Sunday 2 June 2013

[wanabidii] Re: [muXalumni:47670] Leo Mchana Nilipomtambulisha Dr. Bruno Sunguya kwa Rais JK!

Hiyo stem cell transplant hata mimi nimeifurahia.Ni nzuri kwa watoto wenye cancer na hata wenye debilitating sickle cell disease pia thalassaemias kwa wenzetu.Nadhani tukiipata hiyo technologia itatusaidia.


2013/6/2 Nyanda Elias Ntinginya <nyanda155@gmail.com>
Kila la heri na Mungu ibariki Tanzania yetu

VSent from my iPhone

On 2 Jun 2013, at 19:29, "Dr. Hamisi A. Kigwangalla" <hkigwangalla@gmail.com> wrote:

Tuko hapa Yokohama kama delegation ya Mhe. Rais Jakaya Kikwete kuhudhuria mkutano wa tano wa Tokyo International Conference on African Development (TICAD V). Mhe. Rais hapa alihudhuria semina iliyoandaliwa na akina Bruno na wasomi wenzake wakishirikiana na NGO ya SAA, na SAGCOT zenye malengo ya kupambana na malnutrition kupitia food and nutrition security programs.

Katika ziara hii Rais pia ametumia fursa hii kuomba tuongezewe nafasi kwenye ile scholarship ya Ph.D. students, ya Monbusho, kama walivyofaidika nayo Ndg zangu Philip Mwimanzi, Magafu GMD na wengine, tumshukuru mungu Waziri Mkuu Shinzo Abe amekubali ombi hilo. Pia kuna maombi ya kutibu cancer za watoto kwa kutumia cell transplant, teknolojia ambayo inaokoa maisha ya watoto wengi sana hapa Japan, na pia Mhe. Rais ameomba waendelee kutujengea uwezo wa nephrology kwenye hospitali zetu zote za rufaa.

Arigato gozaimasu,
HK.<8E9U0933.JPG>

--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
-- -~--
muXalumni | Discuss, Share, Inform
Online: http://groups.google.com/group/muXalumni?hl=en
Facebook: Search for muXalumni
Twitter: @muXalumni
Blog: http://muhimbili.blogspot.com/
 
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "muXalumni" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to muxalumni+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
-- -~--
muXalumni | Discuss, Share, Inform
Online: http://groups.google.com/group/muXalumni?hl=en
Facebook: Search for muXalumni
Twitter: @muXalumni
Blog: http://muhimbili.blogspot.com/
 
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "muXalumni" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to muxalumni+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 



--
DR.FLORENTINA MASHUDA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment