Sunday 2 June 2013

Re: [wanabidii] Rwanda’s reaction to Pres. Kikwete’s statement is shochking


Article ya Abdallah Hamis is informative.
Halafu sijaelewa kwa nini wakipigana huko hukimbilia Tanzania? Makambi ya wakimbizi yakifungwa wengi hawataki kurudi kwao, wakirudi kwao wanarudi tena huku tunawapokea kama vita ni nzuri mazungumzo hayafai wanakimbilia huku why? Ama sisi wa ajamu maana hata kujaa kwetu na mifugo, kukata miti, kuvuna mbao na kuchoma mkaa kisha tunawasaidia kuhujumu vyetu. Kisha tunawasifia na baadhi kumshutumu Rais jinsi alivyoongea. Tumesahau hata ile miezi 18 ya njaa na tukiwa hali ya uchumi mbaya tulipigania nchi yetu toka mikono ya Idd amin na kupambana kiuzalendo tukamtimua. Wakati ule ule tunasema Kikwete mpole hana majibu ya maswali mengi, Rwanda Mpambanaji, dictator anaongoza nchi kwa Amri. Leo Mtwara wakielezwa kwa amri kuwa gas itatoka kama mali nyingize zinavyofanywa kuwa za kitaifa kuwafaidisha wote sio peke yenu-dictator, hawajali wa Mtwara!? wanapochinja mbuzi kuzuia eti gas isitoke (kiushirikina) baadhi ya wanahabari husifia hii kuona kama ni tatizo la kitaifa hadi wazee wanachinja mbuzi. Hawaangalii na hawapo kuhamasisha kazi uzembe wa kukaa barazani bali kufanya kazi ukaisha.

Tulikwenda Comoro kivita kusaidia; kusaidia Migogoro Madagascar KK alihusika; kukashauri Rais wa DRC; Sudan walikweka katika Peace Keeping na Wasudan-vijana wao wakisomesha na UN toka 1970s UDSM kuwasaidia kutokana na vita kule ya muda mrefu. Mwl J. kambarage alisema-tanzania haijawa huru kama Nchi nyingine za Africa hazijawa huru. Vita ya S. africa-makambi Tanzania; Vita vya Msumbiji ni hapa Frelimo. Ikafanya mpaka shule za kusini, vijiji Mtwara-Lindi na Nachingwea bunduki tu na makambi kibao, mafunzo ya mgambo mpaka chooni nani asiyejua mtutu huko enzi zile za 1970 mapambano ya nchi za kusini huko. Huyo Malawi an Banda mbona alipewa kisago akabamizwa enzi zile akafunga mdomo wa uchokozi na tukawa tunamwimba banda jeshini katika mbio za mchakamchaka akiwa kama adui wetu.

Viongozi wa nchi hii ni kusuluhisha daima sioni ajabu kwa KK aliyelelewa na J.kambarage kuwa mmoja wa wasuluhishi tegemewa kwa jirani zetu na kutoa ushauri alioutoa. Huko nyuma tulisahau umasikini wetu kukapata chakula kwa daftari kwa balozi wa nyumba kumi kupigana vita kulinda nchi yetu. Wakina Samora Machel wakiwa na makambi TZ, Mseveni wakiishi bongolanda wakitokea  hapa nchini na wakipigana Uganda na akina Kabila pia bongoland kwao. Uafrika na uzalendo kwanza kuwaza umasikini baadae. Moto ukiwa unawaka banda la jirani usiposhiriki kuuzina unaweza ukapamba ukafika kwako. Ukiwaka-hujifungii ndani.

Baadhi ya tuliowasaidia wakipigana kwao watatudharau kwa sababu sisi wenyewe hupenda kujidharau na kuunga mkono wengine mradi tu kusifu hata kisichostahili kusifiwa. Hiyo ndio tabia ya uswahili ya bongoland. Misifa, no appreciation ya lako mwenyewe. Mtu anadiriki kwa sasa kusema eti Baba wa Taifa. JK. Nyerere hajafanya kitu bali labda kuzuia Ukabila. Rais wengine wote-kanag-Nil contribution. kama hizi pumba za namna hii hata wasomi huziongea-unategemea nini wa wananchi vijijini. Wamewaona Wanyarwanda wakineemeka kwa kuwa wakimbizi bongo na wameamua kubaki baadhi yao-bado viongozi waliotetea na kukubali kusaidiwa kwao ni Pumba wanapoongea ya kusuluhisha. Unasoma maandiko mengine ya wanabidii unaona vya ajabu.

Unaweza ukashauri kuacha vita vya wenyewe kwa wenyewe. lakini hawa wa vikundi vya Cult mbali mbali za Kidini ambao wao nia ni kuchinja, kuua na kutaka kubadili hata UK na USA ziwe na Sharia Law hawa si wehu? Unataka mahojiano na suluhishi gani kama si kuwaangamiza tu waishe. Wameimaliza Somalia ni maghofu sasa wanahamia nchi jirani. waliifanya hata TZ mbuga ya Serengeti iwe pa kuogopa wakija na silaha kali za kivita kuvuna wasichopanda. Utaingiza hawa ktk majadiliano vipi. Kuna wasioeleweka hasa.

Eti kupeleleka askari Mtwara ni tatizo wakati mazungumzo hatutaki. watu wachomaa moto ambulance ya kubeba wagonjwa, ofisi za halmashauri, mahakama, nyumba za watumishi na hata wabunge wao, kukata madaraja na miti ya umeme na kuwafanya wananchi wenzao walale porini mahala penye Simba Luwala, Fisi, nyoka wenye sumu hivi polisi wasipokwenda itaishia wapi? Huduma unayoihitaji kama mahakama unachoma moto na vidhibiti vya wenzako kijijini hakuna photocopy ambayo hutumika kuweka makala za ziada? Unakata umeme ambapo mkeo, ndugu anatakiwa afanyiwe operation? Wangetaka maongezi-wangeanza na kuchoma na kuadhibu wasio na hatia? Mila gani ya kiafrika inafundisha desturi hizi kama si ushabiki wa kisiasa uliojificha?

Sioni ajabu watu TZ kuandika vya namna hii ya lawama kwa JK na serikali yake hulaumiwa daima. Kwani-hata mijini tunapotupa mataka mitaroni zikakwana na maji yakatuama na kufurika majumbani tunalaumu serikali sio sisi wenyewe na mfumo wa uzoaji taka ni decentralized kwa Mtaa na ubalozi. Yanafurika mavinyesi ndani mpaka darini. Mvua ikiisha-tunatupa tena mitaroni-Tumesahau tabu tuliyopata muda mfupi tu tumesahau. Tuna bananisha nyumba na kuzina barabara. Hapa saluni na restaurant tunatumia moto next door ni Pharmacy au duka linauza madaya na mitungi ya Gas kwenye kuripuko na tunajua hasa kwamba moto ukiwaka ni balaa. Wakija kubomolewa na halmashauri na mgambo nao wanatoka na mapanga na silaha hawataki kubomolewa kwa usalama wao kuwe na space. Ukiwaka tena na kuunguza mali zao-serikali haitujali. Hivi sisi tupoje? Si watu wa Shukrani hata na kuona kinachostahili kuonwa. Tuna nini hasa vichwani mwetu? Unaanza kulinganisha ya Kagame na ya Kikwete na ya Gas Mtwara-Msomi!?
 
Kama msomi Tz unaona anakubali Rais na Nchi yako kutukanwa na kudhalilishwa unaona sawa tu. Jee yule asiye msomi asiyepata exposure kubwa ya vitabu na kutembea nchi mbali mbali inakuwaje-ndio haya ya kuchinja mbuzi kufanya dawa ya Gas isitoke na kusaidiwa mawazo hayo na wasomo kuwa isitoke-twayaona ktk U-tube msomi na mshauri kiataifa anaona kuonewa ndio umasikini wao sio wao kukaa barazani bila ya kujituma na resources kibao wanataka vitelemke to kama barafu.
Bila ya kurudisha dhana ya Mtu ni kazi na kukurupusha, kuhamasisha kila mtu afanyekazi inayopimika, ajiajiri shambani asiyeajira-unduma kuwili na kuchekwa na wenzetu, kujidhalilisha hakutokwisha kwa mmbongo. Kuboresha mfumo wa elimu na kumuwezesha mbongo kuongea lugha kiufasaha na kuweza kushindana kwa kujenga confidence ya kujieleza-tutachekwa daima na ajira kuchukuliwa na wageni ambao tutawaabudu daima wakiwa kwetu na wakiwa nchini kwao kuwasifu wao na kujidhalilisha wenyewe.
Mungu atusaidie

  
--- On Sat, 1/6/13, A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com> wrote:

From: A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Rwanda's reaction to Pres. Kikwete's statement is shochking
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 1 June, 2013, 16:19

Great article and msg to Rwanda


From: Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, June 1, 2013 7:04 PM
Subject: Re: [wanabidii] Rwanda's reaction to Pres. Kikwete's statement is shochking




BRAVO BRO. YOU SAID IT ALL. OUR PRESIDENT GOT IT RIGHT. THE SPOILED CHILD SHOULD LISTEN

On Saturday, June 1, 2013, Abdalah Hamis wrote:
RWANDA'S REACTION TO PRESIDENT KIKWETE'S STATEMENT IS SHOCKING TO SAY THE LEAST!

On 26 May 2013 in Addis Ababa the UN Secretary General, Mr. Ban Ki-moon and the Chairperson of the African Union Commission Dr. Nkosazana Dlamini Zuma, convened the first meeting of the Regional Oversight Mechanism of the Peace, Security and Cooperation Framework for the DRC and Region. 

It was at this important meeting where the President of the United Republic of Tanzania, H.E. Jakaya Mrisho Kikwete made what many level headed commentators have referred to as candid and commonsensical remarks about the protracted conflicts in the Great Lakes Region. 

President Kikwete - a seasoned and consummate diplomat who has helped broker many peace deals in Africa - remarked that it was high time Rwanda and Uganda gave serious attention to peace talks with FDLR and
ADF rebels respectively. 

He said, and correctly so, that it was evident the barrel of the gun cannot bring about the ultimate answer as testified by the recurrence of fighting in our region. He never condoned the role that the FDLR rebels played in the 1994 genocide. He was being reasonable and pragmatic.

Rwanda should know better than any other country that there is no way Tanzania would condone or sympathize with the perpetrators of genocide. To make such insinuations is, quite frankly, a demonstration of breathtaking ignorance about Tanzania's enviable and unparalleled history - the history of speaking out against any forms of crimes and injustices. Moreover, for Rwanda to make such insinuations is to show just what a short memory span this country has.

 Admittedly, genocide brought about painful and unforgettable misery to the people of Rwanda but its spillover effects were felt well beyond its borders. The effects of genocide were felt right inside Tanzania which had to shoulder the burden of providing for thousands of Rwandan refugees. 

By the way, Tanzania has a long history of taking good care of Rwandan refugees both before and after genocide. The sons and daughters of the Rwandan refugees benefitted from Tanzania's generous education system by studying, for free, at the country's Universities and many of them are now occupying high positions in the Government of their motherland.


So given the foregoing, I have to say that I have been taken aback by our neighbors' over-reaction to what was a completely innocuous statement by President Kikwete. Indeed, what the President said could (and should) have been said by other leaders a long time ago. What he said is a no-brainer!  

It is commonsensical!  Negotiations have a much better chance of resulting into durable peace than the use of force. Thus, I find the reactions from Rwanda not only disturbing but also objectionable and utterly impudent! What is even more shocking is the discourteous behavior shown by the Rwanda's Foreign Minister.  

She seems to be getting too much big for her boots as to suggest that President Kikwete's statement was absurd! She even has the audacity to ask that he should retract it. If anything, I think it is our Foreign Ministry which should summon the Ambassador of Rwanda in Dar es Salaam and ask him to clarify his Minister's inadvisable utterances.

 For far too long now the international community has adopted a softly softly approach with respect to Rwanda and this has meant that this tiny country gets away with literally everything, even murder. Rwanda has become like a spoiled child - untouchable and overly sensitive to everything even the slightest suggestion of censure.  Rwanda has a tendency of not taking kindly any form of criticism whether from within or without. And its leadership comes across as snobbish and delusional. May be the western countries' plaudits about its so called success story have finally got into the heads of Rwandan leaders so much that they think they know it all.
 


For Rwanda to say that they cannot engage in talks with FDLR rebels because of their role in 1994 genocide is to allow themselves to be the captives of the past. History is replete with numerous instances of former sworn enemies burying their hatchets and extending an olive branch to one another for the sake of peaceful coexistence and future prosperity. This happened in South Africa where ANC and other progressive movements sat down with the perpetrators of one of the most brutal and inhumane policies in the history of mankind (apartheid) and agreed to work together in an inclusive and democratic society. Similarly, after many decades of committing some of the most heinous crimes against the people of Angola, UNITA is now part of the democratic government of that country. And in 2011, US and its allies initiated direct talks with some elements of the Taliban in Doha (Qatar), if my memory serves me well.

 Rwanda should wake up and smell the coffee! Being delusional has not worked and won't work.  It is now close to 20 yrs since the 1994 genocide and during all that time Rwanda has not been able to achieve its objectives visa vis FDLR rebels through the use of force.  Any sane person in Kigali should see the wisdom of changing the tactic/strategy which is, for all purposes and intents, what our President said in the Statement. Rwanda should understand that by calling for direct talks, Tanzania does not suggest, by any stretch of imagination, that the architects and executors of genocide should go scot free. Not at all! Talks can, and indeed should, offer the mechanism of dealing with known perpetrators of genocide by isolating them from non-perpetrators such as those born after 1994. This is just one example of approaching talks. I am sure there are many others.


But talking of genocide, am I wrong in recalling that even President Kagame himself was once found to be complicit in this crime by a French Magistrate? I recall that Rwanda's reaction to this finding was, as we have come to expect, fast and furious to the extent of severing its diplomatic relations with France. Again, this goes to show that this "spoiled child" can't stand any sort of censure or straight talking. I also recall that as recent as last year a UN report revealed that Rwanda's Kagame had committed or assisted in committing genocide in DRC!

 Despite all this compelling evidence, neighbors of Rwanda are still ready to engage that country in talks. Why can't Rwanda show the same attitude? And lest he forgets, Kagame himself and his RPF henchmen come from a background of rebellion. They were rebels operating from Ugandan forests before taking over power in 1994. However, despite their "rebels" status they were invited and took part in the Arusha peace process of the early 1990s. 


Finally, I have a gut feeling that Rwanda doesn't want FDLR rebels to go away that's is why it is vehemently opposing the suggestion of talks which is one sure way of ending this conflict once and for all. This because, the perpetual presence of FDLR rebels in DRC gives Rwanda a convenient excuse to interfere in the DRC's affairs thereby making the country ungovernable for its own economic and geopolitical interests. I read somewhere that Rwanda's army – which is one of the biggest for a country of that economy and size - is mainly sustained by the exploitation of DRC's natural resources. So, Rwanda goes into the DRC on the pretext that it is in hot pursuit of the FDLR rebels but in actual fact what it does is to plunder the resources.

 And Rwanda is particularly angry with Tanzania because by being part of MONUSCO in DRC, its misdeeds will be exposed and curtailed by our non-nonsense troops. So the over-reaction to our President's innocuous statement should not be seen in isolation. It is part of the frustration born out of the uneasy situation which Rwanda finds itself in as a result of our troops being part of the UN/SADC intervention force in DRC.


I submit.


Concerned Citizen


Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/06/rwandas-reaction-to-pres-kikwetes-statement-is-shochking.html#ixzz2UyWzkXxC

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


--
Ezekiel J. Massanja
Director of Finance and Administration
Legal and Human Rights Centre
P.O. BOX 75254
Dar es Salaam

Tel: +255 22 2773038, 2773048
Fax: +255 22 2773037
Cel: +255 754 283593

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment