Sunday 26 May 2013

[wanabidii] Iringa Shwari Kabisa Jumapili Ya Leo...Angalia Taswira Za Mji Wa Iringa Asubuhi Hii...

Ndugu zangu,

Asubuhi hii nikiwa kwenye jogging na kamera yangu nilipita mitaa ya kati Iringa Mjini. Hali ni shwari. Sikuona ishara zozote kwamba siku ya leo itaisha kwa vurugu za Machinga na Polisi.

Wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida ikiwamo shughuli za biashara. Tofauti na Jumapili iliyopita, maduka mengi yamefunguliwa na watu wanaendelea kuingia na kutoka katikati ya mji. Angalia taswira za mjini Iringa asubuhi hii.. http://mjengwablog.co.tz
Jumapili Njema.
Maggid,
Iringa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment