Wednesday 5 June 2013

Re: [wanabidii] HUU NI UUNGWANA?

Bora ya huyu dreva wa taxi atakufa pekee, train haitoanguka, itamsukuma akafie mbele.
Tatizo ni  wale ambao njia ni ya miguu kama hii yeye anapitisha gari, bajaji, bodaboda na bado kumepangwa biashara njia finyu. Bodaboda inapita speed na kupiga au bila kupiga honi, kizee hakisikii vizuri na mtu mwingine hutegemei kitu hicho kupita huko huijui bongoland vizuri unashitukia umegongwa na chombo cha usafiri ktk njia ya wapita kwa miguu.Kisha, unakemewa na huyo dereva, watu wanaangalia. Ili kutokomeza uvunjaji sheria ambao ni tatizo sugu, kila njia ya wapita kwa miguu iwekewe mataruma ya wima kila baada ya mita 50. Ni gjharama lakini itakuwa ni kuzuia usafiri wa aina yoyote kupita isipokuwa watembea kwa miguu tu. Hao wengine wapite barabara yao ya vyombo hivyo. Iwe kama Ulaya mbona wameweza. Upande wa baiskeli na bodaboda, mikokoteni uwe mmoja, ukionekana lane nyingine hapo hapo penalty na unalipa au ufirisiwe hicho chombo kiuzwe. Na hii italeta pia uhasama pamoja na kuwa ni utekelezaji sheria-tutauana kwa visasi.

--- On Tue, 4/6/13, Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com> wrote:

From: Sylvanus Kessy <frkessy@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] HUU NI UUNGWANA?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 4 June, 2013, 17:46


Subject: FW: Madereva wa kitanzania walivyodata

Br Six, see how driving in Dar at times force the diversity in traffic regulations. FOLENI!
 
Best Regards,
 
Eng Francis J Fumbuka
Lahmeyer GKW Consult GmbH
P.O.Box 324,
MTWARA. TANZANIA .
Mobile: +255 784 608939
           +255 655 718717
E-mail: francis.fumbuka@gmail.com
Skype:francis.fumbuka

From: fjfumbuka@yahoo.com [mailto:fjfumbuka@yahoo.com]
Sent: Tuesday, June 04, 2013 4:07 PM
To: Francis Fumbuka
Subject: Fw: Madereva wa kitanzania walivyodata
 
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

From: Jumanne Hassan <hjmwanga@yahoo.co.uk>
Date: Tue, 4 Jun 2013 14:04:40 +0100 (BST)
To: Hanifa Mohamed<hanifayuk@yahoo.co.uk>; Yahya Kailembo<kkailembo@yahoo.com>; Arafa Fumo<arafaf@hotmail.com>; Mwafatma Mohamed<mwafatmamohamed@yahoo.com>; Severine Alfred<severinealfred@hotmail.com>; Francis Fumbuka<fjfumbuka@yahoo.com>; Lameck Mussa<lameckmussa@msn.com>; RAMADHAN MUSSA<kije1st@yahoo.com>; Rodgers Mafuru<mafurur@yahoo.com>; nemeth maeda<nhmaeda@hotmail.com>; senzia mkindi<senziam@yahoo.com>; Simon Seleman<engsimons@yahoo.com>; YAHAYA KAMBAGHA<yakambagha@hq.bot-tz.org>; Abu Mvungi<amvungi@udsm.ac.tz>; Asraji Mvungi<asrajimvungi@yahoo.com>
ReplyTo: Jumanne Hassan <hjmwanga@yahoo.co.uk>
Subject: Madereva wa kitanzania walivyodata
 
Hebu ona huyo dereva wa taxi baada ya kuona foleni haisogei akaamua kutembea na reli ya Mwakyembe. Mind you hapo ni Ubungo Maziwa na hiyo reli ndiyo inayotumiwa na treni ya Mwakyembe kila siku sasa sijui treni ikija atafanyaje?
 
a) Ataruka na kuacha gari igongwe
b) Atatumbukiza gari pamoja na yeye katika mtaro kukwepa treni
c)  Atabakia hapo hapo kungojea kitakachotokea?
 
Ikumbukwe ni wiki iliyopita tu mtu mmoja amefariki baada ya gari yake kugongwa na treni huko Ukonga tena ni mfanyakazi wa Wizara ya viwanda na biashara.
 
Wasalam
 
Eng. H. Jumanne
 
UDSM


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment