Wakati wa kuliona na kujipanga ni huu. Bado hatujajua kama kwa katiba mpya Zanzibar na Tanganyika zitaongozwa na marais. Nitapendekezwa waitwe maWaziri Mkuu. Tuweke utaratibu Tanganyika na Zanzibar zijihusisha na mambo Ya TAMISEMI zaidi kuliko upompacy wa Urais. Tukilipanga sasa wakati wa kuandaa katiba inawezekana wakatoka vyama tofauti wasivurugane. Tanzania ina mapato yake haiombi Tanganyika na Zanzibar. Jeshi ni moja chini ya Rais wa Tanzania etc. mambo yanaweza kwenda na Tanzania ikatoa mfano mwingine Africa
--- On Thu, 6/20/13, Damian Gabagambi <gabagambi2005@yahoo.com> wrote:
From: Damian Gabagambi <gabagambi2005@yahoo.com> Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Thursday, June 20, 2013, 11:02 PM
Nafikiri tujadiri pia changamoto za ufanyaji kazi wa serikali tatu. Iwapo Marais wote watatu watakuwa wanatoka chama kimoja hakutakuwa na tatizo kwani itikadi na mitazamo itakuwa sawa. Lakini iwapo Rais wa Tanzania atakuwa anatoka chama tofauti na Rais wa Tanganyika au wa Zanzibar kunaweza kutokea mgogoro wa kiuongozi. Na hali itakuwa ngumu zaidi iwapo Maraisi wote watatu watakuwa wanatoka vyama vitatu tofauti; tuseme Rais wa Tanganyika anatoka CHADEMA, wa Tanzania anatoka CCM na wa Zanzibar anatoka CUF - nchi itatawalika kweli - tujadiri. D. M. Gabagambi, From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Thursday, June 20, 2013 11:34 PM Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3
Tuko kwenye hatua za katikati za Muungano kuvunjika na hicho ndicho wengine tunasubiria
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Thursday, June 20, 2013 10:30 PM Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3
Ngupula Zanzibar ya sasa inasumbua. Ili uiingize kuikubali serikali moja inabidi kupitia serikali tatu. Nje ya serikali tatu hakuna muungano. Naupenda sana muungano ndiyo maana naziunga mkono serikali tatu. Zanzibar ya sasa ni shida kwenye muungano. ukiiendeleza serikali mbili. na Rais wa zanzibar akaendelea kushauriana na 'mwenzake wa Tanzania automatically Tanzania inakuwa bara --- On Wed, 6/19/13, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote: From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Wednesday, June 19, 2013, 8:48 PM
Kwa hili nafikiri tuwaache CCM wajaribu karata yao.Tupo wananchi wengi ambao hatutaki hata kusikia kitu kinachoitwa serikali 3...Zanzibar ya sasa hata katika muundo wa serikali 2 inasumbua,ikishindikana serikzli 2 twende kwenye moja. kama kweli tunapendana .Ngupula From: Enock P.Ndunguru <ep.ndunguru@yahoo.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Thursday, 13 June 2013, 18:45 Subject: Re: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3
---------- Sent from my Nokia phone ------Original message------ From: Gikaro Ryoba < gikaroryoba@yahoo.com> To: " wanabidii@googlegroups.com" < wanabidii@googlegroups.com> Date: Wednesday, June 12, 2013 2:31:22 PM GMT-0700 Subject: [wanabidii] CCM DHIDI YA SERIKALI 3 CCM DHIDI YA SERIKALI 3 Chama tawala nchini Tanzania, CCM bado kinaonekana kuendeleleza sera yake ya kupinga muundo wa serikali tatu ambao hivi sasa unapendekezwa pia katika rasimu ya Katiba Mpya iliyowasilishwa mwanzoni mwa wiki iliyopita. Itakumbukwa kwamba hapo kabla tume mbili zilizoundwa zilipendekeza mfumo wa serikali tatu katika muungano kati ya iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar lakini mapendekezo yao hayakutekelezwa . Rasimu ya Katiba Mpya imezingatia maoni yaliyotolewa na wananchi wa Tanzania ambao ndio wenye maamuzi juu ya hatima ya nchi yao. Tume ya Nyalali na Jaji Kisanga zilipata maoni kutoka kwa wananchi, ambao ndio waliotaka uwepo wa serikali tatu. Inasikitisha kwamba CCM wanataka kuwaamulia wananchi aina ya serikali wanayaoitaka wao. Huku ni kusigina demokrasia na ni dharau kubwa kwa wananchi. Siku zote CCM inadhani kwamba wananchi ni mazezeta na kwamba hawawezi kujiamulia mambo yao wenyewe Sasa ikiwa wananchi ndio wanaotaka serikali tatu, iweje kikundi kidogo cha wanachama wa CCM wajifungie chumbani huko Dodoma na kuazimia kuchakachua maoni ya wananchi? Nchi hii ina jumla ya watanzania million 45. Wanachama wote wa CCM hawazidi million 5! Iweje kikundi cha watu million 5 watake kuchakachua maoni ya watanzania million 45? Hii ndiyo demokrasia kweli? CCM wanataka kubaka maoni ya wananchi kwa manufaa ya mafisadi wachache kama walivyozoea kuwatumikia mafisadi huku wakiwaacha solemba wananchi. Hii haikubaliki hata kidogo. Ifike wakati wananchi waone kwamba CCM haiweki maslahi ya wananchi mbele isipokuwa wanalinda maslahi ya wachumia tumbo wachache ndani ya chama na serikali. Hii maana yake ni kwamba serikali haina nia njema na ustawi na mustakabali wa wananchi bali inawatumia kama ngazi ya kutimizia haja zao za kiutawala na kinyonyaji! Maoni yaliyozaa rasimu ya katiba hii yalitolewa na wananchi wote bila kujali dini, kabila, kanda, vyama, jinsia au hali zao. Kwa hivyo, sio busara hata kidogo kwa CCM kuwaelekeza wanachama wake wakatae muundo wa serikali 3 wakati ni wanachama hao hao ndio waliohojiwa na kukubali kuwa na muundo wa serikali 3! Kufanya hivyo ni sawa na kuwashikia akili watanzania na kuwaona kama hawakuwa na akili nzuri wakati wanatoa maoni ya kuwa na serikali 3. Na nitawashangaa sana wananchi na wanachama wa CCM watakaokubali kushikiwa akili na kubatilisha maoni yao ya awali ya kuwa na serikali 3. Tujiulize ni kwa nini tume zote tatu (Tume ya Warioba, Jaji Kisanga na Nyalali) waliamua kukusanya maoni ya wananchi badala ya kuwaachia CCM wawaamulie wananchi kama wanavyotaka. Kama hali ni hiyo basi ni bora tume hizi zisingeundwa na kutumia mamilioni ya walipakodi katika kusaka maoni ya wananchi. Basi tungewaachia CCM (wajuzi wa kila jambo) wajifungie ukumbi wa Chamwino huko Dodoma watuamulie watanzania aina ya katiba tunayopaswa kuwa nayo—jambo ambalo ni kubaka demokrasia waziwazi. Enyi wanaCCM/wananchi, akili za kuambiwa changanya na za kwenu. Saa ya ukombozi ni sasa. Msikubali kamwe kulamba matapishi yenu wenyewe. Acheni msimamo wenu wa kuwa na serikali 3 ubaki hivyo hivyo. Nina imani kwamba kipindi mnatoa maoni yenu mlikuwa watu wazima na mlikuwa na akili timamu. Wapuuzeni hao wanasiasa wanaotaka kuchakachua maoni yenu kwa maslahi ya mafisadi na wachumia tumbo wachache. Wekeni maslahi ya nchi mbele ya maslahi ya chama. Vyama vinazaliwa na kufa lakini taifa la Tanzania litadumu milele. Tafakari, chukua hatua! -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
| -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment