Nafikiri tujadiri pia changamoto za ufanyaji kazi wa serikali tatu. Iwapo Marais wote watatu watakuwa wanatoka chama kimoja hakutakuwa na tatizo kwani itikadi na mitazamo itakuwa sawa. Lakini iwapo Rais wa Tanzania atakuwa anatoka chama tofauti na Rais wa Tanganyika au wa Zanzibar kunaweza kutokea mgogoro wa kiuongozi. Na hali itakuwa ngumu zaidi iwapo Maraisi wote watatu watakuwa wanatoka vyama vitatu tofauti; tuseme Rais wa Tanganyika anatoka CHADEMA, wa Tanzania anatoka CCM na wa Zanzibar anatoka CUF - nchi itatawalika kweli - tujadiri.
D. M. Gabagambi,
From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, June 20, 2013 11:34 PM
Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3
Tuko kwenye hatua za katikati za Muungano kuvunjika na hicho ndicho wengine tunasubiria
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, June 20, 2013 10:30 PM
Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3
Ngupula Zanzibar ya sasa inasumbua. Ili uiingize kuikubali serikali moja inabidi kupitia serikali tatu. Nje ya serikali tatu hakuna muungano. Naupenda sana muungano ndiyo maana naziunga mkono serikali tatu. Zanzibar ya sasa ni shida kwenye muungano. ukiiendeleza serikali mbili. na Rais wa zanzibar akaendelea kushauriana na 'mwenzake wa Tanzania automatically Tanzania inakuwa bara--- On Wed, 6/19/13, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote: From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Wednesday, June 19, 2013, 8:48 PM
Kwa hili nafikiri tuwaache CCM wajaribu karata yao.Tupo wananchi wengi ambao hatutaki hata kusikia kitu kinachoitwa serikali 3...Zanzibar ya sasa hata katika muundo wa serikali 2 inasumbua,ikishindikana serikzli 2 twende kwenye moja. kama kweli tunapendana .Ngupula From: Enock P.Ndunguru <ep.ndunguru@yahoo.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Thursday, 13 June 2013, 18:45 Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3
----------Sent from my Nokia phone------Original message------From: Gikaro Ryoba <gikaroryoba@yahoo.com>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>Date: Wednesday, June 12, 2013 2:31:22 PM GMT-0700Subject: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3CCM DHIDI YA SERIKALI 3Chama tawalanchini Tanzania, CCM bado kinaonekana kuendeleleza sera yake ya kupinga muundowa serikali tatu ambao hivi sasa unapendekezwa pia katika rasimu ya Katiba Mpyailiyowasilishwa mwanzoni mwa wiki iliyopita. Itakumbukwa kwamba hapo kabla tumembili zilizoundwa zilipendekeza mfumo wa serikali tatu katika muungano kati yailiyokuwa Tanganyika na Zanzibar lakini mapendekezo yao hayakutekelezwa . Rasimu ya KatibaMpya imezingatia maoni yaliyotolewa na wananchi wa Tanzania ambao ndio wenyemaamuzi juu ya hatima ya nchi yao. Tume ya Nyalali na Jaji Kisanga zilipatamaoni kutoka kwa wananchi, ambao ndio waliotaka uwepo wa serikali tatu. Inasikitishakwamba CCM wanataka kuwaamulia wananchi aina ya serikali wanayaoitaka wao. Hukuni kusigina demokrasia na ni dharau kubwa kwa wananchi. Siku zote CCM inadhanikwamba wananchi ni mazezeta na kwamba hawawezi kujiamulia mambo yao wenyewe Sasaikiwa wananchi ndio wanaotaka serikali tatu, iweje kikundi kidogo cha wanachamawa CCM wajifungie chumbani huko Dodoma na kuazimia kuchakachua maoni yawananchi? Nchi hii inajumla ya watanzania million 45. Wanachama wote wa CCM hawazidi million 5! Iwejekikundi cha watu million 5 watake kuchakachua maoni ya watanzania million 45? Hiindiyo demokrasia kweli? CCM wanataka kubaka maoni ya wananchi kwa manufaa yamafisadi wachache kama walivyozoea kuwatumikia mafisadi huku wakiwaacha solembawananchi. Hii haikubaliki hata kidogo. Ifike wakati wananchi waone kwamba CCMhaiweki maslahi ya wananchi mbele isipokuwa wanalinda maslahi ya wachumia tumbowachache ndani ya chama na serikali. Hii maana yake ni kwamba serikali hainania njema na ustawi na mustakabali wa wananchi bali inawatumia kama ngazi ya kutimiziahaja zao za kiutawala na kinyonyaji! Maoni yaliyozaarasimu ya katiba hii yalitolewa na wananchi wote bila kujali dini, kabila,kanda, vyama, jinsia au hali zao. Kwa hivyo, sio busara hata kidogo kwa CCMkuwaelekeza wanachama wake wakatae muundo wa serikali 3 wakati ni wanachama haohao ndio waliohojiwa na kukubali kuwa na muundo wa serikali 3! Kufanya hivyo nisawa na kuwashikia akili watanzania na kuwaona kama hawakuwa na akili nzuriwakati wanatoa maoni ya kuwa na serikali 3. Na nitawashangaa sana wananchi na wanachamawa CCM watakaokubali kushikiwa akili na kubatilisha maoni yao ya awali ya kuwana serikali 3. Tujiulize ni kwanini tume zote tatu (Tume ya Warioba, Jaji Kisanga na Nyalali) waliamuakukusanya maoni ya wananchi badala ya kuwaachia CCM wawaamulie wananchi kamawanavyotaka. Kama hali ni hiyo basi ni bora tume hizi zisingeundwa na kutumiamamilioni ya walipakodi katika kusaka maoni ya wananchi. Basi tungewaachia CCM(wajuzi wa kila jambo) wajifungie ukumbi wa Chamwino huko Dodoma watuamulie watanzaniaaina ya katiba tunayopaswa kuwa nayo—jambo ambalo ni kubaka demokrasiawaziwazi. Enyi wanaCCM/wananchi,akili za kuambiwa changanya na za kwenu. Saa ya ukombozi ni sasa. Msikubali kamwekulamba matapishi yenu wenyewe. Acheni msimamo wenu wa kuwa na serikali 3 ubakihivyo hivyo. Nina imani kwamba kipindi mnatoa maoni yenu mlikuwa watu wazima namlikuwa na akili timamu. Wapuuzeni hao wanasiasa wanaotaka kuchakachua maoniyenu kwa maslahi ya mafisadi na wachumia tumbo wachache. Wekeni maslahi ya nchimbele ya maslahi ya chama. Vyama vinazaliwa na kufa lakini taifa la Tanzania litadumumilele. Tafakari, chukua hatua!-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment