Thursday 27 June 2013

Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa

Huku ni kuendelea kumuwekea mtu maneno mdomoni! Zitto yeye anasema ".... Siwezi kuwajibu maana nilisha jitoa kule..." Yona yeye anasema "...Zitto bado ni mwanachama..."

Niungane na mdau anaye sema uwekwe ushahidi wa email inayotumika hapa bidiii, vinginevyo itakuwa kupakaziana.
...
"All those that fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the
oppressor." Come the day.
...Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: Ipyana L <ipyanalwinga@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 27 Jun 2013 17:32:55 +0300
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa

Yona,

Weka wazi hizo anuani za Zitto, maana najua hili jukwaa sio la kisiri au JF ni jukwaa huru!

2013/6/27 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ninachojua na ambacho ni ukweli kabisa hawa wanasiasa wanatabia ya kuogopana , kususiana au tuseme kukimbiana kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii haswa pale wanapochangia watu wanaotofautiana nao mawazo haswa ndani ya vyama vyao na maeneo mengine hili sio kwa CHADEMA tu hata CCM hili suala halipo sana kwenye vyama vingine kama CUF , NCCR MAGEUZI , TLP , ADC .

On Thursday, June 27, 2013 10:54:32 AM UTC+3, Yona F Maro wrote:
Zitto Kabwe hajawahi kuondoka kwenye jukwaa la wanabidii na anatumia anuani 3 , Angeweza kujibu mwenyewe tu labda aseme hizo sio anuani zake na sio yeye .

On Wednesday, June 26, 2013 11:03:34 PM UTC+3, Richard Mkojera wrote:

Haya ndio maelezo ya mheshimiwa Zito kutoka jukwaa la mabadiliko,hayo maelezo mengine si ya kwake namnukuu,

Basi kule Wanabidii wanasema ninaanzisha chama kipya cha siasa. Ndio
> mjadala kule. Siwezi kuwajibu kwa kuwa nimetoka kule kitambo.
>
> Wanasema eti nimeenda Ujerumani kukusanya nguvu kwa ajili ya chama hicho
> kipya.
>
> Moja, Sina mpango wa kuanzisha chama cha siasa. Mimi ni mwanachama
> mwanzilishi wa CHADEMA toka nikiwa na umri wa miaka 16. Hiki ndio chama
> changu na chama cha familia yangu na kijiji chetu cha Mwandiga.
>
> Pili, nikichoka siasa nitafundisha, kuandika vitabu na kufanya tafiti. Sina
> muda wa kuanzisha chama kingine cha siasa na kuwachanganya tu Watanzania.
> Hivi sasa Watanzania hawataki utitiri wa vyama, wanataka mabadiliko.
> Wanataka huduma bora. Wanataka uwajibikaji wa viongozi wao kwao.
> Tatu, Hata kama ingekuwa ninataka kuungana na Watanzania wengine kuanzisha
> chama, nisingetegemea kwenda kukusanya nguvu Ujerumani. I hold western
> countries in contempt siku zote (ofcourse as a former marxist during
> students life this is expected).
>
> Mwisho watu waache kunisemea maana mwenyewe nipo naweza kujisema.
>
> NB
> Nitawawekea nilikwenda Ujerumani kufanya nini. Oh sorry ipo kwenye blogu
> yangu www.zittokabwe.com
>

From: wana...@googlegroups.com [mailto:wana...@googlegroups.com] On Behalf Of anna nyanga
Sent: Wednesday, June 26, 2013 10:48 PM
To: wana...@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa

Kwani kama  Kabwe anaanzisha chama tatizo liko wapi? Haya mambo yanafanana na kuwashwa na pilipili ambazo zipo shambani!

From: Selemani Rehani <sre...@hotmail.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, June 26, 2013 1:03 PM
Subject: RE: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa

Bahati,   Tusipoteze muda kujadadili uvumi usiokuwa na kichwa wala miguu. Mnapenda sana kujadili masuala yasiyokuwa na hata chembe uthibitisho!!! 

Date: Tue, 25 Jun 2013 08:57:11 -0700Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha SiasaFrom: ribahati@gmail.comTo: wana...@googlegroups.com

Badala ya kutengenza aliance zenye nguvu tutaishia kuanzisha vyama hadi vya vijiji. Ushindani wa kisiasa unatakiwa kuwa na aliance mbili zenye nguvu sawa na sera mbadala. Hapo mtu mwenye uwezo wake wa kufikiri atachambua sera za aliance fulani na kuamua kujiunga au kukichagua si kwa kuwa tu kina elements fulani bali kwa kuwa kina sera zitakazomfanya awe na maisha bora.

2013/6/25 Yona F Maro <oldm...@gmail.com>

Kingine ni suala zima la kujisimamia au kusimamia ndugu zitto bado anahitaji kusimamiwa katika masuala kadhaa wa kadhaa na hilo ndio naona suala kuu  linalomtupa nje kwenye kinyanganyiro na wenzake ndani ya CDM kwa kipindi kirefu .

On Tuesday, June 25, 2013 4:10:42 PM UTC+3, Yona F Maro wrote:

Kama nia yake ni kuwa mwenyekiti tu wa chama na kugombea urais nampa hongera kwenda chama kingine au hata kuanzisha chama kipya , lakini kwa nia ya kujijenga zaidi namshauri apambane kwenye mfumo uliokuwepo bila kuchoka na bila kukata tamaa hata hao anaohisi hawamtaki au wamemtenga kwa namna fulani siku watamkubali tu lakini aendeleze uvumilivu .

2013/6/25 BILLEGEYA, Mussa <msbil...@yahoo.com>

Kama Taarifa hii ni kweli basi Zitto namshauri badala ya Kuanzisha Chama Kipya, bora ajiunge na CUF, ni Chaguo bora zaidi kwa mustakabali wake wa Kisiasa kuliko kuanzisha Chama kingine.... Nina makusudi ya kutokumshauri aingie NCCR Mageuzi au Chama kingine.

Kama asipoingia CUF, badala ya kuanzisha Chama Kingine - bora aamue kuacha Siasa na siku ya kutangaza uamuzi huo wa kuacha Siasa aseme amefikia maamuzi hayo magumu "Kwa Sababu Binafsi na za Kifamilia" na asiongeze maneno mengine zaidi ya hapo - awaachie speculators wabaki wanabahatisha sababu. Vinginevyo ata-risk kupoteza Ubora, Sifa na "Utukufu" aliokwisha jipatia katika jitihada za kulisaidia taifa hili na siasa za nchi hii kwa ujumla kwa miaka mingi....

BILLEGEYA, Mussa,

Twitter: @MBillegeya

From: ELISA MUHINGO <elisam...@yahoo.com>
To: wana...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, June 25, 2013 1:42 PM
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa

Moja kati ya sumu inayokisubiri ni ushabiki utakaotokea CCM kama tunavyoonaga wakimzungumzia humu na kwingine.

La pili kama hatapata watu walio na tabia tofauti ya zake. neno hili ni pana na kweli. huenda akashauliwa kukana tena. Wapo watakaoamini kuwa haukuwepo mpango--- On Tue, 6/25/13, F kitigwa <kit...@gmail.com> wrote:

From: F kitigwa <kit...@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa
To: "Wanabidii" <wana...@googlegroups.com>
Date: Tuesday, June 25, 2013, 3:37 AM

siku akianzisha ndo kifo chake cha kisiasa, maana atafanikiwa kwa muda tu kisha linafuata anguko kuu na hatainuka tena

Kama anabisha ajaribu

On Tue, Jun 25, 2013 at 1:35 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

Huenda si kweli au huenda ni kweli. nitapenda kujua kama ni Chama kibya au ni 'C' ya CCM au vinginevyo. maneno ya kwanza yatatupa kujua kikisha ingia mitaani

--- On Tue, 6/25/13, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:

From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, June 25, 2013, 3:09 AM

Jikoni wapi?hizo alishakanusha mara nyingi

On Tue, Jun 25, 2013 at 3:03 AM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

Taarifa toka jikoni zinasema Kigogo wa CHADEMA mhe Zitto Zuberi Kabwe anatarajiwa kuanzisha chama kipya cha siasa .

Amekuwa katika mikakati mizito nchini ujerumani na nyingine za ulaya kwa ajili ya kukusanya nguvu na watu kwa ajili ya kuanzisha chama hicho cha siasa .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  

-- Send Emails to wana...@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  

Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--

Find Jobs in Africa Jobs in Africa

International Job Opportunities International Job Opportunities

Jobs in Kenya Jobs in Uganda 

-- Send Emails to wana...@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  

-- Send Emails to wana...@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  

-- Send Emails to wana...@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    

______________________________________________________________________
This email has been scanned by the Symantec Email Security.cloud service.
For more information please visit http://www.symanteccloud.com
______________________________________________________________________

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
CONFIDENTIAL NOTE:
The information in this E-mail and any attachments transmitted are originated by SABMiller or any of its subsidiaries companies, is intended to be privileged and/or confidential and only for use of the individual, entity or company to whom it is addressed. If you have received this e-mail in error please destroy it and contact the sender. If you are not the addressee you may not disclose, copy, distribute or take any action based on the contents hereof. Any total o partial unauthorized retention, dissemination, distribution or copying of this message is strictly prohibited and sanctioned by law

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Ipyana Lwinga
Email:    ipyanalwinga@gmail.com

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment