Sunday 26 May 2013

Re: [wanabidii] NIMEAMUA KUKANUSHA: KIGWANGALLA NA UDINI WAPI NA WAPI?

Hakuna chama au mtu mwenye hati milki ya jimbo lolote au urais hivyo tunapokuwa tunaongelea nani atakuwa mbunge au rais ajaye tujaribu kuyaona hayo pia. Tanzania ya leo si ya jana. Chama chochote au mtu yeyote anayefikiri ni lazima awe yeye amepotea.

Kazi ya ubunge na urais ni kazi ya kujitolea zaidi kuliko malipo, kama wananchi ambao ndiyo wanufaikaji na uongozi wa chama au mtu  wataona kuna chama au mtu mwingine anayeweza kuwaongoza vizuri zaidi ya nini kuwalisha majibu? Au ndo mambo ya kuforce kuwaongoza watu. Majibu wanayo wapiga kura wala siyo sisi tunaoona ni bora kuliko mwingine yeyote

2013/5/26 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>
Siku nyingine Mhe Kigwa utakapotaka kukanusha, kanusha wewe mwenyewe si timu yako inayosema: "...tumeelekezwa kutoa taarifa hii". Yaani hapo si wewe ila umewaelekeza wafanyakazi wa ofisi ya Mbunge wa Nzega. Ni kweli uliwaelekeza?

Kama ni kweli basi hukuwa na haja ya kuanza kujibu hoja zilizofuata! Ungewaachia waendelee kukujibia kwani ni lazima wako 'well informed' kuhusu issue hiyo.

Na ungefanya hivyo, basi hoja ya dada Anna isingekuwa na nguvu kwani ingeonekana kuwa Mbunge ana kazi nyingi za kujenga taifa si kutoa taarifa za kukanusha, kazi hiyo imebaki ofisini kwake tu.

Lakini inasikitisha kidogo kuwa hapo umakini ulikosekana.

Ciao!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment