Tuesday 25 June 2013

Re: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU

Bw Mrema, 
Hiyo biashara ya umasikini anaifanya nani? Serikali au wananchi? Tatizo sio wizi wa wahisani bali ugoigoi wa watawala (sio viongozi) wetu. Wizi unaofanywa na hawa wahisani/wawekezaji unafanywa kwa ridhaa ya serikali yako uliyoiweka madarakani wewe mwenyewe. Asa unamlaumu nani?

From: Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, June 25, 2013 5:54 PM
Subject: RE: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU

Wanabidii,

Ninashangaa hata akili kidogo tuliyokuwa nayo haijatuonyesha hakuna wahisani ila wako wezi wa rasimali zetu.  Hatujiulizi kwa nini miaka nenda rudi tumepewa hicho wanachokiita hisani lakini bado hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwani umaskini unaongezeka badala ya kupungua?.  Hamuoni kuwa umaskini ni biashara? na ni mfumo ambao unawafaidisha makundi mengi yakiwa hao tunaowaita wafadhili na washikaji wenzao pamoja na maskini wenyewe kwa sababu wamekata tamaa na kuamini kuwa umaskini ndio maisha na maisha ndio umaskini?

Tuamke tutafakari

Herment

Subject: Re: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU
To: wanabidii@googlegroups.com
From: kimdr53@gmail.com
Date: Tue, 25 Jun 2013 14:23:40 +0000

Hapa sijui kweli tunajishusha? Au huo ndiyo Ukweli mtupu! Uholanzi ni nchi ndogo huwezi kuilinganisha na Tanzania. Lakini vivyo hivyo ni tajiri huwezi ikailinganisha na Tanzania! Eneo la DRC linalingana na Ulaya Bara (Continental Europe) hii ikiwemo Uholanzi. Lakini wenzetu pamoja na utajiri wao angalia jinsi Waziri Mkuu anavyoendesha shughuli zake. Huo ndio ukweli wenyewe, hata nchi za Scandinavia viongozi wake wanafanya hivyo hivyo. Hizi ni nchi zinazotupa misaada!!! Je tuna ubavu kufanya kama wao?? Na kwanini??
Idriss Mussa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 25 Jun 2013 06:56:02 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Cc: lesian mollel<aramakurias@yahoo.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU

Ndugu yangu Hivi ka nchi kama Uholanzi utakifananisha na Tanzania hata kwa Ukubwa tu ? Mbona tunapenda kujishusha namna hiyo ?

On Tuesday, June 25, 2013 4:37:44 PM UTC+3, lesian mollel wrote:
duh, wkti cc mawazir wa kwetu wanatamani escort! hata hii order kua magar kama v8 na of alike serikalin hadi kibali cha wazir mkuu nahis haitatekelezwa...anyway yetu macho. Tungeweza kubana hivi nadhani tungetoka, ila tusibane tu bali na proper utilization of our natural resources ie madini, bandari,ardhi nk

From: anna nyanga <lugu...@yahoo.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Sent: Monday, June 24, 2013 1:22 AM
Subject: Re: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU

Hawa lunch kila mtu anaenda ofisini na kipande cha mkate chenya siagi au nyama au mboga na tunda. Wanakula vitu kwa kujali afya na uzito!
 
Waendesha baiskeli wanabara bara zao. Ukiwa unavuka barabara kubwa na baiskeli gari linasimama kukusubili upite. Gari likimgonga  muendasha baiskeli makosa ni ya mwenye gari. Kwanini hakusubili apite? Vitoto vidogo vinaenda shule na baiskeli.
 
Professor kama wa UDSM nae anendesha baiskeli!  
 
Chuo kikubwa chenye maprofessor 200 hivi kina magari ya chuo kama kumi tu!
 
From: Hildegarda Kiwasila <khild...@yahoo.co.uk>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Sent: Monday, June 24, 2013 2:17 AM
Subject: Re: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU
Lakini hajavaa kofia kitu ambacho si kawaida ulaya. halafu-hawajamkamata ila wanampigia saluti. Inashangaza si kawaida. Hapa kwetu huyu angekuwa katika gari la gharama la millioni miambili  tena peke yake hata sekretari wake akimkuta njiani hampakii. Halafu ana kitambi kikubwa, afya yake haingalii. Lunch time analetewa chakula hawezi kwenda cafeteria tena kwa gharama za ofisi sio gharama zake mwenyewe. Halafu tu masikini.

From: Sylvanus Kessy <frk...@yahoo.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 22 June 2013, 12:18
Subject: [wanabidii] Fw: HAWA NDIO WAHISANI WETU

Subject:
HAWA NDIO WAHISANI WETU

Nasi je fedha wanazotufadhilia au kutukopesha tunatumiaje?

Dr.Msafiri
Subject: FW: HAWA NDIO WAHISANI WETU
 
http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=55710&amp;d=1338990278
 
WAZIRI MKUU  WA UHOLANZI,BW MARK MUTTE  AKITOKA  KAZINI  KUELEKEA  NYUMBANI  , AKITUMIA  USAFIRI  WA  BAISKELI……………………. (tena  bila  ya  mlinzi)
 
-- Send Emails to wana...@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/ groups/opt_out.    

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/ groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment