Sunday 2 June 2013

Re: [wanabidii] Is Kikwete Four B'?

Bart Mkinga,
Ninafurahi kuona kuna Watanzania kama wewe. Nilikuwa najiuliza, hivi Museveni akiongea na Kony ndipo amani itatulia Uganda?
Hivi, Kagame akizungumza na interahamwe kutakuwa na amani Rwanda? I want to know what is the end game here.
em

2013/6/2 Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>

Kigwangala,

Shida ya Watanzania walio wengi ni kuongea sana, na kwao kauli haina maana. Leo wanaweza kusema hivi, kesho wakabadilisha, na haionekane ni kitu cha ajabu. Na viongozi wetu walio wengi wapo hivyo hivyo.

Hili ni funzo kwa Rais wetu, viongozi wengine na Watanzania kwa ujumla. Tujifunze kutafakari kwa makini kabla ya kutamka chochote. Walio makini kauli ni jambo zito.

Tusipindishe maneno, pamoja na kuupenda utaifa wetu, Rais wetu hakutafakari kwa umakini kabla ya kutamka. Huwezi kuwaambia viongozi wa nchi nyingine wazungumze na vikundi vilivyotajwa ni vya kigaidi wakati msimamo wa Dunia ni kutojadiliana na makundi ya magaidi. Magaidi wanatakiwa kuangamizwa siyo kujadiliana nayo, huo ndiyo msimmo wa Dunia kwa sasa.

Viongozi wetu wajifunze kutafakari kwa umakini mkubwa, ikilazimu waombe hata ushauri kabla ya kutoa kauli yoyote.

Wanyarwanda wamsamehe Rais wetu na Watanzania kwa ujumla juu ya kauli hiyo. Wazingatie zaidi dhamira ya Rais wa Tanzania kuliko kile kilichotamkwa.
L
Bart.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>;
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Is Kikwete Four B'?
Sent: Sat, Jun 1, 2013 2:41:43 PM

Kagame anamkosea heshima Rais wetu, sitarajii watanzania wenzetu wamuunge mkono mtu mwenye kiburi cha namna hiyo. Hili ni jambo dogo sana lakini nashangaa sijui kwa nini wanyarwanda hawa wanalikuza kiasi hicho

On Sat, Jun 1, 2013 at 5:30 PM, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
Emmanuel,
Ni jambo la hatari kama unawakilisha nchi yako na ukaona watu wanaongea kitu ambacho ni kinyume na ustawi wa Taifa lako uka-mute. Sasa maana ya kutumwa kuiwakilisha nchi yako inakua na maana gani Emmanuel hapo? Pia sidhani kama hicho kikao kilikua cha hatari kiasi hicho, kwamba maoni ya Kagame yangefanye pasikalike. Angeseme tu maoni yake, na kwamba pia ataongea na watu wake, ingekua na maana. Mbona sasa huyu waziri wake ndio anazidi kuonyesha hasira za kupindukia kwa Rais?? hapo hajengi. 
Alexander

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, June 1, 2013 4:22 PM

Subject: Re: [wanabidii] Is Kikwete Four B'?

Alex,
'Nadhani Kagame angejibu hapo hapo pasingekalika. Alifanya jambo la busara kushauriana kwanza na wasaidizi wake.
That is how diplomacy works. I still believe Kikwete alikurupuka.
em

On Sat, Jun 1, 2013 at 10:19 AM, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
Rais Kikwete hakuongea ile statement sirini au kifichoni, bali aliongea mbele ya Marais 11 wa Africa na Kagame akiwepo ndani ya kikao. Swali why Kagame hakuonyesha kutoridhika ndani ya kikao humohumo?? Badala yake akaenda kuongea na waziri wake wa mambo ya nje na kuanza kutoa statements za kuuzi?? 
Always good point out of the meeting they don't count. Kwangu Uungwana na ukomavu ni pamoja na kusimamia kiume na kutetea unachokiamini mbele ya wenzako, na sio kuongea nje ya vikao mahususi. Hii pia inatia shaka future ya EAC.
Alexander  

From: Faiza Hassan <antihongo@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, June 1, 2013 3:04 PM

Subject: Re: [wanabidii] Is Kikwete Four B'?

You are 100% right Alexander.

On 6/1/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
> Inaonyesha Kagame ni mtu wa Vita na anataka namna ya kupata sababu
> kutuvamia.
>
>
>
>
> ________________________________
>  From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Saturday, June 1, 2013 1:02 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Is Kikwete Four B'?
>
>
>
> So Kagame dont adhere to 'prescriptions'? Hi want to be a Doctor of hils
> illnesses? He might find himself advancing backward.
>
> --- On Sat, 6/1/13, Africa j bwamkuu <jbwamkuu@gmail.com> wrote:
>
>
>>From: Africa j bwamkuu <jbwamkuu@gmail.com>
>>Subject: [wanabidii] Is Kikwete Four B'?
>>To: "NGO afya club NGO" <afya-club-2310@googlegroups.com>,
>> wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Saturday, June 1, 2013, 3:40 AM
>>
>>
>>I do not believe Kikwete is Four B, I think, he is down to earth president,
>> easy going manners with long term goals but it's being allegedly Kagame
>> thinks so, it will be interesting to hear what you think of Tanzanian
>> president!
>>
>>
>>Tanzanian Jakaya Kikwete and Rwandan Paul Kagame Meet in Japan
>>by AFROAMERICA NETWORK on  JUNE 1, 2013
>>The two African  heads of states met,  a week after the Tanzanian President
>> Jakaya Kikwete urged President Paul Kagame to hold direct talks with his
>> armed rebellion in order to bring peace in the Great Lakes region (see
>> here).The position of the Tanzanian President has irked Rwandan leaders,
>> to the point that Rwandan Foreign Affairs Minister, Louise Mushikiwabo and
>> Defense Minister, James Kabarebe, publicly cursed the Tanzanian President
>> and called him a sympathizer of "genociaires",  a "genocide denier", and
>> other names.
>>"Jakaya Kikwete is a Four Bs", Kagame tells his closest aides
>>It is not known whether General Paul Kagame will meet Jakaya Kikwete in a
>> one-on-one or a mediated venue. According to sources within the Rwandan
>> Presidency, when General Paul Kagame returned from Addis-Abeba after
>> Jakaya Kikwete's comments, he was livid. He called an urgent brief
>> intelligence services meeting  and told the participants that Jakaya
>> Kikwete is a "Four Bs", which  he said in Kinyarwanda meant "an
>> opportunist, attention seeker , arrogant and  contemptible person."
>>  Contrary to his habit, he dismissed the participants to meeting after 15
>> minutes and went directly to bed.
>>Before leaving for Japan, he once again held a meeting with his
>> intelligence services and top military leaders and told them the
>> following: "Now, after the betrayal by the Tanzanian Four Bs, it is clear
>> that, like orphaned kids, we are on our own. I am traveling, and when I
>> return I want you to present me with  a plan on how we will get out of
>> this severe situation."  When he asked whether anyone had anything to add,
>> everyone looked down.  He dismissed the meeting after a few minutes and
>> headed to his private jet, that he rents out to the Rwandan Government.
>>Japanese Prime Minister Shinzo Abe vs Chinese President Xi JinPing
>>During the Ticad V meeting today, Japanese Prime Minister Shinzo Abe has
>>  pledged ¥ 3.2 trillion or $31.9 billion for African Development. Japan is
>> trying to catch up with China.  Contrary to Shinzo Abe who has never
>> visited Africa since he took office in December 2012, Chinese President Xi
>> JinPing has already visited three countries: South Africa, Congo, and
>> Tanzania.
>>President Xi JinPing also pledged $20 billion in loans over the next two
>> years and China built  the African Union Headquarters in Addid Ababa,
>> Ethiopia,  valued at  $200 million
>>The conference is being held in Yokohama City and will last three days. The
>> Tanzanian President is expected in Dar-Es-Salaam on Monday June 3, 2012 .
>> Upon his return, he will be faced with two pressing matters: addressing
>> the contempt of his small neighbor, the Rwandan General Paul Kagame and
>> start preparing for the visit of the most powerful man in World, US
>> President Barack Obama.
>>Jaka Kikwete, the Star of TICAD V
>>Tanzanian President Jakaya Kikwete was a start at the Ticad. He  and South
>> African President Jacob Zuma were received with the highest honors by
>> Japanese Prime Minister Shinzo Abe. He was the first to be  received at
>> the Prime Minister 's  official residence in Tokyo on May 30, 2013.
>>©2013 AfroAmerica Network. All Rights Reserved.
>>Tagged as: Congo, Jakaya Kikwete, Japan, Rwanda, Shinzo
>> Abe, Tanzania, TICAD V
>>
>>--
>>Africa Jumanne Bwamkuu
>>Information and Communication Technology Advisor/Trainer
>>Information Reseach & Advisory Services, ILS
>>Royal Tropical Institute (KIT), Amsterdam, Netherlands
>>Tel. +31 (0) 20 568 8311
>>Mob: +31 (0)6 443 67051
>>Alternative e-mail: a.bwamkuu@kit.nl
>>  --
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment