Thursday, 27 June 2013

[wanabidii] tangazo kwa waliopangiwa kazi,hawajamaliza mafunzo kwa vitendo-kada za afya

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TAARIFA KWA MADAKTARI ,WAFAMASIA , MAAFISA AFYA MAZINGIRA NA MAAFISA WATEKNOLOJIA MAABARA WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI WAKIWA BADO WAKO KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNSHIP)
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anapenda kuwataarifu waajiri wote kwamba, katika zoezi la upangaji wa vituo vya kazi imebainika kwamba kwa bahati mbaya wamepangwa madaktari ,wafamasia , maafisa afya mazingira na maafisa wateknolojia maabara ambao bado wako kwenye mafunzo kwa vitendo (internship).

Madaktari ,wafamasia , maafisa afya mazingira na maafisa wateknolojia maabara hawa, hawajasajiliwa kwenye mabaraza yao ya kitaaluma ikiwa ni moja ya masharti wanayotakiwa kutimiza kabla ya kuajiriwa Serikalini kwa mujibu wa Waraka wa Utumishi Na.1 wa mwaka 2009, kuhusu miundo ya kada zilizo chini ya Wizara ya Afya na ustawi wa Jamii. Kwa taarifa hii, wahusika wameondolewa kwenye orodha ya waliopangiwa kazi na nafasi zao zitajazwa na wataalam wengine wenye sifa kwa mujibu wa Muundo.

Aidha, kwa tangazo hili, tunapenda kusisitiza kwamba kwa wale wote waliopangiwa vituo vya kazi wakaripoti moja kwa moja kwa mamlaka ya ajira zao wakiwa na vyeti vya kumaliza mafunzo kwa vitendo (Internship),usajili wa muda(MD), usajili wa kudumu(DDS) na wafamasia.Hakutakuwepo barua maalum za kuwatambulisha kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, hivyo waajiri wote wanatakiwa kuwapokea na kuwapangia kazi.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza kwa waajiri pamoja na wataalam waliopangiwa vituo kwa makosa.

Orodha ya wataalam waliopangiwa vituo vya kazi kwa makosa ni kama ifuatavyo:
MADAKTARI WALIO KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO NA AMBAO HAWAJASALIWA
JINA JINSI ANUANI KITUO CHA KAZI
1 DR. ADROSTER METHOD KYAKABANJA KE C/O SEKOU TOURE REG. HOSP. S.L.P. 132, MWANZA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KYERWA
2 DR. CASTORY J. MWANGA ME S.L.P. 1470 MOSHI KATIBU TAWALA MKOA WA MTWARA
3 DR. CHRISTIAN MICHAEL ME SLP 65007, DSM. MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MAKAMBAKO
4 DR. DANSTAN NGENZI ME S.L.P. 8, IRINGA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MULEBA
5 DR. DAVID MWASOTA ME S.L.P. 1483, MBEYA KATIBU TAWALA MKOA WA SINGIDA
6 DR. ENOCK F. MOYO ME SLP 82, SONGEA. MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA SIMANJIRO
7 DR. ESTHER TIMOTH KE SLP 9083 DSM KATIBU TAWALA MKOA WA ARUSHA
8 DR. FAUSTINA E. MBUYA KE SLP 2946, DSM. KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI
9 DR. FEISAL A. SAID KE 10773 DSM MKURUGENZI WA JIJI TANGA
10 DR. FELICIAN KACHINDE ME S.L.P. 2289, DSM MKURUGENZI WA MANISPAA YA KIGOMA
11 DR. FRIDA PASCAL NJAU KE SLP 11535, ARUSHA. MKURUGENZI WA MANISPAA YA ARUSHA
12 DR. FURAHA MWAKAFWILA ME SLP 29, TUNDUMA. MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KILOLO
13 DR. GABRIEL CHAMBALO ME C/O JUMA M. MAKUNGUS.L.P. 25, MEATU MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MEATU
14 DR. GENDAGENDA MKOMBOZI ME SLP 65014, DSM. MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA SERENGETI
15 DR. GORDIAN J. KIKOMPOLISI ME S.L.P. 65007, DSM MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MISENYI
16 DR. HALID GONGORO ME MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BAGAMOYO
17 DR. HAMIDU ADINANI ME S.L.P. 1438, MOSHI KATIBU TAWALA MKOA WA SIMIYU
18 DR. HENRICK B. MAHENGE ME S.L.P 1446 IRINGA KATIBU TAWALA MKOA WA KILIMANJARO
19 DR. HENRY CHINYUKA ME C/O GOOD SAMARTAN OF TZ S.L.P. 3010 MOSHI MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA ULANGA
20 DR. HENRY JACKSON ME KATIBU TAWALA MKOA WA SINGIDA
21 DR. HONSIA ELISA MOSHI ME S.L.P. 419, MBEYA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA SIKONGE
22 DR. IMMACULATE HENRY KALUNGI KE SLP 65471, DSM. KATIBU TAWALA MKOA WA RUKWA
23 DR. JAIROS N. HILIZA ME C/O MULERA PARISH, SLP 71, KASULU. MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA UVINZA
24 DR. JANE KAGOLI MAGANGA KE SLP 10255, MWANZA. KATIBU TAWALA MKOA WA KAGERA
25 DR. JOHN LUHAGA ME S L P 1464, BUGANDO MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MISUNGWI
26 DR. LEE M. MWAKALINGA ME S.L.P. 3888, MBEYA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA RUNGWE
27 DR. MAJA LUKANYA SOSOMA ME S.L.P. 361, BARIADI - SIMIYU MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BUKOMBE
28 DR. MAJALIWA GERALD MARWA ME KATIBU TAWALA MKOA WA KILIMANJARO
29 DR. MANYANZA SYLVESTER MPONEJA ME S.L.P. 31891, DSM KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE
30 DR. MARIA E. KAPINGA KE SLP 5628 DSM MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA UVINZA
31 DR. MHANDO JOHN ME S.L.P. 904, DODOMA KATIBU TAWALA MKOA WA MOROGORO
32 DR. MUSSA GABRIEL ME SLP 419 MBEYA KATIBU TAWALA MKOA WA NJOMBE
33 DR. NASSIB DAUD MSUYA ME SLP 419, MBEYA. MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA NZEGA
34 DR. NIKUNDIWE KAJIRU ME S.L.P. 419, MBEYA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KYELA
35 DR. NTUGWA NYOROBI ME S.L.P. 1, MASWA SIMIYU KATIBU TAWALA MKOA WA SIMIYU
36 DR. NURU NDOMONDO KE KATIBU TAWALA MKOA WA KAGERA
37 DR. RAJABU A. MRAMBA ME SLP 11501, DSM. KATIBU MKUU WAIZARA YA FYA NA USTAWI JAMII (MBEYA RUFAA)
38 DR. SAMWEL C. MKUMBE ME SLP 2923, MBEYA. MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA HANDENI
39 DR. SHEEL AHMED SALEEM ME S.L.P. 40552, DSM MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA LINDI
40 DR. SOPHIA VALERIAN MOSHA KE SLP 132, MWANZA. KATIBU TAWALA MKOA WA KAGERA
41 DR. SUKE KUBITA MAGEMBE ME SLP 132, MWANZA. MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA KWIMBA
42 DR. WBESTER CHAMI ME S.L.P 152 S'WANGA KATIBU MKUU WAIZARA YA FYA NA USTAWI JAMII (SUMBAWANGA CATC)
43 DR. WILLIAM BENEDICT KAIJAGE ME SLP 33, KALIUA. KATIBU TAWALA MKOA WA TABORA
44 DR. ZAWADI BWANALI ME S.L.P. 634, MASASI KATIBU TAWALA MKOA WA MTWARA
45 DR. ZENA A. SULEIMAN KE S.L.P 72735 DSM KATIBU TAWALA MKOA WA SIMIYU


WAFAMASIA WALIO KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNSHIP)
JINA JINSI ANUANI KITUO CHA KAZI/MWAJIRI
1 ANOLD KATIKIRO ME S.L.P 419 MBEYA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MASWA
2 APOLINARY MWAKABANA ME S.L.P 170 IPINDA - KYELA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MOMBA
3 ERIC MUHIKAMBELE ME S.L.P 5472 MOROGORO KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA
4 EULAMBIUS MATHIAS ME S.L.P.267, LUSHOTO MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA LUSHOTO
5 KALENDOLO J. MASATU ME MKURUGENZI WA MANISPAA YA TEMEKE
6 MAGEMBE K. NGASSA ME S.L.P.100, SAME KATIBU MKUU WIZRA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
7 MARTIN JACKSON ME S L P 87, ARUSHA KATIBU TAWALA MKOA WA MARA
8 MOHAMED S. ULOMBE ME S.L.P 31791 DSM MKURUGENZI WA MANISPAA YA MTWARA
9 MUSTAPHA LUTAVI ME S L P24258, DAR ES SALAAM MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA HANDENI
10 OSWALD MWIHAVA ME S.L.P 19374 DSM KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI
11 SYLIVIA S. SWAI KE S LP 860, BUKOBA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BUKOBA
12 THERESIA E. SHEMSIKA KE S.L.P.3054, MOSHI KATIBU MKUU WIZRA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
13 TIMOTHEO SAMWEL ME S.L.P 419 MBEYA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MLELE
14 CHIMPAYE JULIUS ME S.L.P 12654 DSM MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA RORYA
15 KENETH JOHN ME S.L.P 154 MANYONI SINGIDA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA BUKOMBE
16 MASUDI LUGANDYA ME S.L.P 1370 MWANZA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI MASASI
17 RENATUS FRANCIS ME S.L.P 44 MWANZA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA NAMTUMBO

MAAFISA AFYA MAZINGIRA DARAJA LA II WALIO KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO
NA JINA KAMILI JINSIA ANUANI KITUO CHA KAZI
1 WINFRIDA TIBAKYA F S.L.P104467 DSM MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOSHI


MAAFISA WATEKENOLOJIA MAABARA WALIO KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO
NA JINA KAMILI JINSIA ANUANI KITUO CHA KAZI
1 JACKSON E MACHA ME S L P 317, OLD MOSHI MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA KOROGWE
2 TEDDY F. MSAKI KE S.L.P 480 MOSHI MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOSHI
3 JONATHAN J MUFUMYA ME S L P 79601, DAR ES SALAAM MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MAKAMBAKO


KAIMU KATIBU MKUU
27/6/2013

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment