Wednesday 22 May 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] Sweden Nilishiriki Kuandaa Rasimu Ya Kuanzisha Kituo Dhidi Ya Ubaguzi

Makubi umegonga penyewe, lakini kama kawaida yake atakuja na neno la leo

On 5/22/13, Abel Makubi <makubi55@gmail.com> wrote:
> Unaweza pia kutusaidia Mtwara?
>
>
> 2013/5/22 Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
>
>>
>> Ndugu zangu,
>>
>> Wakati nikisoma na kuangalia kwenye taarifa za habari juu ya vurugu za
>> polisi na vijana kwenye viunga vya Stockholm, na zenye sura ya ubaguzi
>> pia,
>> nimekumbuka juu ya kazi niliyoshiriki kuifanya kitaifa katika nchi ya
>> Sweden mwaka 2003. Ilikuwa ni mwaka mmoja kabla ya kuondoka Sweden kuja
>> kufanya kazi hapa Iringa.
>>
>> Nikiwa mwanaharakati wa haki za binadamu ikiwamo kupinga vitendo vya
>> kibaguzi niliyeishi Sweden kwa miaka 11, niliteuliwa kuwa mmoja wa watu
>> 12
>> walioandaa rasimu iliyopelekea kuundwa kwa Kituo cha kwanza dhidi ya
>> ubaguzi katika Sweden. Kituo hicho kilichokuja kujulikana kama ' Center
>> Against Rasicm' kwa Kiswidi ' Centrum Mot Rasism' kilifunguliwa rasmi
>> mwaka
>> 2004 kama inavyooenekana hapo chini kwenye taarifa fupi ya kituo hicho
>> kwa
>> lugha ya Kiswidi.
>>
>> Kituo hicho kisichofungama na siasa wala dini na chenye kufadhiliwa na
>> Serikali lakini kikiwa huru ni nyenzo muhimu katika kupambana na vitendo
>> vya ubaguzi na kuwaunganisha watu wa rangi, mataifa na dini zote.
>> Nimefikiri wazo la nchi kama yetu, katika hali yetu ya sasa ya migongano
>> ya
>> kidini ambayo kimsingi inahusu ubaguzi, tungekuwa na vituo vya utamaduni
>> wa
>> Kitanzania kila mkoa , mahali ambapo, kazi ya kuwaunganisha Watanzania,
>> na
>> hususan vijana, bila kujali tofauti zao za kidini, kikabila, rangi na
>> kiitikadi ingefanyika. Naamini hilo linawezekana. Unaweza kutembelea
>> kituo
>> hiki cha Sweden dhidi ya ubaguzi kwa anwani hii:
>> http://www.cmr.nu/<http://upload.facebook.com/l.php?u=http%3A%2F%2Fwww.cmr.nu%2F&h=XAQHGvtyR&s=1>
>>
>> ANGALIA PIA HAPA CHINI CHIMBUKO LA KUANZISHWA KWA KITUO KWA KISWIDI...
>> Behovet av en central organisation med uppgiften att vara en
>> samlingspunkt
>> för det antirasistiska arbetet har länge varit ett återkommande tema i
>> krav
>> och uttalanden från frivilligorganisationerna. Ett sådant centrum måste,
>> enligt dessa organisationers uppfattning, till stor del vara statligt
>> finansierat men samtidigt fristående från stat och myndigheter.
>>
>> I januari 2002 tillsatte statsrådet Mona Sahlin en arbetsgrupp inom
>> Näringsdepartementet, som fick till uppgift att se över formerna för det
>> antirasistiska arbetet. Arbetsgruppens rapport presenterades samma år i
>> en
>> departements­skrivelse (Ds 2002:26). Ett av förslagen i rapporten var att
>> ge statligt stöd till ett Centrum mot rasism.
>>
>> Under 2003 förankrades och utvecklades idén kring skapandet av ett
>> centrum
>> med en ideell förening som organisatorisk plattform. Ett stort antal
>> aktörer involverades lokalt, regionalt och nationellt. En arbetsgrupp
>> valdes, som fick till uppgift att förbereda det formella grundandet av
>> ett
>> Centrum mot rasism.
>>
>> Det konstituerande mötet där ett stort antal organisationer deltog, hölls
>> den 6-7 september 2003 i Stockholm. Mötet beslutade att anta Centrum mot
>> rasisms stadgar, samt att välja föreningens första styrelse.
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>
>> TEMBELEA Facebook yetu:
>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Mabadiliko Forums" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment