Mfano mzuri wa mbunge na kiongozi wa kuigwa. Wananchi sio wapumbavu. hata waliochukua fomu za ubunge waliona hawatompiku hivyo wakatoa visingizio tu vya kuchelewa kupiga picha, kusahau fomu mojawapo etc. Badala ya kutumia mihela kwa mamilioni kuhonga wasimamizi wa kura, mawakala kuiba kura za wengine, kujaza magari na mapikipiki mafuta, kugawa kofia, fulana na khanga-tumieni mipesa hiyo katika kufanikisha maendeleo ya wananchi jimboni ili jimbo lako liwe la mfano wa kuigwa na wengine. Hata upande daladala ujigongwe juu na milingoti ya gari shingo haiwezi kuinama; uzunguke nchi nzima mchakamchaka unaishia kupunguza kitambi tu lakini wananchi wanateseka utafanikisha kumuweka madarakani mtu asiyekubalika na hana uwezo wa utendajikazi. Hela unazohonga ungezitumia katika bottom-up community-based Mp facilitated development kupigana na viti, kuchomeana nyumba, maandamano ya kumkataa aliyepitishwa, kuhamahama chama na mtu mzima kujifedhehesha kusingelikuwepo.
kama hujalaumu CCM na serikali yake na kuhama chama au kuhama jimbo kugombea kusiko kwenu hawakujui, hawakutaki, unamwaga mihela na kushinda kiwizi kusingelikuwepo kutupotezea resources kufuatia masuala ya magomvi na ya kimahakama. Tuache uroho wa madaraka na misifa isiyo maana na kinyume cha misingi ya maendeleo na demokrasia ya kweli.
Jamani, hakieleweki bongoland miaka hii. Eti mtu anatangaza kutaka demokrasia ambapo yeye mgombea au anayehamahama sasa ni kiongozi au mbunge, diwani miaka yote ya kila uchaguzi toka tupate uhuru anazeekea humo. Au toka vyama vingi vianze habadilishwi kuachia wenzake ni yeye tu kwa mbinu zote. sasa mwaka huu amebwagwa-Anahama. Ili kujilinda sasa na kufuta aibu hiyo-anahama na vyama ndio vinakaribisha makapi ya vyama vingine. Ni kulinda sura kwa kuhamahama au nini? Kila mstaafu serikalini anajiona yeye ndio rais mzuri mtarajiwa? Hii kutokujielewa diseases kuwa kati ya wagombea ubunge, udiwani, Urais kila mmoja yeye ndio anayependwa na kukubalika bila kuona upande wa pili kuwa unaweza ukakosa pathogen wake ni wa aina gani?
Hii kuhakahama disease ya vyama vya siasa Tanzania imetia fora kuwa epidemic katika mwaka huu wa uchaguzi na ndio inaleta kipindupindu cha malumbano ya hoja ya kisiasa yasiyo na tija. Madhara yake kwa maendeleo ya nchi ni makubwa watu kuuza kadi za kura, kukosa kupiga kura na kuja kutokea vurugu nchini. Mungu atusaidie tuone mbali ili tuepuke maovu ya kujiangamiza sisi wenyewe Oct 25..
--------------------------------------------
On Mon, 24/8/15, 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Deo Filikunjombe apita bila ya kupingwa jimbo la Ludewa
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, 24 August, 2015, 14:35
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment