Thursday 23 May 2013

[wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?


Dr. Hii habari imekaaje? imejadiliwa sana Jamii Forum unaweza kutusaidia kutupa maelezo.

REF: Wabunge wa CCM wamemrarua waziri wa mambo ya nje Bernard membe kuwa ni kinara wa Fujo na vurugu zinazoendelea mtwara, wa Kwanza kuchangia alikuwa ni mbunge wa newala ,alisema membe ni mtu hatari na ni kirusi Ndani ya chama kwani anamtumia mbunge mtwara mjini murji na misikiti kumchafua waziri wa serekali za mitaa Hawa Ghasia, Baada ya munde alifuata Hawa Ghasia ambaye naye alimshtutumu Membe kuwa anamfitini kwa kumtumia murji ,na murji kupiga misikiti anaendesha mkakati kupitia misikiti ,''vurugu za mwezi January nyumba yangu pamoja na ya Mhe Anna Abdala zilichomwa moto Mhe mwenyekiti Jana tena wamechoma nyumba yangu na ofisi za chama moto nimefanya utafiti nimegundua ni waziri mwanzagu ndie anaenifitini kwa wananchi wa mtwara hii ni hatari sana kwa mustakabali wa chama na Taifa kwa Ujumla'

Waziri Ghasia alienda mbali zaidi kwa Kusema Kama investment membe anazo za kutosha mtwara lakini hazichomwi wala hazirushiwi mawe,hii inasikitisha ,Wakati Huo Huo mbunge wa nzega Dk kigwangallah ameitaka serekali imuondoe mkuu wa mkoa wa mtwara Simbakali kwakuwa Hana mahusiano mazuri na mashekhe na ili mkoa Huo utulie aondolewe mkotoliki apelekwe muislamu
.

Alexander

0 comments:

Post a Comment