Wednesday 26 June 2013

RE: [wanabidii] Maulid Kitenge kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM

Yona,
 
Unaposema 'hatutampa kura' !! nyinyi wangapi? ni lini na wapi ulikusanya maoni ya watu wa Ubungo? Mazingira gani unayosema ayabadilishe? Kwani kazi ya Mbunge ni nini? na kazi ya serikali ni ipi? Ni nani aliyekupa mamlaka ya kuwasemea wana Ubungo? Unataka Mnyika atenengeneze mazingira mazuri ya watu kuishi Ubungo!!?? kivipi?? kwa fedha zake mfukoni? au vipi hebu fafanua.
 
Selemani
 

Date: Tue, 25 Jun 2013 06:24:16 -0700
From: oldmoshi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Maulid Kitenge kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM

Wenye uamuzi wa mwisho ni sisi wapiga kura wa Ubungo ambao hatutabiriki mimi namwambia Mnyika kama rafiki tu abadilishe hali ya ubungo kwa kipindi hiki kidogo kilichobaki tukiendelea kuwa hivi hivi nakwambia ataondoka kama maji mchangani .

Kama asipotengeneza mazingira mazuri ya watu kuendelea kuishi ubungo basi hatutampa kura tena mwaka 2015 

On Tuesday, June 25, 2013 3:32:40 PM UTC+3, MaryGlady Heri wrote:
sidhani na nilisema mwanzo kumtoa mnyika ubungo unahitaji bulldozer kama 30 hivi sasa sijui kitenge anazo????


On Tue, Jun 25, 2013 at 2:36 PM, Juma Mzuri <juma...@gmail.com> wrote:
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha michezo na taarifa ya habari ITV na Radio One, Kitenge Maulid Kitenge kwa kupitia mtandao wa Instagram na Twitter ametangaza kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CCM.

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment