Monday 17 June 2013

Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA

Mkitaka muamini kwamba Mwigulu na CCM yake, wakisaidiana na polisi (POLICCM), alihusika katika huu ugaidi, someni hiyo link (kwa wale ambao bado hamjasoma Mwananchi la leo).

Katika habari hii kuna taarifa zenye utata kama hizi:

1. Taarifa zilidai kuwa kuna mtu alionekana akirusha kitu kinachodaiwa bomu kwenye eneo la jukwaa karibu na gari la matangazo la chama hicho, lakini alipokuwa akifuatiliwa baada ya kutokea mlipuko huo, polisi nao walianza kuwakudhibiti watu kwa kulipua mabomu ya kutoa machozi na kupiga risasi za moto hali iliyozidisha taharuki.

2. Hali hiyo ilifanya barabara zote za mji wa Arusha kujaa watu waliokuwa wakikimbia ovyo.
Hali hiyo ya watu kukimbia ovyo kuliwafanya askari polisi wengi kuingia mitaani kudhibiti watu na hivyo nao kulazimika kutumia mabomu ya machozi hali ambayo ilizidisha taharuki.

MASWALI YA KUJIULIZA KUFUATIA TAARIFA HIZI TATA:

1. Kwanini polisi waliwazuia wananchi wasimfukuze muuaji kwa kuwapiga mabomu na risasi za moto badala ya kusaidaiana nao (wananchi) kumfukuza na kumkamata?

2. Kulikuwa na haja gani polisi kupiga mabomu na risasi za moto eti KUWADHIBITI watu waliotaharuki ambao walikuwa wanakimbia ovyo kuepuka hatari iliyotokea? Yaani badala ya kuwatuliza na kuwalinda wananchi, wao (polisi) wanawapiga kwa risasi za moto na mabomu? Hivi hawa polisi wetu wanafikiri kwa kutumia masaburi au vichwa vyao vimejaa konokono? Hapa kuna jambo nyuma ya pazia. Vituko hivi vya polisi vinaonyesha kabisa kwamba kulikuwa na mtu (CCM) nyuma yao, sio bure!

NYUMA YA PAZIA:
Kuna taarifa zinadai kwamba yule gaidi aliyerusha bomu alikimbia na kuingia kwenye gari la polisi ambao walimtorosha haraka kutoka eneo la tukio. Ndio maana baada ya kuona wananchi wanamkimbiza, wakaanza kuwadhibiti kwa kuwapiga mabomu ili wasifanikiwe kumkamata "shujaa" wao na kumuua kwa hasira. Hapa iko namna. Kuna siri nzito ya kisiasa imejificha nyuma ya tukio zima.

MADHARA KWA UCHUMI WA ARUSHA NA TANZANIA:

Tukumbuke kwamba sasa hivi ni high season na tunatarajia watalii wengi kutoka nje kuja kutalii hapa nchini. Kwa matukio haya ya milipuko ya mara kwa mara ktk nchi hii, tutarajie kutopata watalii wa kutosha na hivyo kupoteza mapato ya serikali kwa sababu za kipumbavu za watu ambao wanatumia ghasia kuendelea kukaa madarakani. Tafakari, chukua hatua!

From: steven aloys <stevenaloys05@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, June 17, 2013 3:47 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA

kama kweli mwigula nchemba kafanya hivyo au kashiriki kufanya kitendo hicho na mimi nakuunga mkono kuwa alaniwe yeye na uzao wake wote.

From: godfred mbanyi <mbanyibg@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, June 17, 2013 2:39 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA
----- Forwarded Message -----
Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (mbanyibg@yahoo.com) Add cleanup rule | More info
OMG!!! Siamini kama inaweza kuwa kweli! Na kama ni kweli, Mungu atafanya kitu! Hata huyo kibaka ambaye angeuawa, ni mwanadamu aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu. Hivyo kumuua,ni kutenda dhambi mbele za Mungu!!
 
Lakini, yote haya ya nini??? Madaraka ya dunia?? Mungu tusaidie!! --- On Mon, 6/17/13, Matthew Mdidi <matthew.mdidi@yahoo.com> wrote:

From: Matthew Mdidi <matthew.mdidi@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, June 17, 2013, 4:21 AM

Damu iliyomwagika Arusha na sehemu zote ambazo CCM wanamwaga damu za watu kwa uchu wa kutawala milele hazitapotea bure. Machozi ambayo ndugu wa marehemu wanamwaga hayatapotea bure. Mwenyezi Mungu ni wa kwetu wote na atatulipizia!
From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, June 17, 2013 11:14 AM
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA
Mwigulu, Lameck sijui nani Mchemba.
Kama hiki kilichoandikwa hapa ni kweli, namuomba Mungu asikuchukua mapema, lakini uishi katika mateso sikuzote za maisha yako yaliyobakia hapa duniani, mpaka, watoto ambao baba yao au zao waliopoteza maisha watakapopata nafasi ya kukuhurumia au kukuonjesha uchungu wao. Maumivu yasikuishe mpaka kila aliyefiwa na mwana aweze kukuonjesha uchungu wa mwana ulivyo. --- On Mon, 6/17/13, Paulo lunyalula <ngwananzela@yahoo.com> wrote:

From: Paulo lunyalula <ngwananzela@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, June 17, 2013, 12:29 AM

not understanding this, are we now plotting such kind of strategy to acquire power? this is disaster to our country my fellow brothers and sisters, what is so special in Arusha City, is it Lema or something hidden? comrade I need you help in order to know what exactly of all this.
regards,
Paulo.
From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, June 16, 2013 4:09 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: BOMU LA ARUSHA. MWIGULU NCHEMBA
Kama kambi za mafunzo ya kijeshi zinatengenezwa  hata hizi njama zingine zitakuwepo tu
2013/6/15 Samwel Olenaiko <http://us.mc1400.mail.yahoo.com/mc/compose?to=solenaiko@hotmail.com>
 Hii habari imesambazwa sana. inasemekana moja ya wana Usalama nidye msambazaji. Kila inapopostiwa Jamiiforums, MODS wan Jamani kama huyu ndiye Mwigulu, basi ni bora akamatwe FYI.......................
Wili iliyopita Niliweka habari ambayo ilikuwa ni moja ya mbinu chafu za CCM lakini Mods Waliiondoa ghafla. Niliwaambia waziwazi habari za kiinteligensia ambazo Mwigulu Nchemba alizisimamia.
Katika kikao hicho ambacho kilihudhuriwa na Mkuu wa mkoa, usalama taifa wawili pamoja na makada watatu wa CCM Juliana Shonza na Mwigulu Nchemba. Jumla ilikuwa watu 8. Haya mambo ilikuwa ni katika kukidhoofisha CHADEMA katika uchaguzi unaokuja. Tukio la leo halikujadiliwa ila kikubwa ilikuwa ni kumhusisha Lema na Mauaji. Na kisha mupoteza moja kwa moja
 
Mpango ilikuwa ni kwamba, polisi wamkamate kibaka, kisha wamvalishe sare za makamanda wa UVCCM. Baada ya kukamatwa akatwe katwe mapanga, damu yake na simu wapewe polisi ambao wangemfuata Lema na kuyapandikiza ndani ya gari lake (yaani kwenye boot ya gari lake pindi angefuatwa) baadaye mwili wa marehemu ungetupwa barabarani eneo la Kimandolu. Lengo ilikuwa ni kuwapa wananchi sababu ya kutokuichagua CDM. Hizi ni baadhi ya mbinu ambazo Mwigulu amezisomea UCHINA.
 
Bomu lilijadiliwa lakini halikupewa kipaumbele, nashangaa ndio iliyotumika. Mtu wa kwanza kuhojiwa hapa ni Mwigulu Nchemba. Kati ya hawa watu nane nilikuwepo. Mkuu wa mkoa Arusha naye aandike Statement kuhusiana na hili tukio…..
 
Mods Tafadhali msiondoe hi thredi. Naombeni muiunganishe na ile ya Arusha……

--
Send Emails to http://us.mc1400.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
http://us.mc1400.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to http://us.mc1400.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment