Thursday 27 June 2013

Re: [wanabidii] Re: TAFAKARII

Wewe Yona ni mnafiki kweli, wakati wananchi wa mtwara wanalilia gesi ichakatwe na kiwanda cha kuzalishia umeme kijengwe mtwara badala ya kujengwa dar wewe ulikuwa wa kwanza kuwakebehi na kuwatupia maneno ya dharau,
Sasa hivi unaandika nanukuu
" Viwanda na shughuli nyingine zinazogundulia mikoani kama uchimbaji madini, viwanda, na rasilimali zingine vifanyike uko ili kuwezesha fursa za kiuchumi zinazogunguliwa uko kwa sasa pamoja na kuboresha miundombinu hii italeteleza kuwepo na mzunguko wa pesa kwa maeneo hayo, na kupunguza msongamano jijini Dar!"

Kwani wananchi wa Mtwara walikuwa wanadai nini?
Tukuite na wewe ni mchochezi hutaki gesi ije dar kutengeneza umeme? unataka viwanda vijengwe mikoani ikiwemo Mtwara?
Kumbe na wewe ni mchochezi hivi hawa polisi wako wapi wanamchukue Yona

2013/6/27 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Viwanda na shughuli nyingine zinazogundulia mikoani kama uchimbaji madini, viwanda, na rasilimali zingine vifanyike uko ili kuwezesha fursa za kiuchumi zinazogunguliwa uko kwa sasa pamoja na kuboresha miundombinu hii italeteleza kuwepo na mzunguko wa pesa kwa maeneo hayo, na kupunguza msongamano jijini Dar!

On Wednesday, June 26, 2013 12:51:45 PM UTC+3, Jonas Kiwia wrote:

Hii ni haki jamani,nimepita hapa magomeni muda sio mrefu na kukuta wamachinga wenye vibanda vyao wakikamatwa na askari mgambo. Na vibanda vyao kuvunjwa vunjwaa.
Kulikua hamna namna mbadala ya kulishughulikia hili mpaka na maaskari wakiwa na mabomu  pia?

Mboona nguvu nyingi kwa vitu vidogo?
Nawaza

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment