Saturday 8 June 2013

Re: [wanabidii] Tumetoka Mbali; Harare, Desemba, 1987!

Maggid nakubaliana na wewe 100% kwa 100%. Tusome alama za nyakati!
Idriss Mussa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 9 Jun 2013 08:20:43 +0300
To: mabadilikotanzania<mabadilikotanzania@googlegroups.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Tumetoka Mbali; Harare, Desemba, 1987!


Ndugu zangu,

Pichani nimesimama Barabara ya Samora, Harare, Zimbabwe. Niko na wana wawili wa mtalaamu wa Kitanzania aliyekuwa akilisaidia Shirika la Posta na Simu la nchi hiyo. Ilikuwa ndio kwanza nimemaliza Form Four pale Tambaza Sekondari.

Miaka 26 iliyopita niliiona nchi ya Zimbabwe ikiwa na umri wa miaka 7 tu tangu ipate uhuru wake, mwaka 1980. Hivyo, kama ni mtoto,basi ulikuwa ni umri wa kwenda shule.

Hakika, nchi ilinawiri. Sarafu ya dola moja ya Zimbabwe iliweza kuniwezesha kula mlo mmoja wa mchana na chenji ikabaki. Leo dola ya Zimbabwe imeanguka sana.

Nilifika Bulawayo, huko nikaona dalili hizo hizo za matumaini. Nikaenda hadi vijijini, sehemu za Mberengwa karibu na mpaka wa Msumbiji. Huko nako nikaona pia dalili za matumaini.

Miaka kumi baadae, mwaka 1997 nikafika tena Zimbabwe.

Nikaanza kuona dalili za treni inayoacha njia. Niliyaona hayo Harare, Bulawayo na kule Nyanga. Mbali sana na mjini. Ikawa ni... Soma zaidi..

http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3175-tumetoka-mbali-harare-desemba-1987.html#.UbQPMpyNCAg

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment