Wednesday 5 June 2013

Re: [wanabidii] Re: KONGAMANO LA WAISILAMU JIJINI DAR, Sheikh Ponda aunguruma, Awasihi waisilamu kuwa na umoja, Nuru inakaribia.

Inaumiza unaposikiliza BBC na kuangalia TV jinsi wenzetu wanavyoumia Syria, Congo etc. Licha ya hayo mapigano ya congo lakini ni mfano syria unasikia Hizbullah, algaeda, Sunni, shia whatever the religious faction's names lakini unaona hata kule ambapo majority ni dini za wenzetu-wanapigana vibaya sana, wananchi wanateseka, wengine wanauliza-mbona UN na wamarekani hawaji kutusaidia. Nimekatika mguu, sewezi kutembea, nataka nifike kwenye matibabu na UN camp nijiandikishe nipate msaada lakini hatujui tuende wapi.
Unajiuliza-kama Mungu ameumba na kila alichoumba ni kizuri-ya nini kupigana watu wa dini moja? Kabila moja, tuseme watu wote weusi kila mmoja ana extented family halafu kila mmoja anataka yeye ndio awe Rais. akishinda huyu-wanarudi msituni wanapigana tena ili mwingine naye achukue madaraka. Watu miaka nenda rudi wanapoteza mali na familia-wanawachagua tena na vita haiishi. Ifike wakati nao watu wa ulaya, USA, na nchi jirani wasipokee familia za hao viongozi wanaopigana. wasiwape silaha; kufukuza na kurudisha kwao wageni wote ambao wanaonekana kutoa mafunzo ya udini na kusaidia vita. Watu wafundishwe kutokuchagua kiongozi anayehamasisha ukabila, vurugu za kuharibu mali za watu, uchumi, miundo mbinu na udini. Ukipewa rudha ya nguo, fedha-chukua ila Kura usimpe ili hao waroho wa madaraka wajigunze.

--- On Tue, 4/6/13, Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com> wrote:

From: Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: KONGAMANO LA WAISILAMU JIJINI DAR, Sheikh Ponda aunguruma, Awasihi waisilamu kuwa na umoja, Nuru inakaribia.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 4 June, 2013, 17:01

Kiwasila,jina langu ni halisi kabisaa na wala si la King'amuzi!Yaani huwa napenda kusoma makala unazotuandikia,ila basi tu wanaosoma humu niwachache tu.Kama hizi makala au uandishi unaoweka humu mie naweza kusema tungeuweka hata kwenye vijarida vidogovidogo tukawa tunawasambazia watoto S/msingi na Sekondari.Basi,tu yahitajika nguvu zaidi ya kufikia mahala hapo.
Ila la msingi,ni kuwa ukweli upo,ila wanaoufahamu ni wachache ambao effect yao kwa jamii ni ndogo na kama ipo basi kwa manufaa yao binafsi.

On Sunday, June 2, 2013 11:29:02 AM UTC-5, richard bahati wrote:
Sheikh Ally Basaleh nae hakusita kuwaambia serikali kuwa kwenye daladala waliopanda watanzania kuna watu wamevaa ndala na kuna wengine wamevaa buti wenye ndala wanakanyagwa ndio maana wanasema! Kwahiyo badala ya kufanya hasira na kuchukua maamuzi ya nguvu bora wawasikilize wanaosema wanakanyagwa.................. ...

http://goldentz.blogspot.com/ 2013/06/kongamano-la- waisilamu-jijini-dar.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment