Tuesday 25 June 2013

[wanabidii] Historia Ya Kombe La Dunia ( III)



Fashisti Musolini;  "Nataka  mshinde au mfe!"

Na Maggid Mjengwa,

NITAZIRUKA  fainali za kwanza za Kombe la Dunia na kwenda moja kwa moja kuziangalia
fanali za pili za Kombe la Dunia za mwaka 1934.

Enyi wapenzi wa kandanda, ama hakika  tunaweza kukumbushana, kwa
kuandika, kuwa fainali za kwanza za Kombe la Dunia zilikuwa ni kama za
majaribio kwa FIFA. Hivyo basi, fanali zilizofuatia za mwaka 1934 nchini
Italia zilikuwa ni fainali za " kweli kweli".
 

Hali ya kisiasa barani Ulaya  wakati huo ilikuwa tete. Ujerumani
ilikuwa chini ya utawala wa fashisti Adolph Hitler, Italia nayo,... Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3513-historia-ya-kombe-la-dunia-iii.html#.UcngYZyNCAg

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment