Thursday 6 June 2013

Re: [wanabidii] RASIMU IKO KIMYA KWENYE MAMBO HAYA YA MSINGI.

Kwa hiyo wajumbe Makamu wake, wajumbe wote 30, wakiwamo wa Zanzibar 15 hawakuwa a role, bali hoja ya Wariona ndiyo ilisikilizwa na kupitishwa? Mbona Mbona Chadema, Nccr, DP, vyama na taasisi mbalimbali na watu kibao walitaka serikali tatu? Namba moja hapo ni upuuzi.

RSM

2013/6/5 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>

1. Muungano: Warioba
alikuwa mwenyekiti wa tume
ya muungano 1995 tume hiyo
ilipendekeza muundo wa
serikali tatu kitu ambacho
ametumia katiba kuhakikisha
agenda yake pekee ndiyo
inakuwepo kwenye katiba
hakuna kitu kingine cha
maana kinachobadilika.

2. Land: Pamoja na kuwa na
matatizo mengi ya viwanja
ambako vibali vinachukua
hadi miaka mitano tume ya
katiba haijaweka wala
kuongelea kuhusu hili. Uchumi
wote wa Tanzania
unategemea Land sasa
tutakuwaje na katiba ambayo
haiongelei haki ya land wakati
sasa sio wakati wa mkoloni.

3. Uraia: Kuna Watanzania
wengi sana wapo na
watakwenda nchi mbalimbali
kutafuta maisha nchi za jirani
na mabara mengine. Hakuna
kipengele chochote
kinachowaongelea hawa.
Kenya kwa mfano wameweka
kwenye katiba yao kwamba
Kama mtu amezaliwa Kenya
au ni Mkenya hawazi
kuchukuliwa uraia wake
kwasababu ya kuchukua uraia
wa nchi nyingine. Watanzania
wana mila kama wakenya
swala la uraia linahusisha
urithi, vifo na maziko
tutakuwa watu wa ajabu
kumzuia Matanzania kwenda
kuangalia Makaburi ya ndugu
zao kwasababu ya uraia na
pasipo faida yeyote ya
maana.

4. Uwekezaji: Hakuna sehemu
yeyote ya uwekezaji kwenye
katiba mfano katiba ingeweza
kusema mikataba yote ya
serikali ni lazima itangazwe
kwa bunge na wananchi wote
waione. Hii ingepunguza
mikataba ya siri ya rushwa.
Hizo kampuni zinazokuja
kuwekeza mfano za ulaya ma
marekani mikataba kwao iko
wazi sasa ni kwanini mikataba
kwetu ni ya siri.
Katiba vilevile ingetakiwa
kusema kwa uhakiki kwamba
Tanzania sio nchi ya kijamaa
kwani bila kusema ukweli
kwamba nchi yetu kwasasa ni
nchi ya namna gani
hatutapata maendeleo.

Chanzo JF.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment