Tuesday, 25 August 2015

Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA

Fatma, Nchi yako ni changa kwa sababu mbalimbali. Ziko za nje na za ndani. Ziko za uzembe wa viongozi na zipo za mazingira tuliyomo. Nitaeleza kwa ufupi ninavyoamini kwa nini nchi yetu ni changa
1) Mwanzaoni mwa uhuru wetu tulikuwa tunakabiliwa na tatizo la majirani zetu kuwa chini ya utawala ambao tuliona tusipowasaidia nasi hatutakuwa huru. Hivyo tukatumia nyenzo zetu nyingi kuzisaidia nchi jirani zipate uhuru.
Katika kipindi hicho Tuliamua kuwa na mwelekeo wa uujamaa na kujitegemea. Bahati mbaya watekelezaji wake wakakazania ujamaa na kusahau kipengele cha kujitegemea. Tulizidisha demokrasia katika hili hivyo uchumi wetu ukakosa kukua kama tulivyotegemea. Ni kipindi hicho kutokana ujirani mbaya tuliamua kutwangana na jirani yetu ili kuhakikisha tuna jirani mzuri. Kipindi hicho tukakopa hela tukajenga miundo mbinu kadhaa ikiwa ni viwanda vya nguo, nyama, baranara, reli etc.

2) Kipindi hicho wakati tunabadilisha uongozi tukakabiliwa na shinikizo kutoka nje WB na IMF. Tukalazimika kubadilisha mwelekeo kutoka ujamaa na kuingia unyang'au. Ynyang'au tukauingia bila mwelekeo. Tukauza viwanda, tukaondoa ruzuku kwa wakulima, kilimo kikadorora. Tukiwa tumekabiliwa na madeni makubwa uchumi wetu ukashindikana kukua.

3) Tukiwa awamu ya pili na ya tatu uchumi ukiyumba watu fulani wenzetu wakaamua kujiangalia wao badala ya kuangaliana. Huku watu tukisema tu maskini baadhi yetu wakawa wanajilimbizia mali. Ni kipindi hicho cha awamu ya tatu tukaamua kulipa madeni ili tuweze kukopesheka. madeni yakalipwa na uchumi mkubwa ukajengwa. Uchumi mkubwa ukijengwa ule wa chini unaomgusa mwananchi ukawa haukui. Matumaini yetu yakawa ni kuwa kwa sababu tumelipa madeni basi ngazi ya nne uchumi utakuwa mzuri na wananchi watanufaika. Ndiyo maana ikaja kauli mbiu ya Ari mpya, nguvu mpya na Kasi mpya tanzania yenye neema inawezekana. lakini awamu hii nayo ikakabiliwa na uongozi mbovu kufuatana na upeo wa ma'dereva'.

4) Uvivu umekuwa ni utamaduni wetu. hatua ya nne ikaingia kwa matumaini hayo. Huku uvivu ukistawi miongoni mwa watu wetu matumaini kuwa wanasiasa watatulisha yakastawi. Huku hayo yakijili Ubinafsi ukastawi na kufikia kubatizwa ufisadi. watu wachache walioko madarakani wakajiangalia wao. Watanzania wavivu wakasubiri kupewa kila kitu na serikali iliyojaa ubadhilifu. Makubwa.
Tatizo jingine nchi yetu ikawa na raslimali nyingi. Tukazubaishwa na wahuni toka nje kuwa watatufadhili kumbe wanatuibia. Jinsi unavyoona tunabebwa kwenda kwenye mikutano kuwashangi;ia wezi wanaotaka kuwa viongozi ndivyo na wahuni wanavyotuletea vyandarua na 'soks' za kueneza ukimwi wakaondoka na dhahabu.

Ni kutokana na hayo watu tunaoona haya tunataka kuwa waangalifu wa watu wanaotudanganya. wako kila mahala. wako CCM wako Chadema.
kabla ya chadema kuwa contaminated tulikuwa tunaitumaini. tunaposema tusiitumaini tena wengine wanafikiri ni ushabiki na ushambenga wa kisiasa. Sio
Tunaeleza tunachokijua. Tumedanganywa mara nyingi tunajua tunavyodanganywa. Tusikilizeni.
Nyerere alisema Watanzania wanataka mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya CCM watayapata nje. Uwezekano wa kuyapata nje ulikuwa kabla wakimbizi au wahamiaji halali kuiingilia kuivamia CHADEMA. Tulisema hivyo kwa uhakika nasasa tunasema kwa uhakika kuwa Heri kuikumbatia CCM ili a) Tusubiri tuiunde upya CHADEMA au
b) Tunaweza kuyapata ndani ya CCM na dalili hizi tuzione
Kujaribu kwenda nje sasa hivi kutafuta mabadiliko tutakuja kulia kwa kukosa hata tulichokuwa nacho.
Fatma Mwanangu/mdogo wangu (chagua moja, nilizaliwa 1952) niliyoyaandika sikuyapangilia lakini yakipangiliwa yanakosa vitu vichache kukamilisha jibu la swali lako.
Elisa Muhingo
--------------------------------------------
On Tue, 8/25/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 25, 2015, 8:58 PM

Elisa

Naomba uniambie kwanini nchi yangu bado ni changa ilihali
imepata uhuru wake miezi sita kabla sijazaliwa. Nakaribia
kustaafu kwa hiari wakati nchi yangu bado ni changa.
Kinachosababisha hadi leo tudumae tusikue ni kitu
gani?  Kama ni ahadi tu kila aliekuja alikuja na
kibwagizo kizuuuri ambacho kama kingetimia basi tungekuwa
mbali. Maradhi yaliyoidumaza nchi yangu siyo ya individuals
bali ni ya mfumo wa chama. Binafsi namkubali sana Magufuli
kama nilivyokuwa nawakubali wenzake waliopita. But look
where are we? Bado wachanga.... Hadi lini ndugu yangu?
Naungana na wenzangu kuyakubali mabadiliko kwa sababu Mazoea
yamewafanya wapofu hadi wanafikia kutuita wapumbavu na sisi
tunashangilia. Wakikaa pembeni japo miaka mitano
watazindukana na tutapata maendeleo tunayoyataka

Fatma

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.

-----Original Message-----
From: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 25 Aug 2015 09:18:14
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA

Marekani inaweza kutawaliwa hata na Shosnega (SP). Kama ni
ndege tunaweza kusema abiria wamefungua mikanda. na rubani
anaweza kutoka kwenye cockpit. Sio tanzania ndugu Emmanuel.
Tanzania sio ya kuendeshwa kichekibob. Ni changa mno bado
--------------------------------------------
On Tue, 8/25/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

Subject: Re: [wanabidii] LOWASA NA DIGREE YA SANAA
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, August 25, 2015, 6:58 PM

Hata Ronald Reagan
alikuwa mwanasanaa, cowboy, radio broadcaster, etc. etc.
Leo
kuna baadhi ya Wamarekani wanamwona bado kuwa
alikuwaone of the best presidents of this
nation.em
2015-08-25 10:29
GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
Kwani hiyo miaka iliyopita
unayosema lowasa alikuwa wapi?
On Aug 25, 2015 4:52
PM, "John Lemomo" <johnlemomo@gmail.com>
wrote:
Huna jipya Elisa..
unaeleweka.

Na wanaoahidi mambo ambayo yalipaswa kuwa yamefanyika
tangu miaka 40 iliyopita unawaweka fungu gani?

2015-08-25 14:35
GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 --

Niliwahi kusoma mahala kuwa Digree ya kwanza ya Edward
Lowasa, Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni ya sanaa.

Jana 24 August 2015 yeye na mgombea mwenza walijitokeza
stand ya daladala Gongo la mboto na wakapanda daladala na
kulipa nauli.

Ikatafsiriwa na watu kuwa hiyo ni kuonyesha kuwa yeye ni
mtu
wa watu maana amepanda daladala. Mimi sikuona hivyo.
Nilitaka kufikiri kuwa anataka kuyaelewa matatizo ya watu.
Nikasita kuamini hivyo. Ingekuwa hivyo kama angekwenda
huko
kabla ya kugombea ili tufikiri kuwa alipoyaona matatizo
ndipo akaamua kugombea. Wakati nikitafakari nikasikia kuwa
leo ameibukia sokoni Tandale. Nimeona picha akinywa chai
(kama alikuwa haigizi).

Nimeyajumlisha nikashindwa kukubali kuwa hiyo ni dalili ya
kuonyesha kuwa huyu ni kiongozi bora. jambo ambalo wengi
tunaweza kukubaliana ni kuwa anafanya maigizo.

Dr Mwakyembe wakati anajaribu treni za dar Es salaam
aliwahi
kusafiri nayo. Rais wa Zanzibar wakati ule Aboud Jumbe
aliwahi kusafiri na train nadhani kutoka Dar mpaka tabora.
Alikuwa na sababu. alikuwa kazini.

Hii ya Lowasa sio. Na kama kuna mtu akivutwa na hilo
akaamua
kumpa kura huyo mtu ana matatizo makubwa.

Sitarajii kusikia kuwa sasa anachangamana na watu kwa hiyo
anafaa. najua wasanii wengi wamejaribu kuingia siasa.
Wamegombea wengi . Wengine wamekosa nafasi za kuendelea
mbele. Kwa nafasi za ubunge na udiwani twaweza kuwajaribu
wakachangamshe mijadala bungeni na mabaraza wa madiwani.

Elisa

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment