Sunday 9 June 2013

Re: [wanabidii] Morocco Wametuwekea Mlima Jangwani, Hivi Ndivyo Tutakavyoupanda...

Kajungu,
Wacha matata yako.Simba na mpira wa Tanzania ni sawa ba Pele na Brazil
ni ngumu kutofautisha.




Walewale.

On 6/9/13, Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com> wrote:
> Wana hasira mbaya hao, unaweza kuwafanyia fujo ya soka wao wakafanya fujo
> nyingine tofauti na matarajio yako. Wakija sisi nikuwafunga tu kama
> tulivyofanya kipindi walipokuja. Ila Kaseja asifanye mchezo kama
> alivyosababisha tukafungwa lile goli moja.
>
> Hata jana naona Kaseja kachangia sana. Siwaamini sana wachezaji wa Simba.
>
>
>
> _________________________________________________
> Nicomedes M. Kajungu
> General Secretary
> National Union of Mines and Energy Workers of Tanzania. (NUMET)
> P.O.Box 7733, Mwanza.
> +255 782 315 688, +255 767 48 32 71, +255 719 451 850
> Skype add: nkajungu
>
>
> 2013/6/9 kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com>
>
>> Mawazo yangu.
>> Kuna haja ya kubadili mfumo wa kuwapokea Waarabu wanapokuja kucheza
>> mpira.
>> Nasi tuwatendee vurugu kama wanavyotufanyia wao. Maana inaonesha CAF na
>> FIFA wanaruhusu fujo kufanyiwa timu ngeni katika Ardhi ya waarabu.
>> On Jun 9, 2013 9:49 AM, "Maggid Mjengwa" <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
>>
>>> Ndugu zangu,
>>>
>>> Njia yetu kwenye safari ya kwenda Brazil jana usiku imewekewa mlima na
>>> jamaa zetu wa Morocco. Niliuangalia mchezo mzima. Nilisikitika sana,
>>> kuwa,
>>> tulikuwa na bahati mbaya sana ya mchezaji wetu kupigwa red card kwenye
>>> kipindi cha kwanza na jamaa zetu wa Morocco kwenda mapumziko na goli
>>> moja
>>> mfukoni.
>>>
>>> Niliiona hali ya kuchanganyikiwa kwenye benchi letu la ufundi. Na kosa
>>> kubwa lilikuwa kumtoa Ulimwengu. Ujumbe ulitumwa uwanjani kuwa sasa
>>> tunajihami zaidi. Ni kosa. Kulichangia kushindwa kwetu, maana, Morocco
>>> kwa
>>> jana hawakutisha kabisa. Tulitakiwa kujiamini na kuthubutu
>>> kuwashambulia
>>> badala ya kufikiri kujihami zaidi. Naam, jana tumeshindwa.
>>>
>>> * Tafsiri yake?*
>>>
>>> * *
>>>
>>> Kandanda ina miujiza yake na imetokea zaidi ya mara elfu moja. Na
>>> inavyoonekana kwenye karatasi... Soma zaidi..
>>> http://www.mjengwablog.com/michezo/item/3177-morocco-wametuwekea-mlima-jangwani-hivi-ndivyo-tutakavyoupanda.html#.UbQlX5yNCAg
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment