Friday 21 June 2013

Re: [wanabidii] MWANABIDII MABULA SEBULA ADAKWA NA UNGA NCHINI ITALIA

ish balaaaa....hy mzee hy mabula.....ukiangalia adress yake ana kampuni flani na ni vice iko usa...na nilishawahi kuongea naye last year seem ni mtu na busara zake ...madawa ya kulevya tena....duuuh



From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, June 21, 2013 6:08 AM
Subject: Re: [wanabidii] MWANABIDII MABULA SEBULA ADAKWA NA UNGA NCHINI ITALIA

Dada faiza hii habari ni kweli .

On Friday, June 21, 2013 6:06:57 AM UTC-7, Yona F Maro wrote:
Nyumbani Tanzania huyu jamaa alikuwa anataka kuleta wawekezaji feki kuwekeza katika shirika la ndege Tanzania na ishu nyingine ya pasi za kusafiria - Haya naweka pending kwa sasa .
 

On Friday, June 21, 2013 5:46:45 AM UTC-7, Mabwawa wrote:
Damn.......si ni yule mzee mabula wakipindi kile cha mtoto aliyepelekwa Canada halafu mzazi wake akakimbia au kuingia chimbo?
On 21 Jun 2013 13:59, "Jane Mwakalukwa" <mwaka...@gmail.com> wrote:
Mwanabidii Mabula Sebula 62 ambaye ni mtanzania anayeishi CANADA Amekamatwa Nchini ITALIA pamoja na mtoto wake wa kike MWENYE Miaka 14 na raia mmoja wa afrika kusini kwa kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroine kilo 12.3 .


--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/ groups/opt_out.
 
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment