AAAaaaaahhh.....heheheheh kweli kabisa, umeniwahi kaka kwa lugha sanifu..... ndiyo vile unavyosema ndivyo nilivyo taka nieleweke.......maana yake, Kikwete hapa alitumia akili.......akaongezea uhodari ya kishujaa kumsimamia Kagame amtoe makoko mashikioni, ajue ujanja wao isha julikana aweze kufungua ili, aweze kufungua macho na kuona kwamba ..... hata ile biashara anayoifanya na makabwela ya kuwa tumikia kuvamia majirani akitumia waasi akadhania ni hodari dume kumbe ni upumbavu, asha funuliwa. Watu washajua kwamba, anachotea mamilioni akipeleka kwa wazungu akiwadhuru nduguzake wa ki Africa akadhania ni mwerevu kumbe ni mpumbavu, hela hizo hazimfai kitu..... instead, yeye apewa tongolo za makoko yaliyo laaniwa, anawacha ndugu zake maskini........jee amesoma?? Kama kasoma, amesomea nini kama hafaidishi WaAfrica wenzake.........Jirani ni ndugu, ukipungukiwa, ndiko utakimbilia.... mtu kama huyo kama si goi goi, atafaa nini kwa ushirika wa kimaendeleo??? Nampenda sana yule Kiongozi wa Iringa.......yeye anaelewa vizuri ikiwa unafanya kazi ya huduma........ Kwa hivyo, watu kama hawa ni bora kuwalipua na kuwa expose wote waizi... akiwa ni mweupe ni mweusi bora style hiyo yao ya wizi ijulikane na watu ...... waweze kuacha hizo aibu ndogo ndogo zisiendeleee kupakwa mafuta ??? Sauti ya mnyonge ni mdomo Mungu ametupa bure tuitumie kwa kukemea uongo na ufisadi........tufukuza ukahaba na unyanyasaji.....Kwakua Ukweli ni uhodari, ikiweza kufukuza shetani usiye muona kwa macho, ikaaibisha na kuporomosha vitu majitu; itakua mwizi wa kupora mali ya Uma?.....Kwani jeee, yale uporaji wa Migingo huko Kenya na Museveni si ni sytle moja, kwani wamefaidika imeisha??? Iko siku atalipa....... Kwahivyo, Mzigo wa Kagame ambayo ni M23 na Boscoman hataiforce kwa Kabila, wakiendelea, wanalazimisha public debate na uchafu wao na zile ma plan zao zote walifanya wakificha zitatandikwa wazi na watu dunia mzina watasoma....... ni wao watakosewa na heshima..........kwasababu hesabu porojo na propaganda zao hazita kamilisha hesabu........Na ndiyo kwasababu Ndivyo World Bank wali jifanya hodari waka tafuta mbinu za kuibia Africa waka piga bongo wakapika conspiracy kwa Africa ikaivaa......sasa mambo yote iwazi.......si aibu wamevalishwa na wakapoteza dignity na Trust??? ........Kuna wakati Kila mtu, ni lazima abebe mzigo wake mwenyewe.... Kikwete yuko right.......kama Kagame hata cooperate, atabebe mzigo wake mwenyewe. Na atafahamu kua M23 sio mzigo wa Kabila......Du wana tabia mbaya akina Kagame na Mseveni.....na siku za mwizi ni arobaini.........zikiisha tu, ngoma itakua imeisha........ Iko karibu watasomewa vitabu vyao karibuni......dunia imechoka nao.....tunataka amani. Judy Miriga Diaspora Spokesperson Executive Director Confederation Council Foundation for Africa Inc., USA http://socioeconomicforum50.blogspot.com --- On Tue, 6/4/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote: From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> Subject: Re: [Mabadiliko] No way, Jakaya Kikwete have no apology to make for Kagame To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com> Date: Tuesday, June 4, 2013, 11:41 AM Judi, Ni kweli Kikwete ni mume kwa maana ya kuwa husband to mama Salma. Kwa kiswahili kizuri sana matumizi yako ya neno mume hapo hayaleti mantiki. Pengine ulitaka kusema Kikwete mwanaume bwana kwa maana ya kuwa amefanya jambo la kishujaa sana. Again, hata kama ulitaka kuitumia kwa muktadha huo huoni kuwa ukiwa mmama unakuwa na fikra ambazo huwa mnazipinga kuwa ni mfumo dume? Mtu akifanya kitu cha kishujaa basi ni "mwanaume" akifanya ujinga ndo tuseme "mwanamke"? Kaka Mpenzi, Mambo ya Kabila kusikizana na M23 haipo kabisa ....... ni ukorofi wa Kagame kapeleka huko UN....... Wacha watapike kisha tuna wagonga vizuri with evidence........Ndiyo wanaonyesa ishara kua yale Kagame anafanya, niwao wamemtuma........Na bila evidence Kabila atawashtaki vipi.....?? Wote ni lazima watalipa ni wazi.... Na ndio Kikwete kafanya vizuri........kamtoboa, kisha ni sisi kuwa pima na kuwagonga vizuri........ Ah alah! Kikwete ni mume bwana......kaonyesha kwa vitendo. Na Kabila hawezi kukubali kutumika na M23 iliyo pangwa na akina M7 na Kagame na makabwela zao........ WaKongoman pia ni watu ....... they have Human Rights to claim for...... Judy Miriga Diaspora Spokesperson Executive Director Confederation Council Foundation for Africa Inc., USA http://socioeconomicforum50.blogspot.com From: Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com> Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com> Cc: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>, "Uchunguzionline" <uchunguzionline@yahoogroups.com>, "ezekiel kunyaranyara" <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> Date: Tuesday, June 4, 2013, 10:23 AM sasa kwanini mnataka kabila apatene na m23. mauaji ya haraiki ya rwanda yamliua wanyarwanda takribani laki nane na hii ni kutokana NA KAGAME MWENYEWE kuchezea mazungumzo huku akisonga mbele. akalikoroga alipotungua ndeke ya marais wa burundi na rwanda. akajenga jenga la ukumbusho kuifadhi mafuvu ya wahanga, huku akilalama dunia ilikaa kimya wakati watusi wakinyongwa, sasa wakongo wameishauawa na watusi wakiongozwa na kagame mwenyewe zaidi ya milioni tatu mara nne ya vinyarwanda vilivyouawa, sasa anataka dunia iendelee kutulia wakati wakongo wanaisha? ikibidi naye achapwe moja kwa moja sambamba na mseveni 2013/6/4 Judy Miriga <jbatec@yahoo.com> Rafiki Mpendwa, Inawezekana Kagame amefanya mengi mazuri kwa nchi yake, lakini ningependa jibu juu kama ni sawa kwake ku plan na kushirikiana kuuwa wa Congo na kujasiri kina mama na kuwapa watoto wa Congo shida za kuhamishwa makwao by force kutumia waasi ili aweze kupora mali za wacongoman aweze kujimudu.......Kwa kushirika kwake kuingilia mambo ya nchi ingina na kushirikiana akitumiwa kuvuruga Congo ni kosa kubwa sana........kuna shahidi ametumika na Bosco na tena anazidi kutumika na yule aliye chukua nafasi ya Bosco......ngoja kesi ianze ICC Hague uta sikia mambo.......kwani Bosco si atasema.........na kisha atatuambia ni nani mzungu wake anamtumikia kwa kuuwa wa Congo ili aweze kuwa porea mali........dhulma hii kaka.......Ana hatia wacha ajiteteeeee...... Sababu ya kushirikiana kuiba mali za wakongoman by force to ku benefit kwa mali za kuporwa kutoka nchi isiyo yake imemfanya amekua mbaya zaidi.........Hata akiweza kupeleka nchi yake mbinguni, amekosa utu na sina imani naye.........Itambidi na itakua ni lazima arudishe mali aliyo iba za wacongoman na kujibu kwanini kaua wa Congo makwao bila sababu... ndiposa nitaweza kutulia moyo wangu........ Kama anaweza shirikiana na chukua na kupora mali ya nchi ingine kwa lazima, hapo ametukosea amani.......Leo ni Congo, kesho ni Kenya kisha sikuzijazo itakua Tanzania........ A stitch in time saves nine......... Judy Miriga Diaspora Spokesperson Executive Director Confederation Council Foundation for Africa Inc., USA http://socioeconomicforum50.blogspot.com --- On Tue, 6/4/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> Subject: Re: [wanabidii] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>, "emuganda@gmail.com" <emuganda@gmail.com> Date: Tuesday, June 4, 2013, 6:35 AM
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>; To: <wanabidii@googlegroups.com>; Subject: Re: [wanabidii] Jakaya Kikwete must apologize; Rwandans say Sent: Mon, Jun 3, 2013 5:27:36 PM
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment