Wednesday 19 June 2013

Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Hii ya Mkapa ulioisema hapa naona ni tofauti. Tulilazimishwa na IMF na world bank kuingia liberal economy. Na hii ilianza toka Mh Nyerere yupo hai akafoka sana na masharti haya. lakini akaja kukubari na akasema anamleta kijana awezayo hayo tutampenda. lakini sasa Mkapa analaumiwa kwa kuiuza nchi, majumba, mashamba etc kuwapa watu binafsi na viongozi. Bili za mahoteli kuwaeka ni kubwa nyumba za GVt zimeuzwa. Tulilazimika kuingia liberal economy na kulazimishwa kupunguza size ya public sector na kuingia Public, Private, Partnership (PPP). Ndio haya makampuni ya kufyeka, kufagia, etc.

Hakuna bure tena toka donors-uwekezaji na paying for services (maji, huduma ya afya etc); ubia kati ya GVT na wawekezaji, ujasiriamali vikundi wajiandikishe wapewe ajira e.g. kampuni zao ndogo zizoe taka, zifagie. Kampuni kubwa izote taka kwa malori kupeleka mbali dampo sio kazi ya City Council. Huduma zote ulaya zinatozwa kodi, usipokusanya huwezi kuhimiri kupanda kodi ktk baadhi ya huduma. Ndio tukaanza kuona NGO/CBO inafagia barabara, Red cross lory linazoa taka, Multinet ina magari taka yale ya zamani ya DSSD hayafanyi kazi hiyo. Colleges cafeteria-canteen watu binafsi sio vyuo tena; nyumba za mawaziri-wameuziwa badala ya kutoa mwanya wa matengeneza ya mabillioni kwa mwaka.

Karakana za magari za GVT-zimefungwa etc, etc. Mashamba ya katani, minazi etc ya GVT-watu binafsi walipe kodi GVT. Na sasa tuna MKUHUMI-REDD. Tunza msitu upate hela za carbon. Jiajiri sio kutegemea kuajiriwa. Jiungeni kama artisanal miners, nunueni leseni, tafuta mbia au chimbeni wenyewe chukueni mkopo sio mtegemee vigozi vya albino-fanyeni kwa technical know who geologists wapo-ajiri. kawaangalie machimboni-beer, video za matusi, ngono. NGO baadhi corrupt baadhi zimekuwa vyama vya siasa; private sector wezi, waonevu hawalipi walioajiri mishahara inayotakiwa, rushwa ya ngono ndio upate kazi-uonevu. Wakipata tender au contract-kuchakachua kazi mara barabara imekatika na jumba kuanguka kabla halijakabidhiwa.

 Mangufuli kawaambia local private sector-contractors kuwa-atachukua kampuni za nje ile kwao wasipate ajira kama hatuachi uswahili na kuwa wezi. Tujitume, tusitegemea kuwa vitashuka kama mvua. Kuna kila kitu na bank za mikopo ipo. Fanya kazi uliyochukulia mkopo, sio ulale lodging-utafirisiwa. Umemuona mama aliyekaa juu ya paa? Eti aliyekopa hafirisiwi ila mdhamini-tutaendelea kweli na corruption hii? maneno kibao, utendaji mdogo.

Watanzania hatupendi kazi, hatuna uaminifu mkubwa, hata mahotelini-kuibia wageni. Tuishiko, tunapenda mazingira ya uchafu kutupa taka hovyo, kuchangia tunaona kuonewa na ndio liberal economy ilivyo. Hakuna hela za Russia, China, Korea, Denmak, Sweden za bure tena. sreikali budi kuzalisha hela kutoka raslimali zake na raia kufanya hivyo sio kuuza tu ardhi unalewa, kuongeza wake kisha unahamia kando ya barabara na wanakuvunjia. unaoza kichanga-unaongeza mifugo; unachimba dhahamu-unachakachua mto. wanaweza mabomba ya maji-unaongo'a unauza nchi jirani wanawake wanateseka kutafuta maji. Barabara inajengwa (Morogoro Road) wamemwaga kokoto-usiku mnakwenda kuzizoa na kuchimbua waliposhindilia mnazichukua mnaficha uwani mnauza. Jioni upo miguu juu unalewea hiyo hela. Mkandarasi anashindwa kufanyakazi-upo katikati ya barabara unakanaga chips.Pumba!! Ndio haya yote ni GVT sisi wenyewe hatupo hata pale tunapomwagiana tindikali, kuchoma makanisa na kufyatua mabomu-Kikwete na CCM!!

Utakwenda Kilombero gulioni utaona malori ya mizigo ya mtumba toka DSM yamebeba na wenyewe wapo juu ya lori. Mitumba nguo toka mbali, vichubua uso, maembe toka nje. Lakini sikiliza lalamiko-miundo mbinu mibaya, mchele unakosa soko!! Hilo lori la mitumba nguo kafa ulaya kazikwa kilombero, madela ya uarabuni migunia ndani ya Lori na linawangoja gulio likiisha liwapeleke mkoa mwingine limefikaje. Si linaweza kupakia mchele pia? Hivi ndio tunapenda kazi za uchumi na kujituma kweli?

Tulipenda ajira ya GVT wakati ule ni guarantee. ukimaliza shule, college, JKT-ajira ipo no sex discrimination na mshahara sawa by gender. Sehemu kubwa ya mishahara-donor money. Sasa hawataki hao!! Hata tupigane-budi kazi. Tuwe na biashara-sheria izingatiwe ya usafi, kufunga kisasa kuuza ndani na nje ya nchi (TBS). hatutaki-tutafanyishwa kazi na wageni tulalame. hata Chadema, CUF  ishinde-budi ibidiishe kila mtu afanyekazi na atoe KODI ili GVT ipate kipato na isimamie ubia utoe hela; miradi iwe na benefit sharing kwa jamii. wakiwekewa miundombinu-wasiibe mfano kung'oa mabomba ya maji, milango ya shule. Ukilima, kufuga, kuvua samaki ufanye hivyo sustainably ukizingatia environmental management Act, Policies na strategies za sector husika. Ama sivyo-kichwa ngumu hatutofika mbali. yataanza `maandamano tena kama ilivyo MISRI. walidhania wamepindua basi vitadondoka kama mana jangwani?-kazi ya kuzalisha na utii wa sheria.

Bahati nzuri Kikwete hagombei tena hivyo Haule hutolazimika kumchagua. Ni kusema Kijana wa Watu ana kanuksi tu cha kuchukiwa lakini ni JEMBE.Kafanya mengi, moyo wake unameza mengi, ana subira. Mbona hata Nyerere anasemwa kuwa kapotosha nchi, sembuse Jakaya!?? Mimi Siasa naona siielewi na ushabiki wa kisisa naona siuelewi.

From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 19 June 2013, 11:03
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Hildegarda.
Unavyovisema ni sahihi, lakini jiulize wananchi ndiyo walianza kuacha kuitii serikali au serikali ilijikosesha heshima?
Haya tunayoyaona, tukiweza kubadili namna ya kuongoza hayataonekana.
Mfano mmoja, Mkapa alipoingia kuongoza watanzania wengi walikuwa hawataki au kupenda kazi za kuajiriwa hasa serikalini, na serikali haikuwa na fedha.
Kutumi uwezo na watu waliochoshwa na serikali iliyopita, mkapa akajenga mfumo ambao wananchi wakarudi kuipenda nchi na seriakali ikawa na fedha na kila mmtu aliona umuhimu wa shule na ajira ya serikalini.
 
Sikuwahi na sitawahi kumpigia kura kikwete, atokee mtu yeyote ccm nitafanya hivyo lakini huyu, ametukatisha tamaa sana. unaua watoto?

--- On Tue, 6/18/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, June 18, 2013, 8:54 PM

Kinachoshangaza ni pale unaposema-una ushahidi, una video au cd inayoonyesha huyo mtu akitupa bomu mlirekodi, lakini huitoi hiyo video tukaona. Kipindi hiki cha wasomi wengi na wanasheria waliohamia ktika siasa kama ubunge wakichanganyika na wanganga wa jadi na wana music na wazee waliokuwa madarakani muda pamoja na vijana kama Mnyika, halima Mdee, Zito Kabwe etc. Tulidhania ni integration nzuri sasa tutasonga mbele vema. Kumbe ndio imekuwa chaos ndani ya bunge na mje uraiani-why?

Nimesikia usiku wa leo BBC-Mheshimiwa D.Cameroun wa UK anazungumza kuwa-ukitaka kodi iwe ndogo ili usitoze kodi kubwa kwa wananchi wako budi ukusanye kodi kutokana na kila bidhaa na kila biashara na shughuli ya kibiashara
Nikaona-hii irudiwe kusemwa na BBC mara nyingi kwani sisi kukusanya ushuru ni tabu halafu hatutaki kodi zipande. Tunapambana kwa vile tu masikini lakini hatusaidiani kuukwamua. hatuzingatii ethics za kazi kila mtu anataka kutajirika haraka haraka bila kutoka jasho. Wengi tupo mis-informed na kudhania kwa kupigana mabomu tutatatua matatizo sio kwa kujituma kimasomo na kikazi na kusimamia ukweli na haki.Kumpiga mtu na kumtia kilema ndio haki badala ya majadiliano. Tuone hao wanaouana afghanistan, kubaki vilema anayesota; wanaoua watoto kwa kuvamia shule (boko Haram) Nigeria eti ili watoto wasisome; wanavyobomoa majengo Syria na Somalia-wanapata faida gani hata nasi tufike huko? Kwa nini utupie mawe polisi wanapotaka kumkamata mwizi au mtu muovu. Lazima atatumia risasi. Wakikaa kimya-lawama. sasa ona, hata mgambo na police wanaogopa kwenda Morogoro Road Manzese-Kagera kuondoa wafanyabiashara waliopanga bidhaa njiani-barabarani wakati Mkandarasi anataka kuendelea na ujenzi na ngreda linachimbua na malori kutaka kupita-wao wamepanga mitumba, vyombo na vyakula huku vumbi linatimka.

Tupo mashenzini kabisa. Hebu ona, Ubungo-wamerudi upya kituo cha Bus.Wakienda FFU kuwaondoa city imeshindwa (na Mbunge huenda anaona poa waendelee wagange njaa na kodi hawatoi tofauti na ulaya) risasi za moto zitawaka hapo, mawe na mishale vitatupwa. Matokeo tutawaacha mika nenda rudi na mataka kujazwa ktk open drains. Tupoje sisi? Vipofu, viziwi, no recall and vision? Twaona maovu ni masuala mema na kuyashangilia? Lawama daima!?

 Msisahau kujitokeza kula dawa za kutibu magonjwa sahaulika (ngiri maji,matende) tarehe 22 June.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 19 June 2013, 6:20
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Naya ni makosa ya kila aliyekuwa na miaka 18 mwaka 2005.
Tujihukumu na tujisahihishe. Sadaka ha shukrani hizi

--- On Tue, 6/18/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, June 18, 2013, 5:46 PM

Sasa kwanini kama Mh Mbowe na Chadema wana Video inayomwonyesha huyo FFU au askari aliyetupa wasiiweke mitaani tukanunua tutaiangalia, wakaitoa ktk TV zote kuu nchini-tukaona huo ukweli. kinachozuia nini na malumbano yasiyoisha? Sasa ndio tumewapa nafasi waovu wa kila aina kuja bongo ktk mikusanyiko ya aina yoyote na kutupa mabomu. itafikia hata ktk arusi, send-off, send inn. na vibaka kutumia ili waibie watu. Tunakokwenda kubaya. Kuichukia nchi yetu wenyewe, kujichukia na kuwachukia viongozi wetu ni kitu cha ajabu kinachoendelea.Kawaida mtanzania kupenda kisichochake sio kupenda, kuboresha na kutunza chake. Utumwa na mfadhaiko kiakili.Ukiona baba na watoto wake wanapigana ngumi na mieleka kushambuliana-ujue hapo tena amani hakuna, familia imetawanyika haiyoweza kuwa kitu kimoja tena. Ndiko tunakoelekea.

From:
moses <mosesgasana@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, 18 June 2013, 20:35
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Ulisema nini Faiza?

Sent from my iPhone

On Jun 18, 2013, at 12:19 PM, Faiza Hassan <antihongo@gmail.com> wrote:

Yes who can remember (the thread) what I said when a grenade was hurled in church last month in Arusha. Go To archive and see that thread B4 you comment about Freeman Mbowe.....

2013/6/18 richard bahati <ribahati@gmail.com>

.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefichua siri kuhusu tukio la mlipuko wa bomu lililotokea juzi katika viwanja vya Soweto, jijini Arusha.
Katika kauli yake jana, Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, ambapo alidai kuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) ndiye aliyerusha bomu hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,baada ya kutembelea majeruhi katika Hospitali ya Selian, Mbowe alisema chama chake kina ushahidi wa kutosha juu ya askari huyo kurusha bomu.
Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, alisema wamefanikiwa kupata ushahidi wa kutosha

http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/mbowe-ffu-ndiye-aliyerusha-bomu.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment