Wednesday 26 June 2013

Re: [wanabidii] JE,MAREKANI KAMA HIMAYA YA KIRUMI?

Duhh Mbona kila lenye mwanzo na mwisho pia. Mpandá ngazi hushuka pia.
Hujakosea ni wakati tu.

On 6/26/13, Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com> wrote:
> Kwa wafuatiliaji wa siasa za Marekani hasa hasa jinsi kila Jimbo
> linavyopitisha sharia katika mambo Fulani Fulani,inaonyesha kuwa kuna mambo
> majimbo yote hayakubaliani na hivyo mambo hayo yanapitishwa na majimbo
> mengine katika level ya juu ya mahakama katika MUUNGANO WA MAJIMBO.
> Je,kuna uwezekano kuwa sasa Marekani kama muungano wa Majimbo imefikia
> "Peak" na itaanza kuporomoka kama Himaya ya Kirumi?Na,je baadaye tutakuja
> kusikia Califonia, au Texas na majimbo mengine kujitangaza kama nchi huru?
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment