Friday 7 June 2013

[wanabidii] Nafasi za Kusoma India

India inatoa nafasi za masomo kwa level ya degree kwa wanafunzi waliomaliza form six.
Pata nafasi hii kusoma katika Chuo kinachotambulika Duniani na kinachotoa elimu bora kutokana na kufundishwa ha walimu bora kwa wakati unaotakiwa.
Chuo kinatoa course kama;
B.Sc. Biotechnology, Genetics, Biochemistry
•B.Sc. Biotechnology, Chemistry, Zoology
•B.Sc. Biotechnology, Chemistry, Botany
•B.Sc. Genetics, Microbiology, Biochemistry
•B.Sc. Genetics, Biochemistry, Biotechnology
•B.Sc. Microbiology, Chemistry, Zoology
•B.Sc. Biochemistry, Microbiology, Botany
•B.Sc. Computer Science, Mathematics, Electronics
•B.Sc. Computer Science, Mathematics, Physics
•B.Sc. Computer Science, Mathematics, Statistics
•B.Sc. Electronics, Mathematics, Physics
•B.Com. Bachelor of Commerce
•B.C.A. Bachelor of Computer Applications
•B.A Journalism, Psychology, Optional English
•B.A Journalism, Political Science, Optional English
•B.B.M. Bachelor of Business Management.
Gharama zake kwa most course ni $5000 kwa miaka yote mitatu ambayo inalipwa kwa instalment yaani mwaka wa kwanza ni $3000 na wapili na watatu ni $1000.
Chuo pia kina uniform ambayo ni suti ambayo gharama yake ni $100.
Kwa ajili ya malazi Chuo kinagharama za hostel ambayo ni $1500 kwa mwaka au mwanafunzi anaweza kupanga nyumba kwa gharama ya $100-150.
Pia Kuna Post graduate Diploma ya mwaka mmoja ambayo ni $2000.
Kwa admission tuwasiliane kupitia;
aahmeda50@hotmail.com au +917829022628.
Website za vyuo
www.karnatakaeducationtrust.com
And www.iadcollege.com

Sent from my Windows Phone

0 comments:

Post a Comment