Sunday 2 June 2013

Re: [wanabidii] Rwanda’s reaction to Pres. Kikwete’s statement is shochking

Matanda hao wanaoshangaa Rwanda kufikisha miaka 16 katika vita hii wangeshangaa ya wayahudi na wapalestina kwanza.

Wapo watu wanaimba vita kama wanavyoimba ndobolo lakini vita siyo lelemama. Ukimshauri jirani akakataa ushauri wako na kukushangaa usikimbilie kusema umedhalilishwa na unaweza kwenda vitani. Huo nao ni ugonjwa tu wa priorities katika nchi.

Hivi huyu aliyesema wapatanr kwa nini kakomaa kupeleka majeshi yake DRC wakati ambapo mazungumzo kati ya serikali na waasi yalikuwa yakiendelea Uganda? Nchi hii kama anavyosema Matinyi kaka yangu tu Mabwege wengi sana.


------------------------------
On Sat, Jun 1, 2013 9:23 PM GMT-12:00 denis Matanda wrote:

>MJL,
>
>Are you seriously implying that a country may be justified to go to war
>because its leader has been "abused"? Neno uzalendo limepoteza maana kabisa
>siku hizi na naona kuanzia sasa linatumika kama dhihaka!!!
>
>President Kikwete alitoa ushauri wake, ulikuwa ni ushauri na yule unayempa
>ushauri ana mamlaka ya kuukubali au kuukataa kwa sababu zake. Hivyo si
>ndivyo mambo yanavyotokea kila siku maishani?
>
>Kitu kingine kwangu mimi armed resistances zote huwa zinakuwa na sababu.
>Ziwe ni za Wapalestina vs Israelis, Wachechenya vs Warusi, Alqaeda vs US,
>Kony vs Museveni etc etc etc kuna nafasi ya majadiliano. Tunachotakiwa
>kukifanya wakati mwingine ni kujiweka kwenye nafasi za wahanga wa matukio
>kama hayo na angalao kuelewa hasira zao. Walichoambiwa Wanyarwanda hakina
>tofauti na mimi kuambiwa kufanya mazungumzo ya amani na mtu aliyemuua mama
>yangu nikiona. You only need to be at the receieving end of some of
>these cruel acts to understand what it actually means to be told to do sit
>and talk or negotiate with the perpetrators...................
>
>Ukijiweka kwenye nafasi ya wahanga wa matukio ya namna hiyo ndio utaelewa
>kwa nini kwa baadhi ya watu Mandela ni msaliti na siyo Shujaa............
>
>Naisubiri kwa hamu siku mtu atakayesimama pale UN na kuishauri Marekani
>kuzungumza na Alqaeda ili kupata suluhisho la kudumu!
>
>
>On Sun, Jun 2, 2013 at 6:09 AM, mutabaazi lugaziya <mjlugaziya@mail.com>wrote:
>
>>
>>
>>
>> Moghaka Matinyi you are very correct!
>>
>> If after 20 years after the genocide, there is a group still fighting, one
>> has to ask oneself: How many manhours have been lost in this hullabaloo?
>>
>> Someone gives a sensible proposition, and , alas!, all hell breaks loose
>> in Rwanda. What is saddening is for some of us to get to the arena and lend
>> credence to this crap! Our President being abused is completely unwarranted.
>>
>> There is a difference between internal skirmishes and a rebel movement.
>> While I do not condone the brutal suppression of internal skirmishes, a la
>> Mtwara and elsewhere, I find it totally disconcerting to equate this, and
>> the rebel activities in the DRC or anywhere else.
>>
>> Ladies and Gentlemen,
>>
>> Sweeping condemnations of rebels, invariably called "freedom fighters",
>> "guerrillas" and stuff like that is to avoid the question:"Why do they
>> fight in the first place?"
>>
>> There has never been a good war, neither were there ever a bad peace. But
>> people still do fight. Why?
>>
>> Unless a people are pre-natally born with hormones of fear and cowardice,
>> letting things go awry in a country unabated, is not the best option.
>>
>> Rwanda may have refused to heed to the proposal in a most courteous
>> manner. May be some one should tell them if they persist, we are going to
>> beat them.
>>
>> What schutzpah!
>>
>> MJL
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
>
>--
>Wasalaam,
>
>Denis Matanda,
>Mine Planning Supt,
>Tanzania.
>
>*" Low aim, not failure, is a crime"*
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment