Monday 24 June 2013

[wanabidii] Historia Ya Kombe La Dunia ( II)



Na Maggid Mjengwa,

TUMEONA, kuwa matukio kadhaa ya kihistoria ya mchezo wa kandanda 
yameonyesha ni jinsi gani England , kwa kujiona kuwa wao ndio waanzilishi wa
kandanda duniani,  wamekuwa wakionyesha majigambo ya wazi na wakati mwingine
kuzuia kwa makusudi juhudi za wengine katika kufikiri namna nzuri ya
kuuendeleza mchezo huo.  Mchezo ambao Waingereza wanaamini kuwa ni wao.

Tumeona kuwa, pamoja na Shirikisho  la Kandanda ulimwenguni, FIFA kuundwa mwaka 1904, England haikupata kuwa  mwanachama wa Shirikisho hilo hadi mwaka 1924.

Na hata baada ya England kujiunga rasmi na FIFA mwaka huo wa 1924, bado nchi hiyo haikushiriki katika fainali za kwanza za Kombe la Dunia  zilizoandaliwa na FIFA mwaka 1930.

Leo nitachambua kwa ufupi sababu zilizopelekea England  kususa kushiriki fainali hizo za kwanza na za kihistoria. Kisha....Soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3479-historia-ya-kombe-la-dunia-ii.html#.UchxPpyNCAg

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment