Tuesday 25 June 2013

Re: [wanabidii] Polisi FFU sasa hadi Bungeni?????????? Inatisha

Najaribu kutunga wimbo wa amani, moja ya mashahiri katika wimbo huu unasema hivi " unaumiza wengine na watoto wao lakini unakuwamwoga kwa wa kwako. Imba wimbo wa uhai upate pumzi ya hauweni.
Wameimba wenyewe hofu na hofu imewavaa.
--------------------------------------------
On Tue, 6/25/13, Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Polisi FFU sasa hadi Bungeni?????????? Inatisha
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, June 25, 2013, 12:04 AM

Kitigwa kama ni kuwazuia
wabunge wa Chadema wasiingie na magwanda nadhani spika
angetoa amri kwa askari wa pale Bungeni ya kuwazuia hao
wabunge kama wamevunja kanuni  hiyo ingetosha. Ndio waletwe
FFU na kutanda nje hadi ndani ya uzio wa Bunge? Nguvu yote
hiyo inatumika ya nini? Kwani wabunge wa Chadema waliovaa
magwanda walikuwa wangapi?

Suleiman Swalehe
 
2013/6/25 F kitigwa
<kitigwa@gmail.com>

Nia ilikuwa kuwazuia wabunge wa CHADEMA waliokuwa
wamevaa magwanda
Mimi nashangaa sana kama watu hawatakiwi kuingia na
nguo zinazoonyesha itikadi zao mbona inapofika siku ya
Ijumaa huwa naona wabunge wenye imani fulani wakiingia
bungeni na nguo ndeefu nyeupe ziko kama kanzu hivi tena
wakiwa wamevaa na vijikofia vya rangi nyeupe
vilivyodariziwa?

Hawa mbona huwa hawazuiliwi maana bungeni siyo sehemu
ya kuvaa hayo mavazi yanayoonyesha itikadi na imani zao?
Huu ubaguzi ni mpaka lini?
Kwa nini macho yanaona makengeza tu upande mmoja?
wanatumia nguvu nyiiiiiiingi kuwadhibiti CHADEMA.

wakati hilo si jambo la msingi lililowapeleka hapo
mjengoni.

2013/6/25 Selemani
Swalehe <semkiwas@gmail.com>

Hapa kwetu magazeti ni ya shida tunayapata kwenye
kipindi cha tuongee magazetini cha Radio Free Afrika au
kipindi cha kuperuzi na kudadisi cha  Radio Clouds. Leo
asubuhi nimeshangaa sana baada ya kusikia eti askari wa FFU
wametanda Bungeni Dodoma kwa ajili ya kupitisha bajeti ya
serikali. Jamani hii inakuwaje? Kupitisha bajeti ya serikali
sharti kulazimisha kwa nguvu ya dola? Au ndio yale ya mzee
Pinda kwamba asiekubali bajeti  ni mkaidi apigwe? Kwanza
huyu mzee inafaa apatiwe jina. Mzee mwinyi aliposema mtu
yeyote kula kitu atakacho ruksa,akapewa jina la mzee ruksa.
Sasa huyu mzee Pinda kasema atakae kaidi amri apigwe nae
hafai kupewa  jina? Naona anafaa kuitwa Pinda Piga Piga, au
( Mzee Triple P). Kwangu mimi haileti picha nzuri.Ukifikiria
kauli ya huyu mheshimiwa mzee triple P, na hili la
FFU kutanda kwenye viwanja vya  Bunge, hii inaniambia
kuwa tunatawaliwa kwa mabavu na hata ile mihimili mikuu
yaani Serikali ,Bunge na Mahakama inatawaliwa kimabavu na
kulazimishwa kufuata matakwa ya muhimili mmoja  ambao ni
serikali. Bunge halina uwezo wa kuamua mambo ya msingi
wanayohitaji wananchi na hata Mahakama pia haina uwezo wa
kutoa haki stahiki kwa wananchi wake.Kwa maana hiyo 
tulipofikia ili tuweze kupata ukombozi nguvu ya umma pekee
ndio inayohitajika. Ifike hiyo  2015 au kabla au baada
lakini all in all nguvu ya umma lazima itumike ndugu
zangu.Tena umma ulio shupavu usio na woga kama ilivyotokea
kule  Misri na kwingineko. Hebu tazama FFU kila
mahali,kwenye maandamano ya amani ya wananchi wasio na
silaha tena ya kikatiba FFU, kwenye mikutano ya hadhara 
FFU, Mahakamani kesi zikiwa zinaendela za viongozi mbali
mbali FFU, na sasa wameingia hadi Bungeni kwa wabunge wetu
FFU. Ni kwa sababu gani kama sio kutumia mabavu??? Ni mawazo
yangu tu napita.

Suleiman Swalehe
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment