Hiiyo ni nadharia kusema Tanganyika haina kiongozi na kutufanya kua na hofu ya muungano kuvunjika. Muungano ukivunjika hata kesho ndio utajua tuna kiongozi wa Tanganyika au hatuna. Huyo anayosimamia mambo yasio ya muungano kwa upande wa Tanzania bara kwa sasa ndio kiongozi wa Tanganyika.
Serikali ya CCM ilishaamua kuuvunja muungano toka mwanzo, hasa pale ilipoiacha Zanzibar kufanya marekebisho makubwa ya katiba yao yanayokidhana kwa kiasi kikubwa na Katiba ya Muungano - CCM waliona na hawakua na ujasiri wa kuwaonya Wazanzibary.
Nionavyo mimi, CCM kwa sasa wanachotaka ni kutafuta mchawi wa 'nani kavunja muungano', huku vitendo vyao na kufumbia mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ikiwa ndio chanzo. Kwa sasa wataibuka na kusema, CUF, CHADEMA na sasa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ndio wanavunja muungano kwa kupendekeza serikali 3 amabazo kwa hakika zitasababisha kila nchi kwenda kivyake.
Zanzibarian are determined to go, waruhusuni waondoke. Huwezi kulazimisha kuendelea kuungana na mtu asie kupenda, hayo mahusiano yanakua hayana afya. Zanzibary wanajua wanachokitafuta nje ya muungano, waacheni wakipate.
Alexander
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, June 20, 2013 10:46 PM
Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3
Mimi honestly naupenda muungano. ukivunjika nitaumia. Lakini ukiishi au ukavunjika serikali tatu zinafaa. Ukivunjika sasa ndani ya serikali mbili Tanganyika haina kiongozi. Kikwete si rais au kiongozi wa waTanganyika. Zikiwa serikali tatu basi ukivunjika kila upande unabaki salama. ukidumu lazima wazanzibari watagundua walikuwa wananyonta mali za tanganyika na ndani ya serikali tanu hawanyonyi tena. Wakiutaka ni amakuziendeleza au kuiendea serikali moja --- On Thu, 6/20/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment