Wednesday 19 June 2013

Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Toeni picha kwenye mtandao kila mtu aone (TV, U-Tube etc). Mbona inajulikana kabisa wakati mwingine wanakamatwa majambazi wanakutwa na nguo za Police, FFU, JWTZ. Wengine wanaingia barabarani wanasimamisha gari. Dreva anajua ni askari rasmi anasimama. Mara wanatoka wengine porini na magwanda kama hayo na mashine gun wanaanza kuwaambia watu wapo jini ya ulinzi-wanawasaji, wanaiba au kubaka, aletaye kujua anapigwa panga au risasi. Wamevaa magwanda ya kiaskari. Wapo wafanyao ujambazi ulaya madukani, bank na maduka ya vito-dhahabu na watekao nyara ndege agani wamevaa bulka kama mwanamke kabakiza macho tu. Hivyo nguo hizi za dini za kufunga kichwa na uso ukabakiza macho unakataliwa ktk ndege, gari nyingine na maduka.

Wapo wababa wavaao baibui kujifanya wanawake. Kumbe kavaa gauni na baibui anaingizwa ndani ya nyumba ya mke wa mtu au kwa msichana wazazi wake wasijue. Wana wanaona shoga wawili wameongozana kumbe jingine ni dume la mbegu limetia gauni na maibui limevaa wigi na linatembea kwa kutupa mkono. wapo waliovaa nguo za kiswalihina na kushika msaafu, pia nguo ya usista na upadri kashika biblia. Kufunguliwa hao wanakutwa na vipaketi vya unga/madawa ya kulevya kumbe nguo hizo na udi kunukia na kanzu hiyo ya usharif au upadri ni geresha. hata ZNZ alikamatwa kijana mmoja sharif (kimavazi) ananukia udi balaa na akiwa na misahafu lakini ndani mikanzu na mifuko-cocaine. yupo mzungu aliyevunja record ya kuvaa kama bear kisha akakaa nao porini kwenye barafu akiwasoma naye hakuliwa bali bila ya shaka bear alimshangaa. na yupo kijana mtoto mdogo akavaa mavazi ya chimpanzee. Chimp ndani ya zoo akawa anamuangalia kiutafiti kuona kama ni mwenzake au vipo. Kijana angeingia-chimp angembamiza maana hata harufu ya katoto hako angeipata akaona si mwenzetu. Hili la mavazi ya kiaskari-mtu kuwa CCM au vipi, haionyeshi ukweli. Angekamatwaje wakati walipoanza kumkimbiza watu wakaanza kupiga mawe police (taarifa magazeti na TV)? Kama wafanyavyo-wanabananisha nyumba hovyo, moto unawaka kunashindikana kupita kuuzima maana hakuna access road zote wameziba na mabanda, mageti. Kinachoendelea-ni kupiga mawe gari ya fire brigade ndio wakosa. hatari hiyo ikipita-wanabananisha nyumba tena kuliko awali. Vichwa hivyo ni kamilifu au vina utata? Tuyaangalie haya.

Inaweza kuwa ni mpango wa Chadema si CCM tu. Zikapangwa camera kuwa tukio liliandaliwa ili CCM ikose KURA huko mbele na Arusha mji wa utalii biashara ife CCM ichukiwe. Kikaandaliwa kibomu au mwenye uzoefu wa kupigana vita toka Rwanda. Kisha-ni CCM tulimwona na tunamjua. Toeni hizo CD zisije zikaibwa na CCM kisha mkasema-tumeporwa!! Wahini kabla hazijapotea/kupotezwa. Penye uongo-ukweli hujitenga ukaonekana.

Ukiangalia huo mkusanyiko, umejaa watoto na vijana wadogo ndio asilimia kubwa. Jua tu, vurugu haitokosa na maduka yamevunjwa. Hivyo, watu wakiona leo mkutano wa chadema-wafunge biashara kwanza. Hii si nyendo nzuri vurugu daima. Zamani ilikuwa CUF. sasa CUF imepoa gonjwa limeambukiza kwingine. Tujiangalie tuendako-tutakimbilia wapi? Tunawapa mwanya wabaya wetu jirani waje kuripua mabomu kisha tulaumiane. Mamruki zilizotumwa Mtwara-sasa zimehamia Arusha? Tembezeni CD katika electronic media soonest. Mungu tusaidie tuishi kwa amani kama zamani.

 From: Mathias Lyamunda <mathias.lyamunda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 19 June 2013, 10:59
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

@Hildegarda
Swala ushahidi kurekodiwa ni jitihada za wananchi wenyewe ambao huhudhuria kwenye mikutano ya chadema na vinasa picha, vipande vimeungwa kutoka kwenye simu, iPads, camera na kadhalika, na wameonekana watu waliokuwa wakirushia risasi wananchi waliokuwa wakitaka kumkamata mrusha bomu na aliingizwa kwenye gari na kutoweka kusikojulikana! Wapi mashuhuda na macho waliomuona mrusha bomu, kwenye halaiki ya namna ili huwezi kurusha bomu usionekane ni logic ya kawaida tu! Kuhusu kutoa ushahidi undeni hiyo tume huru, hatuwezi kuwapa ushahidi waliotuua, utakuwa ni wendawazimu!
On Jun 19, 2013 7:43 AM, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Kinachoshangaza ni pale unaposema-una ushahidi, una video au cd inayoonyesha huyo mtu akitupa bomu mlirekodi, lakini huitoi hiyo video tukaona. Kipindi hiki cha wasomi wengi na wanasheria waliohamia ktika siasa kama ubunge wakichanganyika na wanganga wa jadi na wana music na wazee waliokuwa madarakani muda pamoja na vijana kama Mnyika, halima Mdee, Zito Kabwe etc. Tulidhania ni integration nzuri sasa tutasonga mbele vema. Kumbe ndio imekuwa chaos ndani ya bunge na mje uraiani-why?

Nimesikia usiku wa leo BBC-Mheshimiwa D.Cameroun wa UK anazungumza kuwa-ukitaka kodi iwe ndogo ili usitoze kodi kubwa kwa wananchi wako budi ukusanye kodi kutokana na kila bidhaa na kila biashara na shughuli ya kibiashara
Nikaona-hii irudiwe kusemwa na BBC mara nyingi kwani sisi kukusanya ushuru ni tabu halafu hatutaki kodi zipande. Tunapambana kwa vile tu masikini lakini hatusaidiani kuukwamua. hatuzingatii ethics za kazi kila mtu anataka kutajirika haraka haraka bila kutoka jasho. Wengi tupo mis-informed na kudhania kwa kupigana mabomu tutatatua matatizo sio kwa kujituma kimasomo na kikazi na kusimamia ukweli na haki.Kumpiga mtu na kumtia kilema ndio haki badala ya majadiliano. Tuone hao wanaouana afghanistan, kubaki vilema anayesota; wanaoua watoto kwa kuvamia shule (boko Haram) Nigeria eti ili watoto wasisome; wanavyobomoa majengo Syria na Somalia-wanapata faida gani hata nasi tufike huko? Kwa nini utupie mawe polisi wanapotaka kumkamata mwizi au mtu muovu. Lazima atatumia risasi. Wakikaa kimya-lawama. sasa ona, hata mgambo na police wanaogopa kwenda Morogoro Road Manzese-Kagera kuondoa wafanyabiashara waliopanga bidhaa njiani-barabarani wakati Mkandarasi anataka kuendelea na ujenzi na ngreda linachimbua na malori kutaka kupita-wao wamepanga mitumba, vyombo na vyakula huku vumbi linatimka.

Tupo mashenzini kabisa. Hebu ona, Ubungo-wamerudi upya kituo cha Bus.Wakienda FFU kuwaondoa city imeshindwa (na Mbunge huenda anaona poa waendelee wagange njaa na kodi hawatoi tofauti na ulaya) risasi za moto zitawaka hapo, mawe na mishale vitatupwa. Matokeo tutawaacha mika nenda rudi na mataka kujazwa ktk open drains. Tupoje sisi? Vipofu, viziwi, no recall and vision? Twaona maovu ni masuala mema na kuyashangilia? Lawama daima!?

 Msisahau kujitokeza kula dawa za kutibu magonjwa sahaulika (ngiri maji,matende) tarehe 22 June.

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 19 June 2013, 6:20
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Naya ni makosa ya kila aliyekuwa na miaka 18 mwaka 2005.
Tujihukumu na tujisahihishe. Sadaka ha shukrani hizi

--- On Tue, 6/18/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, June 18, 2013, 5:46 PM

Sasa kwanini kama Mh Mbowe na Chadema wana Video inayomwonyesha huyo FFU au askari aliyetupa wasiiweke mitaani tukanunua tutaiangalia, wakaitoa ktk TV zote kuu nchini-tukaona huo ukweli. kinachozuia nini na malumbano yasiyoisha? Sasa ndio tumewapa nafasi waovu wa kila aina kuja bongo ktk mikusanyiko ya aina yoyote na kutupa mabomu. itafikia hata ktk arusi, send-off, send inn. na vibaka kutumia ili waibie watu. Tunakokwenda kubaya. Kuichukia nchi yetu wenyewe, kujichukia na kuwachukia viongozi wetu ni kitu cha ajabu kinachoendelea.Kawaida mtanzania kupenda kisichochake sio kupenda, kuboresha na kutunza chake. Utumwa na mfadhaiko kiakili.Ukiona baba na watoto wake wanapigana ngumi na mieleka kushambuliana-ujue hapo tena amani hakuna, familia imetawanyika haiyoweza kuwa kitu kimoja tena. Ndiko tunakoelekea.

From:
moses <mosesgasana@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, 18 June 2013, 20:35
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Ulisema nini Faiza?

Sent from my iPhone

On Jun 18, 2013, at 12:19 PM, Faiza Hassan <antihongo@gmail.com> wrote:

Yes who can remember (the thread) what I said when a grenade was hurled in church last month in Arusha. Go To archive and see that thread B4 you comment about Freeman Mbowe.....

2013/6/18 richard bahati <ribahati@gmail.com>

.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefichua siri kuhusu tukio la mlipuko wa bomu lililotokea juzi katika viwanja vya Soweto, jijini Arusha.
Katika kauli yake jana, Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, ambapo alidai kuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) ndiye aliyerusha bomu hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,baada ya kutembelea majeruhi katika Hospitali ya Selian, Mbowe alisema chama chake kina ushahidi wa kutosha juu ya askari huyo kurusha bomu.
Mbowe ambaye pia ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, alisema wamefanikiwa kupata ushahidi wa kutosha

http://www.goldentz.blogspot.com/2013/06/mbowe-ffu-ndiye-aliyerusha-bomu.html
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment