Monday, 30 September 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Al Shaabab Na Chimbuko La Ugaidi ( III)

Maggid,Meles Zenawi ni marehemu Waziri Mkuu wa Ethiopia, hakuwahi kuw Rais.wa Simbeye From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Tuesday, October 1, 2013 7:38 AM Subject: [Mabadiliko] Al Shaabab Na Chimbuko La Ugaidi ( III) Tunapotafakari harakati za kigaidi za kikundi cha Harakaat...
Read More :- "[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Al Shaabab Na Chimbuko La Ugaidi ( III)"

Re: [wanabidii] THE COMMEDY YA DR. ULIMBOKA IMEISHIA HAPA!

Hayo kweli ni maigizo, hivi yule mtesaji mwenye unyama wa kupindukia aliyetajwa na Dr. Ulimboka mwenyewe yuko wapi vile?Naona polisi hawakupata habari hizo licha ya magazeti, redio na TV kuandika na kutangaza, pengine jeshi zima lilikuwa likizo sasa waanze upelezi na moja. Na pa kuanzia si mbali bali ni kumkamata huyo aliyetajwa na Ulimboka mwenyewe kupitia huyo wengine wote waliohusika watapatikana. Teteeee teeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...
Read More :- "Re: [wanabidii] THE COMMEDY YA DR. ULIMBOKA IMEISHIA HAPA!"

[wanabidii] Al Shaabab Na Chimbuko La Ugaidi ( III)

Tunapotafakari harakati za kigaidi za kikundi cha Harakaat Al Shaabab Mujaheedin maarufu kama Al Shaabab, hatuna budi pia kuipitia historia. Kuna taarifa ambazo hazichambuliwi zikawekwa mezani, kuwa nafasi ya Ethiopia katika kuingilia kati na kupambana na Al Shabaab nchini Somalia inatokana pia na ukweli wa kihistoria, kuwa Ethiopia na Somalia kwenye miaka ya 70 wamekuwa kwenye mgogoro wa mipaka  na hususan...
Read More :- "[wanabidii] Al Shaabab Na Chimbuko La Ugaidi ( III)"

Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku; Shaaban Robert Na Wasadikika...

Mjengwa, Busara ya Babu yetu Shaaban Robert uliyonukuu inajidhihirisha kwa vitendo sasa. Eti baada ya shambulio la Alshabaab Nairobi, sasa askari wanafanya ukaguzi unaodaiwa kuwa kina katika viwanja vya mpira, tena katika geti lenye washaabiki wengi tu. wengine wakiwemo na wenye magari wanaachwa tu! Kwa mtazamo wangu hii ni hatua muhimu, lakini ni sawa na kutafuta bakora (wala siyo fimbo) kumtishia nyoka asiyekuwepo eneo la tukio...
Read More :- "Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku; Shaaban Robert Na Wasadikika..."

Re: [wanabidii] THE COMMEDY YA DR. ULIMBOKA IMEISHIA HAPA!

Sasa imekwisha! Mtuhumiwa kahukumiwa na sheria imefuata mkongo wake (kama siyo kwenda na mkondo wa maji)  Lakini Watanzania bado tuna haki ya kuambiwa nani alimteka na kumtesa Dr. Ulimboka? Bila shaka vyombo vua usalama havijalala na vinafanyia kazi suala hili ili tusipate commedy nyengine. Jmakongo   ---------------------------------------------------------------- Japhet Maingu MakongoDirector, Ubunifu Associates...
Read More :- "Re: [wanabidii] THE COMMEDY YA DR. ULIMBOKA IMEISHIA HAPA!"

Re: [wanabidii] KUFUNGIWA MAGAZETI - WAHAFIDHINA SASA WANAONGOZA

Hii hatua ya serikali kufungia magazeti au vyombo vya habari siyo vya leo. Wanatumia sheria kandamizi huku wakijua madhara yake. Hivi wahusika(magazeti yaliyofungiwa)  hawawezi kwenda mahakamani kulalamikia tendo hili. Hii itasaidia kuwa na ushahidi wa kudai kuondolewa kwa sheria hiyo mbovu?     Makongo ---------------------------------------------------------------- Japhet Maingu MakongoDirector,...
Read More :- "Re: [wanabidii] KUFUNGIWA MAGAZETI - WAHAFIDHINA SASA WANAONGOZA"

Re: [wanabidii] THE COMMEDY YA DR. ULIMBOKA IMEISHIA HAPA!

Hivi Masanja alacha kuigiza? hii ingemfaa kutuburudisha From: Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Monday, September 30, 2013 10:05 PMSubject: [wanabidii] THE COMMEDY YA DR. ULIMBOKA IMEISHIA HAPA! MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemhukumu kwenda jela miezi sita au kulipa faini ya sh 1,000, raia wa Kenya, Joshua Mulundi,...
Read More :- "Re: [wanabidii] THE COMMEDY YA DR. ULIMBOKA IMEISHIA HAPA!"

Re: [wanabidii] KUFUNGIWA MAGAZETI - WAHAFIDHINA SASA WANAONGOZA

Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya kuliko kuanika ujinga wako hadharani. Unaujua msemo wa kuchamba kwingi? Acha ujuha wa mchana kweupe. Hiyo serikali iliyokutana au kuwasiliana na Jukwaa la Wahariri ni ipi na ni Jukwaa gani? Kama unatakuitetea serikali wewe sema tu uwe  na ujasiri huo. Kama huna kumbukumbu nitakukumbusha. Mwanahalisi lilipofungiwa siku 90 tuliandamana. Tukalaani. Tulipata kumfungia waziri mkuchika. Kifo...
Read More :- "Re: [wanabidii] KUFUNGIWA MAGAZETI - WAHAFIDHINA SASA WANAONGOZA"