Eng Matanda, Tatizo haliko kwa mhe. Zitto bali kwa wasiomtakia heri ndio wanahaha kutaka kumzamisha. Hawataki kukubali kuwa Zitto anakubalika karibu na sehemu kubwa ya watanzania. Kwanza ndiye muasisi wa vijana wa leo kuingia kwenye siasa. Hili nalo watalibishia. Nafikiri ni vizuri kuachia watu wampime siyo kila nayemsema mhe. Zitto watu wanaamka na kujaribu kuzima haitawasaidia sana bali kuendelea kuwatesa mioyo na wakati mwingine kuwapa presha bure. Ni vizuri kukumbuka kanuni hii ya Newton . . . "If a body is at rest it will continue to rest unless there is a body acting on it" Kama hamuoni madhara yake kuendelea kusifiwa muacheni, mkiendelea kumsakama mjue nanyi mnazidi kumpandisha juu..... KEMS Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>;
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU
Sent: Mon, Jun 24, 2013 9:08:56 AM
Hawa kina Kigwangallah hawajui ni kiasi gani wanamharibia Zitto. Wanaamini wanamjenga kumbe wanamuumiza kisiasa. Mtu ambaye "maadui" zenu ndio wanamuona kuwa ndiye the best? Ni kama kocha wa timu pinzani kuwa anamsifia sana kapteni msaidizi kwa mfano na kumpigia chapuo awe kampteni wa timu.....wenye akili zao watajua malengo ni nini!!!!!!!! 2013/6/24 Solomon Msomba <msomba2000@yahoo.com>
-- Wasalaam, Denis Matanda, Mine Planning Supt, Tanzania. " Low aim, not failure, is a crime" Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment