Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 18 Jun 2013 11:02:45 +0000
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU
Mauaji Arusha na Kauli ya Lukuvi
Kauli ya Waziri Lukuvi ya eti urushwaji wa bomu kanisani kule Arusha ulifanana na urushwaji wa bomu kwenye mkutano wa Chadema huko huko Arusha kunahashiria serikali kuwa na ushahidi wa picha wa vitendo hivyo vya kurushwa mabomu hayo au vipi? Sielewi mantiki ya kauli hiyo!! Na sasa ikija kutokea Mh. Mbowe akatoa ushaidi kuwa askari wa FFU ndiye aliyerusha bomu mkutano wa Chadema mantiki yake itakuwaje? Yaani si itakuwa na maana kuwa lile bomu la kanisani lilitupwa na askari wa FFU
Halafu neno ugaidi limetumiwa katika matamshi kuelezea kilicho tokea kuhusu urushwaji wa bomu kanisani na kwenye mkutano wa Chadema huko huko Arusha, mantiki yake ni nini? Yaani kama Mh Mbowe yu anao ushaidi wa askari wa FFU kuhusika ina maanisha kumbe askari wa FFU ndio wanaofanya vitendo vya ugaidi? Kumbe si Waisalamu wenye eti siasa kali, eti? Kumbe askari wa FFU wanatumiwa kuleta chuki za kidini zisizokuwepo? Hako kakundi serikalini kanakofanya hivyo kanafanya hivyo ili iweje huko mbele ya safari?
Nimebaki na maswali mengi kichani yasiyo na majibu!!! Yaani inawezekana kuna kakundi ndani ya CCM ambako kangetaka Chadema kifutwe na wakati huo huo Wakristo wawachukie Waislamu kiasi kwamba hawatataka Mwislamu yeyote kusimamishwa na CCM kugombea Urais , siyo? Maana yake kakundi haka kanataka Wakristo wa
Na hizi milioni 10 za atayetoa habari za kukamatwa kwa wanaofanya ugaidi huu kwa nini asitangulie kupewa Mh. Mwingulu Nchema ambaye amekuwa akituelezea tangu mwakajana kuwa Chadema ni chamacha kigaidi na ushaidi wa uagaidi wanaoupanga anaona kinabidi kifutwe? Nauliza tu, jamani, nisaidieni nielewe mantiki ya matamshi na matendo ya seriakli yangu ya
Date: Tue, 18 Jun 2013 02:19:59 -0700
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU
From: antihongo@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Yes who can remember (the thread) what I said when a grenade was hurled in church last month in Arusha. Go To archive and see that thread B4 you comment about Freeman Mbowe.....
2013/6/18 richard bahati <ribahati@gmail.com>
.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefichua siri kuhusu tukio la mlipuko wa bomu lililotokea juzi katika viwanja vya Soweto, jijini Arusha.
Katika kauli yake jana, Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, ambapo alidai kuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) ndiye aliyerusha bomu hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,baada ya kutembelea majeruhi katika Hospitali ya Selian, Mbowe alisema chama chake kina ushahidi wa kutosha juu ya askari huyo kurusha bomu.
Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, alisema wamefanikiwa kupata ushahidi wa kutosha
http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/mbowe-ffu-ndiye-aliyerusha-bomu.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment