Wednesday 26 June 2013

RE: [wanabidii] No, Random Tanzanian Man, I Will Not Marry You

Mama LKK,

Umeipa hii makala uzito usiostahili. Sidhani kama ni kweli lakini kuwa hao vijana waliokuwa wanampigia miluzi hiyo dada walikuwa wanapoteza muda au kumtania 100%. Naweza sema kuna percentage ya utani kwa maana ya wao kutaka kumuoa lakini ukidhani kuna utani kwenye kutaka kumuonja utakuwa unakosea. Nikupe Siri, kwa wanaume wengi wawe wa kiafrika au kichina ndani ya vichwa vyao kuna picha ya mwanamke mtupu.........

On 26 Jun 2013 09:13, "Lutgard" <lutgardk@yahoo.com> wrote:

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment