Wednesday 26 June 2013

Re: [wanabidii] WANAFUNZI WALIOSOMA SHULE ZA KATA MPAKA VYUO VIKUU WATOA SHUKRANI ZAO KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA

Nafikiri viongozi wote waliosoma enzi ya baba wa taifa ndiyo waliostaili kumshukuru Nyerere wala siyo hawa vijana wenye kutumiwa kisiasa. Historia ya shule za kata haianzii kwa Lowasa, wakiwa wanafunzi waliomaliza/wanaosoma shahada tunawashauri wapitie historia hiyo upya  na wakatoe shukrani hizo kwa wazazi wao waliochapwa viboko na kunyang'anywa mbuzi wao kwa kuchangia ujenzi wa shule za kata.

Tunafikiri ni kikundi kidogo tu kati ya wanaUDOM ambao ninahisi wana uelewa kidogo (semi illiterate) waache unafiki au kutumiwa na wanasiasa. Mbona wanafunzi wengi katika vyuo vikuu hapa nchini wametoka kwenye shule za wananchi maana shule zote za serikali ni za wananchi iweje hao wa UDOM ndo wajione wana deni na Lowassa. Njaa hizi zitawaumbua. Wana UDOM tupeni ukweli wa taarifa kama hii, kama si kweli musikubali kutumiwa na kakikundi kenye nia ya kujaza matumbo yao

2013/6/26 lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
Yaani wapuuzi wanaosema kuwa shule hazina vifaa? wapuuzi wanosema shule hazina walimu, na wakiwepo hawana ari ya kufundisha?
Ama kweli kuku si namba ya miaka, ila upanuzi wa fikra.
Kwenye vijiji fulani wakati wa miaka ya nyuma, kila mtoto ukimuuliza unataka kuwa nani ukikua, anakwambia padre, watu wazima wakazani watoto wao wanamiito ya kuwa mapadre. nenda leo kaulize kanisa katoliki linauhaba wa nini? Mapadre, wale waliokuwa wanautaka zamani ni kwasababu kijiji kizima au wilaya nzima, aliyekuwa anavaa vizuri ni parde, gari au pikipiki ni padre, mwenye moyo wa huruma ni parde.
Lbda mapochopocho waliyowekewa walipoenda kumtembelea yamefanya midomo ipinde.
Muda njoo ukweli na uje.
--------------------------------------------
On Wed, 6/26/13, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] WANAFUNZI WALIOSOMA SHULE ZA KATA MPAKA VYUO VIKUU WATOA SHUKRANI ZAO KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA
 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Wednesday, June 26, 2013, 2:00 AM

 Wanafunzi
  wa Chuo Kikuu cha DODOMA, maarufu kama UDOM, ambao walifika
 hapo
 wakitokea zile shule za makabwela (Shule za Kata), wamemtaka
 Mbunge wa
 Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowasa, achukue fomu
 za kugombea
 urais 2015 muda
 utakapowadia.

 Pia
  wameahidi kujichangisha fedha kwa ajili ya malipo ya fomu
 hizo endapo
 italazimika....................

 http://goldentz.blogspot.com/2013/06/wanafunzi-waliosoma-shule-za-kata-mpaka.html

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to
 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment