidii" group.   To unsubscribe from this group and stop receiving emails   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.      --    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com      Kujiondoa Tuma Email kwenda    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com    Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma      Disclaimer:   Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility   for any legal consequences of his or her postings, and hence   statements and facts must be presented responsibly. Your   continued membership signifies that you agree to this   disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.   ---    You received this message because you are subscribed to the   Google Groups "Wanabidii" group.   To unsubscribe from this group and stop receiving emails   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.   For more options, visit   https://groups.google.com/d/optout.    --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com    Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma    Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  ---   You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.  
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment