Thursday 20 June 2013

[wanabidii] NDUGU ZANGU MMESIKIA AGIZO LA MKUU? TUJIANDAE KUPIGWA!

Ndugu zangu mmesikia kauli ya mkuu. Polisi wameagizwa watupige. Ila sijui kama wapigaji wameelekezwa watupige kwa Fimbo, Risasi, Hand Grenades au Rocket Launchers?
 
Tukeshe tukiomba kwa kuwa hatujui siku wala saa kipigo hiki kitakapotukuta!

0 comments:

Post a Comment