Tuesday, 25 August 2015

Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA

Nimevaa helmet. matofari lazima Lesian ayarushe. lakini hizi bado ni harasing Fire tu. Zenyewe. Zenyewe za kutoboa kichwa bado.
--------------------------------------------
On Tue, 8/25/15, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 25, 2015, 2:43 PM

Asante
ndugu

Sasa jiandae kushambuliwa.

Mrema nae aliwahi kula kitumbua hapo Tandale ila haikuwa
kwenye kampeni.

Ilikuwa ni wakati ule siku 7 zake zimeshika kasi.

Walewale
On Aug 25, 2015 2:35 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
 --

Niliwahi kusoma mahala kuwa Digree ya kwanza ya Edward
Lowasa, Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni ya sanaa.

Jana 24 August 2015 yeye na mgombea mwenza walijitokeza
stand ya daladala Gongo la mboto na wakapanda daladala na
kulipa nauli.

Ikatafsiriwa na watu kuwa hiyo ni kuonyesha kuwa yeye ni mtu
wa watu maana amepanda daladala. Mimi sikuona hivyo.
Nilitaka kufikiri kuwa anataka kuyaelewa matatizo ya watu.
Nikasita kuamini hivyo. Ingekuwa hivyo kama angekwenda huko
kabla ya kugombea ili tufikiri kuwa alipoyaona matatizo
ndipo akaamua kugombea. Wakati nikitafakari nikasikia kuwa
leo ameibukia sokoni Tandale. Nimeona picha akinywa chai
(kama alikuwa haigizi).

Nimeyajumlisha nikashindwa kukubali kuwa hiyo ni dalili ya
kuonyesha kuwa huyu ni kiongozi bora. jambo ambalo wengi
tunaweza kukubaliana ni kuwa anafanya maigizo.

Dr Mwakyembe wakati anajaribu treni za dar Es salaam aliwahi
kusafiri nayo. Rais wa Zanzibar wakati ule Aboud Jumbe
aliwahi kusafiri na train nadhani kutoka Dar mpaka tabora.
Alikuwa na sababu. alikuwa kazini.

Hii ya Lowasa sio. Na kama kuna mtu akivutwa na hilo akaamua
kumpa kura huyo mtu ana matatizo makubwa.

Sitarajii kusikia kuwa sasa anachangamana na watu kwa hiyo
anafaa. najua wasanii wengi wamejaribu kuingia siasa.
Wamegombea wengi . Wengine wamekosa nafasi za kuendelea
mbele. Kwa nafasi za ubunge na udiwani twaweza kuwajaribu
wakachangamshe mijadala bungeni na mabaraza wa madiwani.

Elisa

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment