Saturday 4 May 2013

[wanabidii] Re: [umojanguvu] MTAALAMU WA FUNDRAISING ANAHITAJIKA


Shemeji yangu Masozi. Habari za siku.
 
Hongera sana kwa kazi na pilika za bajeti.
 
Duh, hii kazi ilikufaa sana na ulipaswa uifanye maana nijuavyo mimi wewe ni mtaalamu wa Fund raising.
 
Naamini watapatikana wenye sifa hizo.
 
Kila la kheri na karibu kwenye ulimwengu wa mawasiliano maana ulipotea sana.
 
Kazi njema!!
 
Ghumpi
From: masozi nyirenda <albertsozzy@yahoo.com>
To: umojanguvu@googlegroups.com; Wanazuoni Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Cc: Bidiigroup <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, May 3, 2013 3:55 PM
Subject: [umojanguvu] MTAALAMU WA FUNDRAISING ANAHITAJIKA
Wapendwa,
Kuna shirika moja la kimataifa liko hapa Dsm, linatafuta mtaalamu wa Fundraising kujaza nafasi ya Fundraising manager, ni kazi ya mkataba. Pia ina fringe benefits nzuri. Nimepewa kazi ya Consultancy kufanya "Headhunting" kupata mtaalamu huyo na kumuunganisha na shirika hilo.

Baadhi ya sifa ni:
1. University degree in Business Management, Development Studies or related fields;
2. Proven track record in successfully managing inter-institutional relations, preferably in the development field;

3. At least 5 years professional experience in inter-institutional relationship management;

4. Highly competent on proposal and report writing skills, ability to understand the complex funding strategies of donors;

5. Knowledge and experience of the realities of development issues, donor institutions, and the not-for-profit sector;

6. Excellent oral and written communication skills in English; Kiswahili, or any other language could be an added advantage.


Kama kuna mtaalamu unamjua basi anitumia CV yake kwa: masozi.nyirenda@gmail.com, kisha nitawasiliana naye nimpatie maelekezo yote.

Masozi Nyirenda

-- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "umojanguvu" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to umojanguvu+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.  

0 comments:

Post a Comment